Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Sio kweli , kuna tofauti kati ya mlevi na mtumiaji, watumiaji wengi tunajua our limits, na kwa ujumla watumiaji ndio wenye kipato cha uhakika. Means wapo vema upstairs pia. Huwezi kutumia maneno kama huna kipato. na wana ramani za maisha. Wanajua kutafuta hela.
Na wanawake wanataka mtu mwenye kipato, mipango na ramani za maisha. Wewe enda gym kajazie mwili kisha kunywa fanta orenji na uwe mpole. Maisha hayahitaji uyakamie sana.
Blessa mzee, Mwisho wa siku tutaona uhakika wa kipato na pombe kipi kina nguvu endelea kufuata akili za wanawake... Big Time✌️
 
Kwanza ni manyanyaso, walevi wanapenda malaya,
Mimi nimekulia kwenye familia hiyo mkuu.
Mama anapigwa anatuficha kwenye zile shangazi kaja chini ya kitanda halafu analiacha wazi limfuko.
Acha tu usisikie.
Wanaume walevi ni mwiba wao huwa ni malaya tu na wanawake wengine.
pole sana aise,
pole wapitiao masahibu haya muda huu....
 
pole sana aise,
pole wapitiao masahibu haya muda huu....
Tena bora huku mijini
Ila huko vijijn acha kabsa
Watoto tuliokulia tunaona mama anapigwa baba home anapotea hata siku mbili yupo kwenye pombe, mama yupo radhi asile ila anafanya kazi anahakikisha tunakula,
Ile kitu mpaka nakua imeniathiri yaani mzee wangu huwa naongea nae basi tu sijsikii kabisa, ila nishamsamehe ila kukaa naye kuongea never halizid lisaa sababu ya mateso tuliyoyaona mama anapitia
 
Back
Top Bottom