Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
Wanawake wa sasa wanataka kuwa vichwa vya familia hivyo hupenda kuwa na mtu dhaifu ili wawe viongozi automatically... Tazama familia nyingi ambazo baba ni mlevi utaona hata watoto wanamuona mama ndo master plan muweka mambo sawa huku baba akionekana kama asie na dira na mwenye Kuharibu familia kwaajili ya ulevi.... ilihali hela yake ndo mama huitumia kuweka mambo sawaWasalaam
Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
Usipotumia akili kuishi na hawa viumbe kwenye hii dunia utashtukia hauna kitu mwishoni, Wenzetu walishatusoma kwamba kwa mabavu hawatotuweza hivyo hutumia akili kukutoa kwenye reli (Leo watakuambia hatupendi wanaume weupe tunataka weusi sura ngumu) we na rangi yako nyeusi unaviiimba kumbe mwenzako anataka ule udhaifu wako ili uwe chini kwake kwa sababu ya uzuri aliokuzidi hivyo akuendeshe atavyo.
Wake up men.