min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mimi Kitu ambacho sinywi ni sumu tu.🤣🤣🤣🤣Tunakunywa new captain in town... Captain Morgan 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Kitu ambacho sinywi ni sumu tu.🤣🤣🤣🤣Tunakunywa new captain in town... Captain Morgan 🤣
kutapeli hapana, siwezi,Sema na wewe huwa unajidunga ili ukawatapeli waumini vizuri 🤣
😄🤣🤣🤣 Ww mi nimeokoka
Ha haaa . Hlf nina hamu ya makandeHizi akili za makande zinachekesha sana 🤣🤣
Matokeo ya uzinzi ni ngoma tu na kufa ,kama hivyo hauna wewe sio mzinzi.Wapi nimesema habari za kifo? 🤣
Alafu sijui kwa nini ukivuta hicho kidawa cha kuchua pombe inakataa , kuna siku nilivuta nilijikuta nalia tu siku nzima asee ile kitu apana.nataka niende bangini mie
Atakupigia hesabu za mabati na misumali plus matofali na nondo😊😅Wanakuaga wanafiki kichizi akikukuta unasukuma Moja dar Moja njombe anaanza kuwaza Kwa siku unatumia 15k Kwa mwezi Sijui gn Kwa mwaka Sijui gn anaconclude kwa miaka mitatu ushanunua hiace ya Arusha moshi
Wamepooza kama uji wa juzi hao.Wajitokezo KE wanaopenda wanywa Fanta tujue kama wapo pia.
Kwahiyo una pesa nyingi baba mchungaji?! 😜kutapeli hapana, siwezi,
sidhani kama nimepungukiwa kiasi cha kufikia hatua hiyo mbaya, hatari na ya fedheha, haiwezekani.
nadhani najitosheleza vizuri na kwa uhakiaka kabisa wa muda mrefu kidogo ujao..
Mkuu kwel wewe ni mla bata hakika , kuna code za kilevi umezifungua apa.Unatuonea, ni kweli tulkilewa pombe zinashuka chini lakini muda mwingi tunaishia kutoa ofa za beer na kutomasa makalio tu mpaka siku inaisha tunarudi kulala makwetu, itokee mara moja moja kweli as a man unaondoka na mmoja na kuna mawili upige show au ufike kitandani upitiwe na usingizi wa ulevi pasipo kuchapa ngozi.
We piga vitu hamna gari ya 20000Atakupigia hesabu za mabati na misumali plus matofali na nondo😊😅
Enjoy_ Jux & diamond
🤣🤣
Kwa hiyo ni mwendo wa kisungura mpaka Hennessy?Mimi Kitu ambacho sinywi ni sumu tu.
Labda malayaWasalaam
Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
Kisungura hiyo sio pombe ni sumu.Kwa hiyo ni mwendo wa kisungura mpaka Hennessy?
Ur very right...Kisungura hiyo sio pombe ni sumu.
Cooker vp??!Kisungura hiyo sio pombe ni sumu.
mie sijasema napesa mingi, aaah, hapana, ispokua kwakusema ukweli namshukuru Mungu natosheka na anacho nijaalia kibindoni pangu,Kwahiyo una pesa nyingi baba mchungaji?! 😜
Dada Joannah unamuelewa huyu lakini..?! Hebu atutumie pesa Captain Morgan tuamini maneno yake 🤣🤣🤣
Siijui mkuu, ila jua kama ni ya bei rahisi chini ya 10 kama ni spirit hiyo ni sumu.Cooker vp??!
Kwamba piga bia ukinunua bati likija kukukata je[emoji12][emoji12][emoji12].We piga vitu hamna gari ya 20000