Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mbona unaanza kubadili gia hewani 🤣🤣🤣mie sijasema napesa mingi, aaah, hapana, ispokua kwakusema ukweli namshukuru Mungu natosheka na anacho nijaalia kibindoni pangu,
Nafurahia kibali cha maisha anachonijaali Mungu, zawadi ya uhai na afya, bidii, maarifa, nguvu na kipato kizuri...
na huyo captain morgan ni nani na ni wawapi walau ni mjuee, ili nione jinzi ya nitume hiyo nauli
Ww tuma nauli, Captain Morgan ni binamu yetu anatokea mkoani 😜