Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Hiyo siku nimeenda hospital asubuhi kaja mkaka ana pombe bado kichwani anaulizia PEP maana alilewa akalala na mdada mwenye ngoma😂😂
mmh tatizo hilo, pombe zilimzidi, kitu chochote kikizidi ni majanga, vipi alipewa kwanza haha.
 
Mimi ni mlevi sana usemacho mleta mada ni kweli. wanawake ni viumbe wa ajabu sana kuliko hata mbayuwayu hawa viumbe wanapenda uwe kama katuni wao wa kuwafurahisha furahisha (funny- mtarekebisha kizungu) sasa ukilewa unakua funny na pia waleti inachanika kirahisi sana .yani mtoto aborek kabisa anafurahi tuu vituko vyako.

Ila ukilewa vibaya ni rahisi kufilisiwa lewa kwa akili mno
 
Mnywapombe hana kiasi kuna siku vibe litabamba atawaka na atakurudia nyumbani amejiharishia na mtaa mzima utajua.... Je, huo sio mwanzo wa kuwa ammada?

Kadiri mwili unavyozoea pombe kiwango cha unywaji kitaongezeka tu.

Kingine leo ana kauwezo atakunywa hizo wine na nini ila siku maisha yakishake tu tunamkuta kwa mama muuza anafosi komoni... Je, huo sio mwanzo wa uammada?

Sio kweli , kuna tofauti kati ya mlevi na mtumiaji, watumiaji wengi tunajua our limits, na kwa ujumla watumiaji ndio wenye kipato cha uhakika. Means wapo vema upstairs pia. Huwezi kutumia maneno kama huna kipato. na wana ramani za maisha. Wanajua kutafuta hela.
Na wanawake wanataka mtu mwenye kipato, mipango na ramani za maisha. Wewe enda gym kajazie mwili kisha kunywa fanta orenji na uwe mpole. Maisha hayahitaji uyakamie sana.
 
Back
Top Bottom