Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sasa ukiwa bar,changudoa au wale wa show time wanaokuwa around unaweza kuongea nao huo utoto?Wasiokunywa mitungi wajuaji sana halaf wakitongoza mwanamke lazima walete sound za kuoa, wakat walevi hawana hizo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema wanaume msiolewa mna gubu jamani
yani mimi unihemee naile miharufu mibaya ya pombe,woiii mtu wa mlevi simuwezi kwakwelPombe na umalaya ni mtu na binamu yake.!!
Wengine hatupendi wanaume walevi
🤣🤣🤣 kuna wanawake wanavumilia mengi, inatakiwa wapate walevi wenzaoyani mimi unihemee naile miharufu mibaya ya pombe,woiii mtu wa mlevi simuwezi kwakwel
kwakwel labda kama na mimi ningekuwa mlevi mwenzie[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna wanawake wanavumilia mengi, inatakiwa wapate walevi wenzao
Mfyuuukunyue 😂Mfyuuu 🤣🤣🤣
Kwendraaa 🤣🤣🤣Mfyuuukunyue 😂