Tunaongelea waawake vimbaumbau na vibonge mkuu!!
Tunachit chat mkuu.. haha mimi ni wale tulikuwa tunakwepa mateke.Naona watu wanakusifia sana mpaka wanawake wenzako utakuwa amazing bas
Mnoooo.....D yuko Vizuri kinoma noma!Naona watu wanakusifia sana mpaka wanawake wenzako utakuwa amazing bas
Atakuwa tyuu bize na shule π€£π€£Jomoneeeeee huyo mtu ana Wiki yapili hii simuoni jf...!
ππππ macho yenu yana shida gani? Mbona mnaona vitu ambavyo mie sivioniMnoooo.....D yuko Vizuri kinoma noma!
Vigodolo vina wahusu..Mbona jibu lipo kwenye swali, kwa sababu hatuna wowowo.
ππππππππππ! Wee hadi wanaume wakusifie ndio uone kuwa umebarikiwa sioπππππ€π€π€ππ!!ππππ macho yenu yana shida gani? Mbona mnaona vitu ambavyo mie sivioni
Naona Saint Anna amekuibia account πππππππππππ! Wee hadi wanaume wakusifie ndio uone kuwa umebarikiwa sioπππππ€π€π€ππ!!
Umebarikiwa kuliko wanawake wote buanaπ€!
Hahahahaaaa.... ππππππππππππ!! leo sijamuona ona sana mtakatifu hata kuleNaona Saint Anna amekuibia account π
Atakuwa occupied tuHahahahaaaa.... ππππππππππππ!! leo sijamuona ona sana mtakatifu hata kule
kuna na hawa umewasahau Wigelekelo na the boss ya mabosi injiniaaaaaaExtrovert DeepPond mzabzab naomba mkuje huku! Bila kukusahau raraa reree pisi mpya ya JF kwa mwaka huu ni Depal
Injinia Eng au Injinia whoooπkuna na hawa umewasahau Wigelekelo na the boss ya mabosi injiniaaaaaa
Wewe siyo kimbaumbau bwana[emoji28][emoji28]Kwahiyo ndo umeamua kutusema kimafumbo?freshi[emoji1534]