Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal.

Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki?

Halafu anajibu akiwa na Confidence tu.
 
Au anataka kuja kuwa kada wa chama cha tawala unataman uue kabisa
 
Daahaa polee[emoji2]
Yupo anaetaka mpira apa ata chuo ataki na home kanikimbia apa nipo namcheck tuu ata sijui nimfanyeje
Mpira bongo mgumu labda yupo ataemsaadia anashinda mpirani uko

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…