witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Itakuwa ushikirikinaWana asili ya kudhubutu ni wabishi mwisho wa siku lazma wachomoze....mana ukiwa mbishi lazma tu watu watakuachia nafasi....hata hvo ni moja ya mikoa ambayo watu wake huanza vizur lakn mwishon huishia kwenye ufukara na umaskini wa kutupwa....hakuna billionare wa kutoka kigoma...
Sent using Jamii Forums mobile app