Ni kwanini watu wengi maarufu nchii hii wanatokea kigoma

Ni kwanini watu wengi maarufu nchii hii wanatokea kigoma

Kumbe!! Ndo maana ni mkoa masikini na fukara zaidi hapa Bongoland!!
Ni kawaida ya watu maarufu kutojali nyumbani ndugu na jamaa na sasa nimeelewa why wanajifanya Dar ndo kwao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi maarufu wanatokea kigoma?,_huo ni upotoshaji. Tutaje watanzania kumi maarufu alaf tuone kigoma wamo wangapi. 1. Nyerere, 2. JPM, 3. Mo, 4. Barhkresa, 5. Menghi, 6. Lissu, 7. Gwajima, 8. Makonda, 9. Mwanri, 10. Mbowe. Haya, twambie Kigoma wapo wangapi?,_
Hapo Kwa mwanri ONDOA weka diamond Platinumz,
 
Back
Top Bottom