Itakuwa ushikirikinaWana asili ya kudhubutu ni wabishi mwisho wa siku lazma wachomoze....mana ukiwa mbishi lazma tu watu watakuachia nafasi....hata hvo ni moja ya mikoa ambayo watu wake huanza vizur lakn mwishon huishia kwenye ufukara na umaskini wa kutupwa....hakuna billionare wa kutoka kigoma...
Japo kwa ufupi ukisoma mwongozo huu utagundua mkoa wa kigoma ni mkoa wa kipekee ambao umetoa watu mashuhuri na maarufu nchi hii tukianzia .....
1.DIamond platnum KIGOMA
2.ALI KIBA KIGOMAAAA
3.ZITTO KABWE KIGOMAA
4.ABDUL NONDO KIGOMA
5.ASKOFU KAKOBE KIGOMA
6.SHEHE PONDA ISSA PONDA KIGOMA
7.JUMA KASEJA KIGOMA
8.LINAH KIGOMA
9.UPENDO NKONE KIGOMA
10.DAVID KAFULILA KIGOMA
11.KING MAJUTO KIGOMA
12.CHEGE CHIBUNDA KIGOMA
13.TX MOSHI KIGOMA
14.BANANA ZORO KIGOMA
15.MAUNDA ZORO KIGOMA
16.DOCTOR LEAKEY KIGOMA
17.FUNDI HAMIS FULL MIGEBUKA (KIGOMA)
18.
19.
HAYA MNAWEZA KUENDELEA KUWATAJA WENGINE NILIOWASAHAU LAKINI KWANINI
Sent using Jamii Forums mobile app
Lina gani unamzungumzia?
Agrey mwanri ni maarufu kuliko diyamondiWatu wengi maarufu wanatokea kigoma?,_huo ni upotoshaji. Tutaje watanzania kumi maarufu alaf tuone kigoma wamo wangapi. 1. Nyerere, 2. JPM, 3. Mo, 4. Barhkresa, 5. Menghi, 6. Lissu, 7. Gwajima, 8. Makonda, 9. Mwanri, 10. Mbowe. Haya, twambie Kigoma wapo wangapi?,_
Linnah gani anayetokea kigoma???Japo kwa ufupi ukisoma mwongozo huu utagundua mkoa wa kigoma ni mkoa wa kipekee ambao umetoa watu mashuhuri na maarufu nchi hii tukianzia .....
1.DIamond platnum KIGOMA
2.ALI KIBA KIGOMAAAA
3.ZITTO KABWE KIGOMAA
4.ABDUL NONDO KIGOMA
5.ASKOFU KAKOBE KIGOMA
6.SHEHE PONDA ISSA PONDA KIGOMA
7.JUMA KASEJA KIGOMA
8.LINAH KIGOMA
9.UPENDO NKONE KIGOMA
10.DAVID KAFULILA KIGOMA
11.KING MAJUTO KIGOMA
12.CHEGE CHIBUNDA KIGOMA
13.TX MOSHI KIGOMA
14.BANANA ZORO KIGOMA
15.MAUNDA ZORO KIGOMA
16.DOCTOR LEAKEY KIGOMA
17.FUNDI HAMIS FULL MIGEBUKA (KIGOMA)
18.
19.
HAYA MNAWEZA KUENDELEA KUWATAJA WENGINE NILIOWASAHAU LAKINI KWANINI
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lenyewe SANGA[emoji13][emoji13]Made in Makete kabisaLINAH Sanga sio wa Kigoma. Umemchanganya na LINEX naona!
Chege ni kutoka Mtwara,Japo kwa ufupi ukisoma mwongozo huu utagundua mkoa wa kigoma ni mkoa wa kipekee ambao umetoa watu mashuhuri na maarufu nchi hii tukianzia .....
1.DIamond platnum KIGOMA
2.ALI KIBA KIGOMAAAA
3.ZITTO KABWE KIGOMAA
4.ABDUL NONDO KIGOMA
5.ASKOFU KAKOBE KIGOMA
6.SHEHE PONDA ISSA PONDA KIGOMA
7.JUMA KASEJA KIGOMA
8.LINAH KIGOMA
9.UPENDO NKONE KIGOMA
10.DAVID KAFULILA KIGOMA
11.KING MAJUTO KIGOMA
12.CHEGE CHIBUNDA KIGOMA
13.TX MOSHI KIGOMA
14.BANANA ZORO KIGOMA
15.MAUNDA ZORO KIGOMA
16.DOCTOR LEAKEY KIGOMA
17.FUNDI HAMIS FULL MIGEBUKA (KIGOMA)
18.
19.
HAYA MNAWEZA KUENDELEA KUWATAJA WENGINE NILIOWASAHAU LAKINI KWANINI
Sent using Jamii Forums mobile app
Marhaba dogo..vp mjin umefanikiwa na mm nataka niibukie huko?
Hapo sasa
Akitoka profesa Muhongo unafatia wew kwa uongo!Chege ni kutoka Mtwara,
Diamond hata hajui kigoma ni wapi, wala hajawahi kukanyaga huko, Lina ni mhehe.. acha umbeya
Akitoka profesa Muhongo unafatia wew kwa uongo!
Lina ni mhehe?
Chege anatoka mtwara?
Diamond hapajui kigoma?
Acha ubishi mkuuubishi jadi yebu
WEWE ndio unaleta ubishi..!Acha ubishi mkuu
Unawajua akina Sanga ni kabila gani?
Unaijua kigoma all star ilioundwa na zitto kabwe?
Acha ushamba kama kitu hujui kaa kimya Lina ni mkinga na ujue njombe Hamna kabila LA wahehe, sheeeynzi typeee weeWEWE ndio unaleta ubishi..!
Sihitaji kubishana, but Lina Sanga ni mwenyeji wa Iringa/Njombe
Mtoto wa mama Said (Chege) ni Mtwara
Diamond TANDALE
HUTAKI KABISHANE NA JUA, mimi sikuwezi
kenge mkubwa wewe....! hata angekuwa kabila la mamako mtamu, hainihusuAcha ushamba kama kitu hujui kaa kimya Lina ni mkinga na ujue njombe Hamna kabila LA wahehe, sheeeynzi typeee wee
Uzuri ushaelewa basi sina nenokenge mkubwa wewe....! hata angekuwa kabila la mamako mtamu, hainihusu