Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Kuna vitu huwa najiuliza watu wengi wakiwa na pesa hujitenga sana na watu masikini tena hawa masikini hata wakiwatafutaga huwa simu zao hazipokelewi lakini sasa inapotokea watu wenye pesa wana shida basi kimbilio lao la kwanza ni kwa watu masikini.
Yaani unashanga mtu kipindi ana pesa alikuwa hana muda na wewe masikini ila leo hii baada kuwa na shida ndio anakukumbuka anaanza usumbufu mara ohooo muda wote anataka muwe mnaongozana, mara kila ukikutana anakusimulia matatizo yake, mara anataka umsindikize mahakamani sijui ana kesi na kampuni, mara aanze kukulamikia kuhusu kutegwa na watu wake wa karibu sababu ana shida yaani mambo kibao na matatizo kibao anakuletea wewe masikini.
Sasa ndipo najiuliza why wanakimbilia kwa watu masikini hao wenye pesa wenzake wako wapi waliokuwa wakila na kula bata pamoja asiwashushie mashida yake kuwaelezea.