Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

Kigamboni kweli maendeleo yake yanaenda taratibu sana, Lakini kuna uwezakano mkubwa sana ikaja kuwa Manispaa ambayo inaongoza kwa mji ulio katika mpangilio na hii ni kutokana na watu kuchelewa kuchukua maeneo Kigamboni kama ilivyo kwa manispaa zingine za Dar es salaam
Ukifuatilia sahv asilimia 99% ya maeneo ya ardhi yanayouzwa kigamboni ni surveyed plots na tayari ramani zake za mipango mji zimeshakua approved wizarani,
Hii ni faida sana kwa kizazi cha sasa na baadaye.

Kuna sehemu za manispaaa ya Ubungo mfano Goba, Mji umekua kwa haraka sana lakini ni Unplanned, kuna baadhi ya mitaa ya Goba Gari haliwezi kupita ,haya yote yamesababishwa na kuuziana viwanja kienyeji matokeo yake mji unakua na nyumba nyingi za kisure katika mazingira ya kiswahili, hii ni mbaya sana

Kwa maoni yangu binafsi ni bora Kigamboni iendelee hivyo hivyo kukua taratibu lakini ikiwa well organized, kuliko kutaka mji ukue haraka ukiwa unplanned, Tusijifikirie sisi tuu, tufikirie na vizazi vijavyo tutaviachia miji ya namna gani
 
Nimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa Kasi.

Ukitoka Mji Mwemba mpaka Pemba mnazi Kuna sehemu lami inaishia, Kimbiji ya miaka 10 iliopita na ya Leo hakuna tofauti, huko Buyuni Sasa kama mkoani, njoo Mwasonga hapo kati ni mapori tu na barabara mbovu, ukitokea kiwanda cha Nyati cement kupitia mwasonga-kibada barabara ni mbovu balaa, mvua zikinyesha hapapitiki, kuna sehemu kuna mashamba ya mpunga kunajaa maji balaa hakuna nyumba ni nyasi tuu na mapori unaweza ukasema sio Dar.

Nashangaa sana juzi nmetoka Chanika nikataka kupotea, kumbe Chanika kumekuwa mjini kabisa, nashangaa sana kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo hamna au kwakuwa wilaya mpya ndio maana inakua ya mwisho Kwa maendeleo Kwa hizi wilaya 5 za Dar??
Huko chanika ulikotaka kupotea ni kutokana na mji haujapangiliwa ,ndo maana .unashangaa njia zingine hazitoki, yani pako hovyo hovyo,
 
Kigamboni kweli maendeleo yake yanaenda taratibu sana, Lakini kuna uwezakano mkubwa sana ikaja kuwa Manispaa ambayo inaongoza kwa mji ulio katika mpangilio na hii ni kutokana na watu kuchelewa kuchukua maeneo Kigamboni kama ilivyo kwa manispaa zingine za Dar es salaam
Ukifuatilia sahv asilimia 99% ya maeneo ya ardhi yanayouzwa kigamboni ni surveyed plots na tayari ramani zake za mipango mji zimeshakua approved wizarani,
Hii ni faida sana kwa kizazi cha sasa na baadaye.

Kuna sehemu za manispaaa ya Ubungo mfano Goba, Mji umekua kwa haraka sana lakini ni Unplanned, kuna baadhi ya mitaa ya Goba Gari haliwezi kupita ,haya yote yamesababishwa na kuuziana viwanja kienyeji matokeo yake Goba umekuja Mji ambayo una nyumba nyingi za kisure ambazo ziko makazI ya kiswahili

Kwa maoni yangu binafsi ni bora Kigamboni iendelee hivyo hivyo kukua taratibu lakini ikiwa well organized, kuliko kutaka mji ukue haraka ukiwa unplanned, Tusijifikirie sisi tuu, tufikirie na vizazi vijavyo tutaviachia miji ya namna gani
Kigamboni hapa mwanzo pa ovyo sana kuna madimbwi ya maji , kunusa vumba labda huko mbele ni kuzuri sana
 
Sahihi mkuu, kwavile napo palivamiwa na waswahili ila nenda kuanzia mji mwema kuelekea huko dege,cheka mpaka kimbiji uone
 
Sahihi mkuu, kwavile napo palivamia ila nenda kuanzia mji mwema kuelekea huko dege,cheka mpaka kimbiji uone
Kweli pale mwanzo palipo changamka ndio pa ovyo bora kule mwisho kuanzia kibada huko.

Sema madalali wanakaza sana bei za viwanja
 
Kuanzia Nunge mpaka Kisiwani kuja Vijibweni Hospitali Mpaka kidongoni patauzwa kiuwekezaji.
Na hivi tunavyoongea Kidongoni ishauzwa nusu bado nusu watu washalipwa na kuondoka.
Huu mpango bado unaendelea? Na huko walipoanza walilipaje mkuu!
 
kigambon kumepimwa maeneo mengi. Tatizo la kigamboni lipo kimtazamo na kivitendo .
watu weng wana maeneo yao tena yana hati na yamepimwa chkulia mfano mbutu ila sasa kinachokwamisha ni barabara mfano mbutu kule kungekuwa na lami majumba yangemwagika kama Ilazo ya dodoma.
la pili mtazamo. kuna watu nimewaskia wanasema wanapenda kigamboni ila kila akifikiriq kuvukq na lile dude panton kila siku roho inatumbukia nyongo. mara kwa mara bovu .
shida ya kigambon ni lami.lami ingefika mbutu,pemba mnazi, mwasonga mpaka kule dar zoo ungeona majumba . sasa manispaa wenyewe madude ya kutupia taka yale machuma wanaita bucket yapo matano(5) manispaa nzima pita Kibada sokon ulione lilivyojaa taka. Unaweza kuta gari la taka limelala manispaa labda halina mafuta. Mola asaidie mbunge aje jembe. naona huyu wa sasa anagombea kaz ya WHO . maeneo yalioshikwa na matajiri ni kuanzia feri mpaka mawen ya beaches tu
 
Nliskia barabara ya lami iko kwenye mpango na tayari ilishaanza
 
Nimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa Kasi.

Ukitoka Mji Mwemba mpaka Pemba mnazi Kuna sehemu lami inaishia, Kimbiji ya miaka 10 iliopita na ya Leo hakuna tofauti, huko Buyuni Sasa kama mkoani, njoo Mwasonga hapo kati ni mapori tu na barabara mbovu, ukitokea kiwanda cha Nyati cement kupitia mwasonga-kibada barabara ni mbovu balaa, mvua zikinyesha hapapitiki, kuna sehemu kuna mashamba ya mpunga kunajaa maji balaa hakuna nyumba ni nyasi tuu na mapori unaweza ukasema sio Dar.

Nashangaa sana juzi nmetoka Chanika nikataka kupotea, kumbe Chanika kumekuwa mjini kabisa, nashangaa sana kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo hamna au kwakuwa wilaya mpya ndio maana inakua ya mwisho Kwa maendeleo Kwa hizi wilaya 5 za Dar??
KWA TAARIFA YAKO KIGAMBONI NDIO PATA PENDEZA SANA KUTOKANA NA PLANNING NZURI, PIA SASA HIVI MBONA MAJENGO MAKALI YANAJENGWA MAGORORFA KIBAO YANA SHUSHWA HATA HAPO FERRY TU KUNA GOROFA LA MAANA LIMEKAMILIKA MAJUZI TU
 
Nimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa Kasi.

Ukitoka Mji Mwemba mpaka Pemba mnazi Kuna sehemu lami inaishia, Kimbiji ya miaka 10 iliopita na ya Leo hakuna tofauti, huko Buyuni Sasa kama mkoani, njoo Mwasonga hapo kati ni mapori tu na barabara mbovu, ukitokea kiwanda cha Nyati cement kupitia mwasonga-kibada barabara ni mbovu balaa, mvua zikinyesha hapapitiki, kuna sehemu kuna mashamba ya mpunga kunajaa maji balaa hakuna nyumba ni nyasi tuu na mapori unaweza ukasema sio Dar.

Nashangaa sana juzi nmetoka Chanika nikataka kupotea, kumbe Chanika kumekuwa mjini kabisa, nashangaa sana kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo hamna au kwakuwa wilaya mpya ndio maana inakua ya mwisho Kwa maendeleo Kwa hizi wilaya 5 za Dar??
KWA TAARIFA YAKO KIGAMBONI NDIO PATA PENDEZA SANA KUTOKANA NA PLANNING NZURI, PIA SASA HIVI MBONA MAJENGO MAKALI YANAJENGWA MAGORORFA KIBAO YANA SHUSHWA HATA HAPO FERRY TU KUNA GOROFA LA MAANA LIMEKAMILIKA
Nliskia barabara ya lami iko kwenye mpango na tayari ilishaanza
Wapi huko mbona sioni sehemu wakijenga ukiacha mahakamani karibu na hospital ya wilaya
 
😃😃Kama mbutu pale ikifika usiku ni kama Upo mbeya giza lake
Kwani Mbutu si umeme umefika
Kichangani, mkwajuni kote kuna umeme
Ila kimbembe ni pale toka kichangani kuja Amani Gomvu ,au kichangani kuelekea Sara baharini
Ila kweli bado maendeleo taratibu
Nb: nomezaliwa na kukulia huko ingawa maisha yameniweka mbali na nyumbani
 
Umefika umeme shida wamejaa wakulima bamia kama Yeriko
 
Back
Top Bottom