Kigamboni wanakaa watu wenye pesa zao, ukitoka unalipa,na ukiingia unalipa, wwe endelea kukaa Bonyokwa, huko hakuna malipo ya kutoka na kuiingia Kigamboni hupawezi!!Kigamboni kumekaa kushoto huko siwezi kuishi.
Huko chanika ulikotaka kupotea ni kutokana na mji haujapangiliwa ,ndo maana .unashangaa njia zingine hazitoki, yani pako hovyo hovyo,Nimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa Kasi.
Ukitoka Mji Mwemba mpaka Pemba mnazi Kuna sehemu lami inaishia, Kimbiji ya miaka 10 iliopita na ya Leo hakuna tofauti, huko Buyuni Sasa kama mkoani, njoo Mwasonga hapo kati ni mapori tu na barabara mbovu, ukitokea kiwanda cha Nyati cement kupitia mwasonga-kibada barabara ni mbovu balaa, mvua zikinyesha hapapitiki, kuna sehemu kuna mashamba ya mpunga kunajaa maji balaa hakuna nyumba ni nyasi tuu na mapori unaweza ukasema sio Dar.
Nashangaa sana juzi nmetoka Chanika nikataka kupotea, kumbe Chanika kumekuwa mjini kabisa, nashangaa sana kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo hamna au kwakuwa wilaya mpya ndio maana inakua ya mwisho Kwa maendeleo Kwa hizi wilaya 5 za Dar??
Kigamboni hapa mwanzo pa ovyo sana kuna madimbwi ya maji , kunusa vumba labda huko mbele ni kuzuri sanaKigamboni kweli maendeleo yake yanaenda taratibu sana, Lakini kuna uwezakano mkubwa sana ikaja kuwa Manispaa ambayo inaongoza kwa mji ulio katika mpangilio na hii ni kutokana na watu kuchelewa kuchukua maeneo Kigamboni kama ilivyo kwa manispaa zingine za Dar es salaam
Ukifuatilia sahv asilimia 99% ya maeneo ya ardhi yanayouzwa kigamboni ni surveyed plots na tayari ramani zake za mipango mji zimeshakua approved wizarani,
Hii ni faida sana kwa kizazi cha sasa na baadaye.
Kuna sehemu za manispaaa ya Ubungo mfano Goba, Mji umekua kwa haraka sana lakini ni Unplanned, kuna baadhi ya mitaa ya Goba Gari haliwezi kupita ,haya yote yamesababishwa na kuuziana viwanja kienyeji matokeo yake Goba umekuja Mji ambayo una nyumba nyingi za kisure ambazo ziko makazI ya kiswahili
Kwa maoni yangu binafsi ni bora Kigamboni iendelee hivyo hivyo kukua taratibu lakini ikiwa well organized, kuliko kutaka mji ukue haraka ukiwa unplanned, Tusijifikirie sisi tuu, tufikirie na vizazi vijavyo tutaviachia miji ya namna gani
Sahihi mkuu, kwavile napo palivamiwa na waswahili ila nenda kuanzia mji mwema kuelekea huko dege,cheka mpaka kimbiji uoneKigamboni hapa mwanzo pa ovyo sana kuna madimbwi ya maji , kunusa vumba labda huko mbele ni kuzuri sana
Kweli pale mwanzo palipo changamka ndio pa ovyo bora kule mwisho kuanzia kibada huko.Sahihi mkuu, kwavile napo palivamia ila nenda kuanzia mji mwema kuelekea huko dege,cheka mpaka kimbiji uone
Sahihi sana mkuu, kama na wewe umeliona hiliEehh, Dsm mpya iko Kigamboni, itakuwa sehemu iliyopangwa kuliko zote
Usipoishi wewe Kigamboni wanapungukiwa nini?Kigamboni kumekaa kushoto huko siwezi kuishi.
Sipungukiwi na kitu mkuu.Usipoishi wewe Kigamboni wanapungukiwa nini?
Huu mpango bado unaendelea? Na huko walipoanza walilipaje mkuu!Kuanzia Nunge mpaka Kisiwani kuja Vijibweni Hospitali Mpaka kidongoni patauzwa kiuwekezaji.
Na hivi tunavyoongea Kidongoni ishauzwa nusu bado nusu watu washalipwa na kuondoka.
KWA TAARIFA YAKO KIGAMBONI NDIO PATA PENDEZA SANA KUTOKANA NA PLANNING NZURI, PIA SASA HIVI MBONA MAJENGO MAKALI YANAJENGWA MAGORORFA KIBAO YANA SHUSHWA HATA HAPO FERRY TU KUNA GOROFA LA MAANA LIMEKAMILIKA MAJUZI TUNimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa Kasi.
Ukitoka Mji Mwemba mpaka Pemba mnazi Kuna sehemu lami inaishia, Kimbiji ya miaka 10 iliopita na ya Leo hakuna tofauti, huko Buyuni Sasa kama mkoani, njoo Mwasonga hapo kati ni mapori tu na barabara mbovu, ukitokea kiwanda cha Nyati cement kupitia mwasonga-kibada barabara ni mbovu balaa, mvua zikinyesha hapapitiki, kuna sehemu kuna mashamba ya mpunga kunajaa maji balaa hakuna nyumba ni nyasi tuu na mapori unaweza ukasema sio Dar.
Nashangaa sana juzi nmetoka Chanika nikataka kupotea, kumbe Chanika kumekuwa mjini kabisa, nashangaa sana kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo hamna au kwakuwa wilaya mpya ndio maana inakua ya mwisho Kwa maendeleo Kwa hizi wilaya 5 za Dar??
KWA TAARIFA YAKO KIGAMBONI NDIO PATA PENDEZA SANA KUTOKANA NA PLANNING NZURI, PIA SASA HIVI MBONA MAJENGO MAKALI YANAJENGWA MAGORORFA KIBAO YANA SHUSHWA HATA HAPO FERRY TU KUNA GOROFA LA MAANA LIMEKAMILIKANimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa Kasi.
Ukitoka Mji Mwemba mpaka Pemba mnazi Kuna sehemu lami inaishia, Kimbiji ya miaka 10 iliopita na ya Leo hakuna tofauti, huko Buyuni Sasa kama mkoani, njoo Mwasonga hapo kati ni mapori tu na barabara mbovu, ukitokea kiwanda cha Nyati cement kupitia mwasonga-kibada barabara ni mbovu balaa, mvua zikinyesha hapapitiki, kuna sehemu kuna mashamba ya mpunga kunajaa maji balaa hakuna nyumba ni nyasi tuu na mapori unaweza ukasema sio Dar.
Nashangaa sana juzi nmetoka Chanika nikataka kupotea, kumbe Chanika kumekuwa mjini kabisa, nashangaa sana kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo hamna au kwakuwa wilaya mpya ndio maana inakua ya mwisho Kwa maendeleo Kwa hizi wilaya 5 za Dar??
Wapi huko mbona sioni sehemu wakijenga ukiacha mahakamani karibu na hospital ya wilayaNliskia barabara ya lami iko kwenye mpango na tayari ilishaanza
Cheka 🤔Sijajua ila nimekaa cheka... Naona freshi kabisa kabisa kwa wasiopenda fujo za Dar...
Chanika nilienda 2017 kulikuwa kuna wazaramo tuu siku hizi unaweza potea...
Charles kilian toa neno kuhusi Kigamboni yako
Kwani Mbutu si umeme umefika😃😃Kama mbutu pale ikifika usiku ni kama Upo mbeya giza lake
Mfano yule Manji kabla hajapokonywa like pori.., alikuwa analikalia tu, angalau sasa hivi wamejenga makao makuu ya ManispaaKigamboni imekwamishwa na matajiri
For 3 years nowCheka 🤔
How long have you been there?
Umefika umeme shida wamejaa wakulima bamia kama YerikoKwani Mbutu si umeme umefika
Kichangani, mkwajuni kote kuna umeme
Ila kimbembe ni pale toka kichangani kuja Amani Gomvu ,au kichangani kuelekea Sara baharini
Ila kweli bado maendeleo taratibu
Nb: nomezaliwa na kukulia huko ingawa maisha yameniweka mbali na nyumbani