wa4
Senior Member
- Jul 2, 2016
- 158
- 65
MUNGU ni WA ajabu nafsi zake 3 zote ni hai na zinatenda kazi. Alipokuwa anaingia MTO yordani kubatizwa (MWANA) ambaye ni Yesu. roho ya MUNGU akashuka juu yake mfano WA njiwa (Roho Mtakatifu) sauti ikasikika kutoka mbinguni (BABA)Sifa kuu ya nafsi ni lazima ionje umauti, kwa hiyo kwa mantiki hii inamaana huyo Mungu baba na roho nazo zitakufa, na kwa kuwa Mungu mwana hana uwezo kumzidi Mungu baba basi huo ndio utakuwa ukomo wa Mungu wa kikristo na kwa kuwa Mungu hana ukomo basi inamaana Mungu wa kikristo ni Mungu uchwara