Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mfano unaweza kutwambia ilikuaje yohana mbatizaji atume watu wakamuulize yesu iwapo ndie,wakati tayari walikuwa wamekutana na yesu na akambatiza?,Haina makosa kabisa. Ukiona ina kosa lolote ujue wewe ndo hujaelewa.
hata hizo unazo dai scientifically na factual pia ni fubricated. nani asiye jue kuwa studies nyingi zinakuwa fubricated kutimiza malengo ya funder? story za bible are absolutely correct?Kiumbe chenye umbo la kibinadamu hawezi paa kamwe...wala kutembea juu ya maji...scientifically haiwezekani...
Stori zote za biblia mostly ni fabrications,sio zote ni factual...thats the truth,hutaki andamana..
Yesu ni huwenda akawa mythical figure tu,huwenda alikuwepo au hakuwepo vilevile...ila stori za kumuelezea sio consinstent kabisa,na kitu kikishakua ambiguous,basi ni cha uongo,thats it...
Huwenda alikuwepo kweli ila stori za kumuhadithia hazi-make sense au wamepindisha makusudi...walioandika biblia ndio wanatupoteza,sio wakweli...
Mbinguni kuna hekalu na malaika wanaabudu
Swala sio kukujibu hili swali ila ni wewe kukaa mahali ambapo Mungu anaweza kukujalia kuelewa maandiko. La sivyo utabisha tu hata ukijibiwa sawa sawamfano unaweza kutwambia ilikuaje yohana mbatizaji atume watu wakamuulize yesu iwapo ndie,wakati tayari walikuwa wamekutana na yesu na akambatiza?,
how come yohana anaonekana kutomjua yesu wakati pia ni ndugu kwa maana ya ukoo mmoja na mamake na yesu na mamake yohana walikuwa wakitembeleana
naneEnzi hizo mwaka mmoja ulikuwa na siku ngapi?
hata hizo unazo dai scientifically na factual pia ni fubricated. nani asiye jue kuwa studies nyingi zinakuwa fubricated kutimiza malengo ya funder? story za bible are absolutely correct?
SIO KWELI fuatilia siku 360 silianza kuhesabiwa liniSiku 365 over
Chanzo cha dhambi ni tamaa. Kama vile watu wanavyotamani mabaya na kuacha memaNini chanzo cha dhambi? na kama ni shetani je ni nani wa kulaumiwa
Kati ya mungu binadamu na shetani?
Kwasababu mungu yeye ndio alimuumba adui shetani.
mkuu katika bible history ya yesu imeelezwa kwa ufupi sana,ukiaccount story iliyoelezwa ni ya miezi 6 tu,ile miaka 30 na ushee ya history yake ni gap,haionekani ndani ya bible,Huyo Yesu mlevi ni wa kuchekesha kweli...hebu kuweni serious kidogo bwana...stop this nonsense!
duh!we jamaa unafikiriA sana cjui uliwaza nn?Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Yohana alitegemea kufanyiwa mambo makubwa na Yesu hata kutolewa gerezani alipoona kimya alihofumfano unaweza kutwambia ilikuaje yohana mbatizaji atume watu wakamuulize yesu iwapo ndie,wakati tayari walikuwa wamekutana na yesu na akambatiza?,
how come yohana anaonekana kutomjua yesu wakati pia ni ndugu kwa maana ya ukoo mmoja na mamake na yesu na mamake yohana walikuwa wakitembeleana
MWANZO 6:3
BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa MIAKA MIA NA ISHIRINI.
MWANZO 7:6
Naye Nuhu alikuwa mtu wa MIAKA MIA SITA hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.
* * * * * * * *
huyu mwandishi inaelekea alikua na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.. alishaandika mungu amelimit umri wa binadamu uwe miaka ishirini tu.. baadae anakwambia Nuhu aliishi miaka mia sita..
Hatari sana.
Msilaani msije mkalaaniwaUlaaniwe kabisa na hiyo laana ifike mpaka vizazi vyako vijavyo mpaka utubu
Ulaaniwe kabisa na hiyo laana ifike mpaka vizazi vyako vijavyo mpaka utubu
Kinachozungumzuwa hapa si Nuhu ni humankind
Hapo umeshindwa kuelewa nini? Nadhani uelewa wako ndiyo uko chini badala yake unalaum biblia. Wakati anayatamka hayo ndiyo Nuhu alikuwa na miaka 600
mkuu katika bible history ya yesu imeelezwa kwa ufupi sana,ukiaccount story iliyoelezwa ni ya miezi 6 tu,ile miaka 30 na ushee ya history yake ni gap,haionekani ndani ya bible,
sasa unaweza kisia mambo mengi kiasi gani yameachwa kuhusu maisha ya ujanani ya huyo yesu
El hakuwa mungu wa israel pekee,eneo lote la caanan wakiabudu el,
ila utawala wa yudah walikuwa na mungu wao akiitwa YHWH ama jehova kwa kiswahili.yesu alitokea nchi ya yuda so haingii akilini kabla hajafa alie akimwita El,
Ninachofahamu na nimekisema El ama Eloi wa Israel alijifunua katika Utatu wa Uungu wake tangu uumbaji kabla hata hao unaowataja miungu ya Kaanani akina Dagon, Kemoshi, Ashtoreth, Baal hawajakuwepo. Aidha Yesu ni zaidi ya vile unavyomwelewa wewe. Yeye Kabla haijakuwako dunia alikuwako" (Yoh 1:1-12). Mungu wa Yuda ndiye alikuwa Mungu wa Israeli wote. Huyo anajitaja kuwa ndiye Mungu wa Ibrahim, Isaka naYakobo. Hiyo anamtambua Kama Baba yake kabla ya kumwita pale msalabani. Soma vizuri via Yesu Katika Mathayo utaelewa, soma unabii wa manabii kama Musa, Isaya, Mika na wengine hata Danieli juu ya Yesu katika Agano la Kale utamwelewa Yesu wa Agano Jipya. Na nikwambie El haikutumika peke yake inaporejewa kwa Mungu wa Israel bali ilitamkika "El Eloi Israel". Hii ilimtofautisha na ma-El wengine wowote ambao,wangejitokeza na kudai heshima ya uungu. Hivyo yeye ni El wa Israeli ndipo tuna pata majina ya zaidi Kama El Shaddai, El Shamma, El Sabaoth, ujue pia El wa Israel alitumia sheria wakati hata Wahiti nao walikuwa na sheria. Mnamkumbuka Hammurabi? Isipokuwa sheria za El wa Israel yaani El Shaddai zilikuwa tofauti katika maudhui na mantiki. Dhabihu alizotumia El wa Israeli zilikuwa tofauti na zile za Wakanaani kwa maudhui, lengo, mantiki na maana yake.Ndiyo maana hata Yesu alikuja kama mwanadamu na akazaliwa katika kabila na katika taifa la kibinadamu na kuifanya kazi yake. Mungu wa utamadunishaji, ama The Contextual God or God of contextualization.