Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

wewe ndo muuongo,acha kucheza na mambo ya Mungu. if your materialist then put your focus on understanding material things ambavyo navyo vinasitofhamu za kutosha. otherwise idealism itakupasua kichwa tu. maana havikai pamoja hata siku moja.
 
Haina makosa kabisa. Ukiona ina kosa lolote ujue wewe ndo hujaelewa.
mfano unaweza kutwambia ilikuaje yohana mbatizaji atume watu wakamuulize yesu iwapo ndie,wakati tayari walikuwa wamekutana na yesu na akambatiza?,

how come yohana anaonekana kutomjua yesu wakati pia ni ndugu kwa maana ya ukoo mmoja na mamake na yesu na mamake yohana walikuwa wakitembeleana
 
Kiumbe chenye umbo la kibinadamu hawezi paa kamwe...wala kutembea juu ya maji...scientifically haiwezekani...

Stori zote za biblia mostly ni fabrications,sio zote ni factual...thats the truth,hutaki andamana..

Yesu ni huwenda akawa mythical figure tu,huwenda alikuwepo au hakuwepo vilevile...ila stori za kumuelezea sio consinstent kabisa,na kitu kikishakua ambiguous,basi ni cha uongo,thats it...

Huwenda alikuwepo kweli ila stori za kumuhadithia hazi-make sense au wamepindisha makusudi...walioandika biblia ndio wanatupoteza,sio wakweli...
hata hizo unazo dai scientifically na factual pia ni fubricated. nani asiye jue kuwa studies nyingi zinakuwa fubricated kutimiza malengo ya funder? story za bible are absolutely correct?
 
Mbinguni kuna hekalu na malaika wanaabudu

Mbinguni ni wapi?Nipe location..

Mahekalu?Watu wanaabudi?Wacha uongo..

Lini uliyaona?Na hao watu humo walienda lini?Nani alienda huko akarudi kuwaletea habari kua kaona mahekalu na watu wanasali?Aliwaletea picha maybe au evidence yeyote?

Mbinguni ni sehemu ya kufikirika tu,hamna mtu alishaenda huko akarudi,tusigeuzane watoto hapa.
 
mfano unaweza kutwambia ilikuaje yohana mbatizaji atume watu wakamuulize yesu iwapo ndie,wakati tayari walikuwa wamekutana na yesu na akambatiza?,

how come yohana anaonekana kutomjua yesu wakati pia ni ndugu kwa maana ya ukoo mmoja na mamake na yesu na mamake yohana walikuwa wakitembeleana
Swala sio kukujibu hili swali ila ni wewe kukaa mahali ambapo Mungu anaweza kukujalia kuelewa maandiko. La sivyo utabisha tu hata ukijibiwa sawa sawa
 
hata hizo unazo dai scientifically na factual pia ni fubricated. nani asiye jue kuwa studies nyingi zinakuwa fubricated kutimiza malengo ya funder? story za bible are absolutely correct?

Scientific experiments zipi ni za uongo?Mention hapa wewe,one by one...

Acheni kubuni mambo
 
Nini chanzo cha dhambi? na kama ni shetani je ni nani wa kulaumiwa
Kati ya mungu binadamu na shetani?
Kwasababu mungu yeye ndio alimuumba adui shetani.
Chanzo cha dhambi ni tamaa. Kama vile watu wanavyotamani mabaya na kuacha mema
 
Huyo Yesu mlevi ni wa kuchekesha kweli...hebu kuweni serious kidogo bwana...stop this nonsense!
mkuu katika bible history ya yesu imeelezwa kwa ufupi sana,ukiaccount story iliyoelezwa ni ya miezi 6 tu,ile miaka 30 na ushee ya history yake ni gap,haionekani ndani ya bible,
sasa unaweza kisia mambo mengi kiasi gani yameachwa kuhusu maisha ya ujanani ya huyo yesu
 
Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.

Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
duh!we jamaa unafikiriA sana cjui uliwaza nn?
 
mfano unaweza kutwambia ilikuaje yohana mbatizaji atume watu wakamuulize yesu iwapo ndie,wakati tayari walikuwa wamekutana na yesu na akambatiza?,

how come yohana anaonekana kutomjua yesu wakati pia ni ndugu kwa maana ya ukoo mmoja na mamake na yesu na mamake yohana walikuwa wakitembeleana
Yohana alitegemea kufanyiwa mambo makubwa na Yesu hata kutolewa gerezani alipoona kimya alihofu
 
MWANZO 6:3

BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa MIAKA MIA NA ISHIRINI.

MWANZO 7:6

Naye Nuhu alikuwa mtu wa MIAKA MIA SITA hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.

* * * * * * * *

huyu mwandishi inaelekea alikua na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.. alishaandika mungu amelimit umri wa binadamu uwe miaka ishirini tu.. baadae anakwambia Nuhu aliishi miaka mia sita..

Hatari sana.


Kinachozungumzuwa hapa si Nuhu ni humankind[/QUOTE]
Hapo umeshindwa kuelewa nini? Nadhani uelewa wako ndiyo uko chini badala yake unalaum biblia. Wakati anayatamka hayo ndiyo Nuhu alikuwa na miaka 600
 
Ulaaniwe kabisa na hiyo laana ifike mpaka vizazi vyako vijavyo mpaka utubu

Halafu wewe unajitia mkristo safi kabisa...wakristo ni wanafiki sana...

Umeamua kujipa kazi ya kulaani wanadamu wenzio as if wewe ni malaika?Sijui huo uwezo na madaraka umepata wapi?Mungu alikupa hiyo kazi nadhani..

Wakristo wana kitu cha ajabu sana,wanaji-feel entitled kwa kila kitu,halafu wanafiki sana...halafu mnachoamini kinaweza kisiwe cha kweli maana proof hamna...yaani hamna sense ya ubinadamu with other human beings,nyie kwanza wengine wasiokubali huyo mungu wenu ni mang'ombe
 
Kinachozungumzuwa hapa si Nuhu ni humankind
Hapo umeshindwa kuelewa nini? Nadhani uelewa wako ndiyo uko chini badala yake unalaum biblia. Wakati anayatamka hayo ndiyo Nuhu alikuwa na miaka 600

Huo utafsiri wako uwezo umetoa wapi tofauti na wanadamu wengine?
Na hiyo tafsiri yako unajuaje ni sahihi na za sisi wengine ni si sahihi?Wewe authority ya kudai kua wewe upo sahihi na mwenzio hayupo sahihi umetoa wapi?

Huyo mungu alieamua kujenga biblia ambayo nyie wachache ndio mnaoweza "kuitafsiri" sahihi na sisi wengine si sahihi basi ni mbaguzi,nyie tu wenye uwezo wa kutafsiri ndio muende mbinguni?Mungu si mbaguzi namna hiyo

Tatizo mnajidhani nyie ndio mna mandate ya kutafsiri kiusahihi ila sisi wanadamu wengine ni mambumbumbu kiasi kwamba hatuwezi na tutaenda motoni,nyie tu ndio mna akili ya kutasiri

Please stop this
 
mkuu katika bible history ya yesu imeelezwa kwa ufupi sana,ukiaccount story iliyoelezwa ni ya miezi 6 tu,ile miaka 30 na ushee ya history yake ni gap,haionekani ndani ya bible,
sasa unaweza kisia mambo mengi kiasi gani yameachwa kuhusu maisha ya ujanani ya huyo yesu

Ndio maana nakwambia mkuu,walioandika biblia kwa mikono yao inatakiwa tuwashike watueleze udhibitisho beyond doubt kua walichoandika ni kweli tupu laasivyo tunakula nao sahani moja

Walichoandika kina gusa na kuathiri dunia miaka karibu 3,000 sasa...
 
El hakuwa mungu wa israel pekee,eneo lote la caanan wakiabudu el,
ila utawala wa yudah walikuwa na mungu wao akiitwa YHWH ama jehova kwa kiswahili.yesu alitokea nchi ya yuda so haingii akilini kabla hajafa alie akimwita El,

Ninachofahamu na nimekisema El ama Eloi wa Israel alijifunua katika Utatu wa Uungu wake tangu uumbaji kabla hata hao unaowataja miungu ya Kaanani akina Dagon, Kemoshi, Ashtoreth, Baal hawajakuwepo. Aidha Yesu ni zaidi ya vile unavyomwelewa wewe. Yeye Kabla haijakuwako dunia alikuwako" (Yoh 1:1-12). Mungu wa Yuda ndiye alikuwa Mungu wa Israeli wote. Huyo anajitaja kuwa ndiye Mungu wa Ibrahim, Isaka naYakobo.

Hiyo anamtambua Kama Baba yake kabla ya kumwita pale msalabani. Soma vizuri via Yesu Katika Mathayo utaelewa, soma unabii wa manabii kama Musa, Isaya, Mika na wengine hata Danieli juu ya Yesu katika Agano la Kale utamwelewa Yesu wa Agano Jipya. Na nikwambie El haikutumika peke yake inaporejewa kwa Mungu wa Israel bali ilitamkika "El Eloi Israel". Hii ilimtofautisha na ma-El wengine wowote ambao,wangejitokeza na kudai heshima ya uungu.

Hivyo yeye ni El wa Israeli ndipo tuna pata majina ya zaidi Kama El Shaddai, El Shamma, El Sabaoth, ujue pia El wa Israel alitumia sheria wakati hata Wahiti nao walikuwa na sheria. Mnamkumbuka Hammurabi? Isipokuwa sheria za El wa Israel yaani El Shaddai zilikuwa tofauti katika maudhui na mantiki. Dhabihu alizotumia El wa Israeli zilikuwa tofauti na zile za Wakanaani kwa maudhui, lengo, mantiki na maana yake.

Ndiyo maana hata Yesu alikuja kama mwanadamu na akazaliwa katika kabila na katika taifa la kibinadamu na kuifanya kazi yake. Mungu wa utamadunishaji, ama The Contextual God or God of contextualization.
 
Ninachofahamu na nimekisema El ama Eloi wa Israel alijifunua katika Utatu wa Uungu wake tangu uumbaji kabla hata hao unaowataja miungu ya Kaanani akina Dagon, Kemoshi, Ashtoreth, Baal hawajakuwepo. Aidha Yesu ni zaidi ya vile unavyomwelewa wewe. Yeye Kabla haijakuwako dunia alikuwako" (Yoh 1:1-12). Mungu wa Yuda ndiye alikuwa Mungu wa Israeli wote. Huyo anajitaja kuwa ndiye Mungu wa Ibrahim, Isaka naYakobo. Hiyo anamtambua Kama Baba yake kabla ya kumwita pale msalabani. Soma vizuri via Yesu Katika Mathayo utaelewa, soma unabii wa manabii kama Musa, Isaya, Mika na wengine hata Danieli juu ya Yesu katika Agano la Kale utamwelewa Yesu wa Agano Jipya. Na nikwambie El haikutumika peke yake inaporejewa kwa Mungu wa Israel bali ilitamkika "El Eloi Israel". Hii ilimtofautisha na ma-El wengine wowote ambao,wangejitokeza na kudai heshima ya uungu. Hivyo yeye ni El wa Israeli ndipo tuna pata majina ya zaidi Kama El Shaddai, El Shamma, El Sabaoth, ujue pia El wa Israel alitumia sheria wakati hata Wahiti nao walikuwa na sheria. Mnamkumbuka Hammurabi? Isipokuwa sheria za El wa Israel yaani El Shaddai zilikuwa tofauti katika maudhui na mantiki. Dhabihu alizotumia El wa Israeli zilikuwa tofauti na zile za Wakanaani kwa maudhui, lengo, mantiki na maana yake.Ndiyo maana hata Yesu alikuja kama mwanadamu na akazaliwa katika kabila na katika taifa la kibinadamu na kuifanya kazi yake. Mungu wa utamadunishaji, ama The Contextual God or God of contextualization.

Yaani umetaja karibu miungu 70 hivi...hapo hapo mnadai mungu ni mmoja....mnafaa muwe wachawi tu...Hamna tofauti na uchawi

Mungu wa kila kabila la kanchi kanaitwa Israel yupo hapo umewataja,Mungu wa wachaga sijamuona hapo.Wabaguzi wakubwa

Hii ni stupidity gymnastics tu.

Huwezi kutumia biblia kama reference ya mjadala wa kibinadamu hapa duniani,labda ni applicable kwa waisrael,ndio walioiandika na wamejiandikia wao kwa ajili yao,wengine haituhusu kimantiki

Kitabu hakina authors,hakina citations tujue basis ya story zao...ni compilation ya bunch of fictional stories ambazo hata sio factual 100%
 
Back
Top Bottom