Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

MUNGU ni WA ajabu nafsi zake 3 zote ni hai na zinatenda kazi. Alipokuwa anaingia MTO yordani kubatizwa (MWANA) ambaye ni Yesu. roho ya MUNGU akashuka juu yake mfano WA njiwa (Roho Mtakatifu) sauti ikasikika kutoka mbinguni (BABA)
 
Siyo boblia peke yake pitia vitabu vyote vya dini vinasema hivyo mkuu
 
Mkuu hukuwa na dini ya kweli maana dini ya kweli imejaa upendo. Ukiwa nayo hiyo hutamchukia MTU yoyote kwa namna yoyote ila unaweza kumhurumia mtu. Msihukumu msije mkahukumiwa
 
Mkuu hukuwa na dini ya kweli maana dini ya kweli imejaa upendo. Ukiwa nayo hiyo hutamchukia MTU yoyote kwa namna yoyote ila unaweza kumhurumia mtu. Msihukumu msije mkahukumiwa
acha kuongea pumba we mwenyewe umeona majibu na matusi ya wakristo wenzako humu.. limtokalo mtu ndilo aliwazalo, na wakristo mawazo yenu juu ya watu wa dini tofauti si ya kheri, hata mahubiri nayo ni ya vijembe.
 
acha kuongea pumba we mwenyewe umeona majibu na matusi ya wakristo wenzako humu.. limtokalo mtu ndilo aliwazalo, na wakristo mawazo yenu juu ya watu wa dini tofauti si ya kheri, hata mahubiri nayo ni ya vijembe.
Si wote wamwitao BW ni watumishi wake wengine atawakana kuwa hawatambui na atawafukuza
 
Ishara ni moja kwa wote siku tatu bila kuliona jua
 
jiulize swali Yesu aliwezaje kupaa mbinguni au kutembea juu ya maji ina maana alishindana na gravitational force? Ukisoma 2Petro 1:21 biblia inasema, 'wanadamu wanena yaliyotoka kwa Mungu wakiongozwa na Roho wa Mungu'. Vitabu vya kwanza vitano vya biblia vimeandikwa na nabii Musa ambaye hakuwepo wakati Mungu anaumba dunia. Ni wazi kuwa Mungu ndiye alimwongoza. soma Isaya 46:9-10 Mungu anasema '...nitangazaye mwisho tangu na tangu zamani za kale mambo yasiyotendeka bado...'
 

Huyo Yesu mlevi ni wa kuchekesha kweli...hebu kuweni serious kidogo bwana...stop this nonsense!
 
Hahahaa....mbinguni wana "dini"?Na mbinguni ni wapi?Hupajui

Basi tu-assume kweli dini ilianzia mbinguni,ni dini gani labda?Itaje...Hujui hata unye
Mbinguni kuna hekalu na malaika wanaabudu
 

Kiumbe chenye umbo la kibinadamu hawezi paa kamwe...wala kutembea juu ya maji...scientifically haiwezekani...

Stori zote za biblia mostly ni fabrications,sio zote ni factual...thats the truth,hutaki andamana..

Yesu ni huwenda akawa mythical figure tu,huwenda alikuwepo au hakuwepo vilevile...ila stori za kumuelezea sio consinstent kabisa,na kitu kikishakua ambiguous,basi ni cha uongo,thats it...

Huwenda alikuwepo kweli ila stori za kumuhadithia hazi-make sense au wamepindisha makusudi...walioandika biblia ndio wanatupoteza,sio wakweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…