Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

halafu pia hujasema walikua wanaishi wapi.. itakua vema ukiweka wazi walikua wanaishi wapi.. kama si duniani, ni wapi?
 
Ukisema miaka ya kuishi inapungua kutokana na wakati je
Unaweza kuniambia ni nani iliye ishi angalau miaka 300 kipindi cha yesu.
 
Kuishi bila kufa maisha yanakuwa hayana maana.
 
Adam alikua giant sana wanasema wataalamu wa maandiko, ndio maana binadamu walioshi miaka ya 16000 na kuendelea hata wale wa 1800 sio sawa na sisi.walikua na nguvu sana, Adam aliishi miaka mingi..kupunguzwa kwa miaka yetu kulifanywa na Mungu baada ya kuona kiburi chetu
 
Wanasema mtu ukiwa muongo inabidi uwe unaakili zaidi ya yule unaye mdanganya.
Hata kama kipindi kile wazungu waliwadanganya babu zetu walikuwa sahihi kwasababu watu akili bado zilikua ziko nyuma sana.
Na saizi tupo kwenye wakati mwingine ambao kila kitu kinaonekana. Na makosa waliyofanya babu zetu sisi hatuwezi kuyaludia.
 
Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.

Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Inawezekana hata wewe umedanganywa mwaka uliozaliwa maneno ya mungu sio ya kubishania "BIBLIA NI MADINI"madini hayapatikani kirahisi
 
Kuishi bila kufa maisha yanakuwa hayana maana.
kwa hivyo hata wale wanaohangaikia kwenda mbinguni, wajue kwamba life ya mbinguni haitakua na msisimko wowote sababu hamna watakalokua wanafanya zaidi ya kuimba haleluya.. pata picha malaika wa mbinguni walivyoboreka sasa hivi..

miaka zaidi ya 2000 imepita wao wanaimba haleluya tu!! we unaona hilo life linavutia??

wanadamu wanaogopa moto halafu at the same time wanajua kabisa life la mbinguni halivutii hata kidogo.

wanakwambia mbinguni hamna kufanya mapenzi, we huoni hii ndo sababu iliowafanya wale wana wa mungu (malaika) kuja kuwagegeda wanawake huku duniani na kuzaa nao wanefili?

huoni hata huko mbinguni bado wapo viumbe wanaotamani maisha ya kibinadamu na matendo ya kujamiiana?

kwa namna hii mbinguni inaitwaje sehemu takatifu kama malaika wana mawazo ya kishetani pia? ukiacha ile theluthi ya malaika wote walioangushwa pamoja na shetani, bado kuna wengine pia walikengeuka na kufukuzwa pia, na si kwa sababu walitaka kumpindua mungu, ila ni tamaa ya kujamiiana..

kwa hivyo hata maisha ya mbinguni ambayo hawa wafia dini wanayalilia pia hayana maana wala ukamilifu wowote.

hata uwe na demu mkali vipi utakuja kumchoka tu, same as heaven, eventually people will get bored.

NI JINSI GANI HAYA MAMBO YALIVYO YA KUFIKIRIKA.

hatari sana.
 
itafikia wakati biblia itakua ipo outdated completely.. we unadhani kwanini kila kukicha wanatoa version mpya za bible? sasa neno gani tukufu linabadilishwa kutokana na mazingira, badala ya mazingira yabadilishwe na neno tukufu? mungu gani huyu anakua adjusted kutokana na mazingira? mungu kashakua kama kiti cha basi la kimbinyiko sasa, watu wanamuadjust kila kukicha..
 
Nafikiri hata ukihesabu kwa uelekeo wowote ule mtu au kitu kikifikia tamati unapata idadi ya muda wake. Jaribu kuhesabu masaa kinyume halafu uone kama jumla ya masaa kwa siku yatakuwa tofauti.
Pumba...
 
Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.

Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Hata swali ulilouliza inaonyesha jinsi usivyo na akili.tatizo lako mipango ya Mungu na uweza wake unaupima kwa akili zako kiduchu.kwanza kumbuka huna uwezo Wa kumjadili Mungu na maneno yake
 
Pumba tupu... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mkuu,majamaa maongo kupita kiasi...itafika kipindi mtu akionekana anakisoma itabidi tumpeleke mirembe mkuu.

It does not make any sense whatsoever
 
Hata swali ulilouliza inaonyesha jinsi usivyo na akili.tatizo lako mipango ya Mungu na uweza wake unaupima kwa akili zako kiduchu.kwanza kumbuka huna uwezo Wa kumjadili Mungu na maneno yake
Mbona nimeisha mjadili na kama unaamini yupo muambie anifanye chochote.
 
Mkuu,majamaa maongo kupita kiasi...itafika kipindi mtu akionekana anakisoma itabidi tumpeleke mirembe mkuu.

It does not make any sense whatsoever
Hata hivyo ukiwachunguza hawana uelewa wa wanachokishikilia.
 
according to Jesus, hakuna anaeweza kufika mbinguni isipokua kupitia yeye.. yani hata mchina mhindi mwarabu hawasalimiki maana wao wanaabudu buddha, Allah na krishna. yani dunia nzima inabidi tuwe wakristo ili twende mbinguni... hatari sana
Wewe ni k****ma nini?
Watumwa bwana!!!
 
Pumba
Mkuu upo vizuri, ila mashabiki wa dini hawajaelewa. Watu wamelewa kwa maneno na matamko ya kuambiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…