Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisema miaka ya kuishi inapungua kutokana na wakati jeMwanadamu aliumbwa kuishi milele, kabla ya dhambi hakukuwa na kifo lakini baada ya dhambi ndipo kifo kikaanza then miaka ya kuishi ikaanza kupungua. Kwa hiyo kupungua kwa miaka ya kuishi hadi hivi leo ambapo ww waweza ishi miaka 40 au 10 au 25 basi ni matokeo ya dhambi. Biblia imejazwa na maneno ya manabii waliokuwepo enzi hizo na kwa kipindi cha mwanzo iliandikwa katika gombo katika lugha za manabii. Hivyo, zilitafsiriwa baadae katika lugha mbalimbali ili injili iwafikie watu wengi zaidi. hakuna neno la uongo. Mithali 30:5-6 "5 Maneno yote ya Mungu ni ya kuaminika;yeye ni ngao yao wote wanaomkimbilia. 6 Usiongeze neno katika maneno yake,asije akakukemea, nawe ukaonekana mwongo".
Kuishi bila kufa maisha yanakuwa hayana maana.tukiwafufua wafu wote waliokufa tangu siku ya kwanza ya adam na hawa kuumbwa mpaka mwaka huu 2016, unadhani tukichanganyika sisi tulio hai na wao tutaenea hapa duniani?
yani akilini mwako tengeneza picha ya dunia ya watu ambao hawajatenda dhambi, halafu wachanganye na watu waliokufa tangu enzi za adam na hawa, wafufue, halafu sema kama tunaenea duniani au hatuenei?
Wanasema mtu ukiwa muongo inabidi uwe unaakili zaidi ya yule unaye mdanganya.nyie wafia dini someni vitabu vyenu acheni kuwa matahira kiasi hiki..
mungu wakati anaumba dunia mpaka siku ya tano alikamilisha kila kitu isipokuwa nwanadamu.. siku ya sita akamuumba mwanadamu, akamuumba mwanaume na mwanamke, na akawabariki akawaambia zaeni na mkaijaze NCHI.. nchi ipo wapi kama sio duniani?
mungu aliumba mbingu na nchi, mbingu tunajua ipo juu, nchi ipo chini, unabisha nini? wewe una akili kweli?
MWANZO 1:27-28
"Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi."
Inawezekana hata wewe umedanganywa mwaka uliozaliwa maneno ya mungu sio ya kubishania "BIBLIA NI MADINI"madini hayapatikani kirahisiMtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
kwa hivyo hata wale wanaohangaikia kwenda mbinguni, wajue kwamba life ya mbinguni haitakua na msisimko wowote sababu hamna watakalokua wanafanya zaidi ya kuimba haleluya.. pata picha malaika wa mbinguni walivyoboreka sasa hivi..Kuishi bila kufa maisha yanakuwa hayana maana.
itafikia wakati biblia itakua ipo outdated completely.. we unadhani kwanini kila kukicha wanatoa version mpya za bible? sasa neno gani tukufu linabadilishwa kutokana na mazingira, badala ya mazingira yabadilishwe na neno tukufu? mungu gani huyu anakua adjusted kutokana na mazingira? mungu kashakua kama kiti cha basi la kimbinyiko sasa, watu wanamuadjust kila kukicha..Wanasema mtu ukiwa muongo inabidi uwe unaakili zaidi ya yule unaye mdanganya.
Hata kama kipindi kile wazungu waliwadanganya babu zetu walikuwa sahihi kwasababu watu akili bado zilikua ziko nyuma sana.
Na saizi tupo kwenye wakati mwingine ambao kila kitu kinaonekana. Na makosa waliyofanya babu zetu sisi hatuwezi kuyaludia.
Pumba...Nafikiri hata ukihesabu kwa uelekeo wowote ule mtu au kitu kikifikia tamati unapata idadi ya muda wake. Jaribu kuhesabu masaa kinyume halafu uone kama jumla ya masaa kwa siku yatakuwa tofauti.
Hata swali ulilouliza inaonyesha jinsi usivyo na akili.tatizo lako mipango ya Mungu na uweza wake unaupima kwa akili zako kiduchu.kwanza kumbuka huna uwezo Wa kumjadili Mungu na maneno yakeMtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Pumba tupu... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwa nawakubali sana watu wanaopenda kujua ukweli.. ipo hivi, mungu alifahamu kabisa ukoloni na mambo ya kitumwa, IN FACT, yeye ndiye muanzilishi wa utumwa na ukoloni..
AGANO AMBALO MUNGU ALIWEKEANA NA IBRAHIMU:
MWANZO 17:3-5
Ibrahimu angewezaje kuwa baba wa mataifa mengi bila kuvamia na kufanya makoloni katika hayo mataifa?
MWANZO 17:8
unaona kabisa Ibrahimu alikua sio mzaliwa wa kanaani, alikua ni mgeni pale, ila mungu akamuahidi atapindua utawala wa kanaani na kufanya kuwa milki ya milele ya Ibrahamu, na mungu wa Ibrahimu atakua mungu wa watu wa kanaani.. story hii inafanana kabisa na uvamizi wa wazungu katika nchi za afrika, na mungu wao amekuwa mungu wetu..
MWANZO 17:13
unaona kabisa hapa mungu anaongelea swala la kununua watu, yani biashara ya utumwa, mungu anamwelekeza Ibrahimu kuwa hata hao watu atakaowanunua kama watumwa lazima watahiriwe. SISI TUNAKAA HAPA TUNASEMA MZUNGU ATAKUJA KUHUKUMIWA SIKU YA MWISHO KWA KUTUFANYA WATUMWA, WAKATI MUNGU ALIWARUHUSU KABISA WAFANYE HIVYO..
KWA HIO MZUNGU MPAKA KUJA KUVAMIA BARA LA AFRIKA NI KAMA ALIPEWA MWONGOZO NA MUNGU WAO AFANYE HIVYO..
ukweli unauma ila vumilia tu.
zinzima, who got the keys to ma beamer,Pumba tupu... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hivi vitabu vinavyofunga akili za watu ni noma sana...kile kilichoshushwa kinasema nabii Adam alikuwa na urefu wa futi 90...niliishiwa nguvu kabisa, yaani 90ft alafu miaka 6000 baadae wanawe hawafikishi hata 2ft?....waandishi hawakuutendea haki uelewa wa watu kabisa.
Mbona nimeisha mjadili na kama unaamini yupo muambie anifanye chochote.Hata swali ulilouliza inaonyesha jinsi usivyo na akili.tatizo lako mipango ya Mungu na uweza wake unaupima kwa akili zako kiduchu.kwanza kumbuka huna uwezo Wa kumjadili Mungu na maneno yake
Hata hivyo ukiwachunguza hawana uelewa wa wanachokishikilia.Mkuu,majamaa maongo kupita kiasi...itafika kipindi mtu akionekana anakisoma itabidi tumpeleke mirembe mkuu.
It does not make any sense whatsoever
Wewe ni k****ma nini?according to Jesus, hakuna anaeweza kufika mbinguni isipokua kupitia yeye.. yani hata mchina mhindi mwarabu hawasalimiki maana wao wanaabudu buddha, Allah na krishna. yani dunia nzima inabidi tuwe wakristo ili twende mbinguni... hatari sana
true, majibu yao humu ni ushahidi tosha.Hata hivyo ukiwachunguza hawana uelewa wa wanachokishikilia.
PumbaKwa haya majibu ya wakristo humu, unajua kabisa mentality yao au FIKRA ZAO ZIMEKAAJE..
kwa majibu yao unaona kabisa wao wanaona ni sawa mungu kumuua mtu asiemuamini yesu.. sasa kwa mentality hii kunakua hamna tofauti na shetani ambae anaua watu ambao hawamwamini..
sasa mungu anaua wasiomwamini, na shetani anaua wasiomwamini.. WE ARE THE VICTIMS HERE.. mi naona vita inabidi iwe kati ya shetani na mungu and THE WINNER TAKES ALL..
ila WHY CANT THAT HAPPEN? BECAUSE THEY ENJOY PLAYING WITH HUMAN BEINGS LIVES AND EMOTIONS.
unaweza kusema God and Satan are friends, or the same person with two different identities.
Mkuu upo vizuri, ila mashabiki wa dini hawajaelewa. Watu wamelewa kwa maneno na matamko ya kuambiwa.