Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

halafu pia hujasema walikua wanaishi wapi.. itakua vema ukiweka wazi walikua wanaishi wapi.. kama si duniani, ni wapi?
 
Mwanadamu aliumbwa kuishi milele, kabla ya dhambi hakukuwa na kifo lakini baada ya dhambi ndipo kifo kikaanza then miaka ya kuishi ikaanza kupungua. Kwa hiyo kupungua kwa miaka ya kuishi hadi hivi leo ambapo ww waweza ishi miaka 40 au 10 au 25 basi ni matokeo ya dhambi. Biblia imejazwa na maneno ya manabii waliokuwepo enzi hizo na kwa kipindi cha mwanzo iliandikwa katika gombo katika lugha za manabii. Hivyo, zilitafsiriwa baadae katika lugha mbalimbali ili injili iwafikie watu wengi zaidi. hakuna neno la uongo. Mithali 30:5-6 "5 Maneno yote ya Mungu ni ya kuaminika;yeye ni ngao yao wote wanaomkimbilia. 6 Usiongeze neno katika maneno yake,asije akakukemea, nawe ukaonekana mwongo".
Ukisema miaka ya kuishi inapungua kutokana na wakati je
Unaweza kuniambia ni nani iliye ishi angalau miaka 300 kipindi cha yesu.
 
tukiwafufua wafu wote waliokufa tangu siku ya kwanza ya adam na hawa kuumbwa mpaka mwaka huu 2016, unadhani tukichanganyika sisi tulio hai na wao tutaenea hapa duniani?

yani akilini mwako tengeneza picha ya dunia ya watu ambao hawajatenda dhambi, halafu wachanganye na watu waliokufa tangu enzi za adam na hawa, wafufue, halafu sema kama tunaenea duniani au hatuenei?
Kuishi bila kufa maisha yanakuwa hayana maana.
 
Adam alikua giant sana wanasema wataalamu wa maandiko, ndio maana binadamu walioshi miaka ya 16000 na kuendelea hata wale wa 1800 sio sawa na sisi.walikua na nguvu sana, Adam aliishi miaka mingi..kupunguzwa kwa miaka yetu kulifanywa na Mungu baada ya kuona kiburi chetu
 
nyie wafia dini someni vitabu vyenu acheni kuwa matahira kiasi hiki..

mungu wakati anaumba dunia mpaka siku ya tano alikamilisha kila kitu isipokuwa nwanadamu.. siku ya sita akamuumba mwanadamu, akamuumba mwanaume na mwanamke, na akawabariki akawaambia zaeni na mkaijaze NCHI.. nchi ipo wapi kama sio duniani?

mungu aliumba mbingu na nchi, mbingu tunajua ipo juu, nchi ipo chini, unabisha nini? wewe una akili kweli?

MWANZO 1:27-28

"Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi."
Wanasema mtu ukiwa muongo inabidi uwe unaakili zaidi ya yule unaye mdanganya.
Hata kama kipindi kile wazungu waliwadanganya babu zetu walikuwa sahihi kwasababu watu akili bado zilikua ziko nyuma sana.
Na saizi tupo kwenye wakati mwingine ambao kila kitu kinaonekana. Na makosa waliyofanya babu zetu sisi hatuwezi kuyaludia.
 
Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.

Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Inawezekana hata wewe umedanganywa mwaka uliozaliwa maneno ya mungu sio ya kubishania "BIBLIA NI MADINI"madini hayapatikani kirahisi
 
Kuishi bila kufa maisha yanakuwa hayana maana.
kwa hivyo hata wale wanaohangaikia kwenda mbinguni, wajue kwamba life ya mbinguni haitakua na msisimko wowote sababu hamna watakalokua wanafanya zaidi ya kuimba haleluya.. pata picha malaika wa mbinguni walivyoboreka sasa hivi..

miaka zaidi ya 2000 imepita wao wanaimba haleluya tu!! we unaona hilo life linavutia??

wanadamu wanaogopa moto halafu at the same time wanajua kabisa life la mbinguni halivutii hata kidogo.

wanakwambia mbinguni hamna kufanya mapenzi, we huoni hii ndo sababu iliowafanya wale wana wa mungu (malaika) kuja kuwagegeda wanawake huku duniani na kuzaa nao wanefili?

huoni hata huko mbinguni bado wapo viumbe wanaotamani maisha ya kibinadamu na matendo ya kujamiiana?

kwa namna hii mbinguni inaitwaje sehemu takatifu kama malaika wana mawazo ya kishetani pia? ukiacha ile theluthi ya malaika wote walioangushwa pamoja na shetani, bado kuna wengine pia walikengeuka na kufukuzwa pia, na si kwa sababu walitaka kumpindua mungu, ila ni tamaa ya kujamiiana..

kwa hivyo hata maisha ya mbinguni ambayo hawa wafia dini wanayalilia pia hayana maana wala ukamilifu wowote.

hata uwe na demu mkali vipi utakuja kumchoka tu, same as heaven, eventually people will get bored.

NI JINSI GANI HAYA MAMBO YALIVYO YA KUFIKIRIKA.

hatari sana.
 
Wanasema mtu ukiwa muongo inabidi uwe unaakili zaidi ya yule unaye mdanganya.
Hata kama kipindi kile wazungu waliwadanganya babu zetu walikuwa sahihi kwasababu watu akili bado zilikua ziko nyuma sana.
Na saizi tupo kwenye wakati mwingine ambao kila kitu kinaonekana. Na makosa waliyofanya babu zetu sisi hatuwezi kuyaludia.
itafikia wakati biblia itakua ipo outdated completely.. we unadhani kwanini kila kukicha wanatoa version mpya za bible? sasa neno gani tukufu linabadilishwa kutokana na mazingira, badala ya mazingira yabadilishwe na neno tukufu? mungu gani huyu anakua adjusted kutokana na mazingira? mungu kashakua kama kiti cha basi la kimbinyiko sasa, watu wanamuadjust kila kukicha..
 
Nafikiri hata ukihesabu kwa uelekeo wowote ule mtu au kitu kikifikia tamati unapata idadi ya muda wake. Jaribu kuhesabu masaa kinyume halafu uone kama jumla ya masaa kwa siku yatakuwa tofauti.
Pumba...
 
Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.

Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Hata swali ulilouliza inaonyesha jinsi usivyo na akili.tatizo lako mipango ya Mungu na uweza wake unaupima kwa akili zako kiduchu.kwanza kumbuka huna uwezo Wa kumjadili Mungu na maneno yake
 
huwa nawakubali sana watu wanaopenda kujua ukweli.. ipo hivi, mungu alifahamu kabisa ukoloni na mambo ya kitumwa, IN FACT, yeye ndiye muanzilishi wa utumwa na ukoloni..

AGANO AMBALO MUNGU ALIWEKEANA NA IBRAHIMU:

MWANZO 17:3-5

Ibrahimu angewezaje kuwa baba wa mataifa mengi bila kuvamia na kufanya makoloni katika hayo mataifa?

MWANZO 17:8

unaona kabisa Ibrahimu alikua sio mzaliwa wa kanaani, alikua ni mgeni pale, ila mungu akamuahidi atapindua utawala wa kanaani na kufanya kuwa milki ya milele ya Ibrahamu, na mungu wa Ibrahimu atakua mungu wa watu wa kanaani.. story hii inafanana kabisa na uvamizi wa wazungu katika nchi za afrika, na mungu wao amekuwa mungu wetu..

MWANZO 17:13

unaona kabisa hapa mungu anaongelea swala la kununua watu, yani biashara ya utumwa, mungu anamwelekeza Ibrahimu kuwa hata hao watu atakaowanunua kama watumwa lazima watahiriwe. SISI TUNAKAA HAPA TUNASEMA MZUNGU ATAKUJA KUHUKUMIWA SIKU YA MWISHO KWA KUTUFANYA WATUMWA, WAKATI MUNGU ALIWARUHUSU KABISA WAFANYE HIVYO..

KWA HIO MZUNGU MPAKA KUJA KUVAMIA BARA LA AFRIKA NI KAMA ALIPEWA MWONGOZO NA MUNGU WAO AFANYE HIVYO..

ukweli unauma ila vumilia tu.
Pumba tupu... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hivi vitabu vinavyofunga akili za watu ni noma sana...kile kilichoshushwa kinasema nabii Adam alikuwa na urefu wa futi 90...niliishiwa nguvu kabisa, yaani 90ft alafu miaka 6000 baadae wanawe hawafikishi hata 2ft?....waandishi hawakuutendea haki uelewa wa watu kabisa.

Mkuu,majamaa maongo kupita kiasi...itafika kipindi mtu akionekana anakisoma itabidi tumpeleke mirembe mkuu.

It does not make any sense whatsoever
 
Hata swali ulilouliza inaonyesha jinsi usivyo na akili.tatizo lako mipango ya Mungu na uweza wake unaupima kwa akili zako kiduchu.kwanza kumbuka huna uwezo Wa kumjadili Mungu na maneno yake
Mbona nimeisha mjadili na kama unaamini yupo muambie anifanye chochote.
 
Mkuu,majamaa maongo kupita kiasi...itafika kipindi mtu akionekana anakisoma itabidi tumpeleke mirembe mkuu.

It does not make any sense whatsoever
Hata hivyo ukiwachunguza hawana uelewa wa wanachokishikilia.
 
according to Jesus, hakuna anaeweza kufika mbinguni isipokua kupitia yeye.. yani hata mchina mhindi mwarabu hawasalimiki maana wao wanaabudu buddha, Allah na krishna. yani dunia nzima inabidi tuwe wakristo ili twende mbinguni... hatari sana
Wewe ni k****ma nini?
Watumwa bwana!!!
 
Kwa haya majibu ya wakristo humu, unajua kabisa mentality yao au FIKRA ZAO ZIMEKAAJE..

kwa majibu yao unaona kabisa wao wanaona ni sawa mungu kumuua mtu asiemuamini yesu.. sasa kwa mentality hii kunakua hamna tofauti na shetani ambae anaua watu ambao hawamwamini..

sasa mungu anaua wasiomwamini, na shetani anaua wasiomwamini.. WE ARE THE VICTIMS HERE.. mi naona vita inabidi iwe kati ya shetani na mungu and THE WINNER TAKES ALL..

ila WHY CANT THAT HAPPEN? BECAUSE THEY ENJOY PLAYING WITH HUMAN BEINGS LIVES AND EMOTIONS.

unaweza kusema God and Satan are friends, or the same person with two different identities.
Pumba
Mkuu upo vizuri, ila mashabiki wa dini hawajaelewa. Watu wamelewa kwa maneno na matamko ya kuambiwa.
 
Back
Top Bottom