Siku zunazotajwa zinawakilisha life span sio actualna nuhu nae pia yumo katika huo ujumla, punguza ubishi..
ukiachana na Nuhu, kuna huyu mzee wa ufaransa, Jeanne Calment, ameishi miaka 122, mwingine huyu wa Indonesia, Mbah Gotho, ana umri wa miaka 145, and still counting.
Siku zunazotajwa zinawakilisha life span sio actual
Mbona hawaja exceed kifowanasemaga the word of god is certain, ni la uhakika, kinachoandikwa ndicho, we unaleta mambo ya probability!
kama mwenye gari amefupisha jina la gari yake kuwa BMW, basi ni BMW na si vinginevyo.
kwenye biblia mungu ameweka limits nyingi sana na watu wameexceed hizo limits.. mnara wa babeli wanasema ulibomolewa kisa utafikia mbingu ila leo rockets zinapasua anga kama kawa.
ILA SIO KOSA LAKO KUENDELEA KUAMINI HADITHI ZA BABU NA BIBI.. HADITHI NJOO, UONGO NJOO, UTAM KOLEA.
hilo tuliweke pending, na hilo waliloexceed unasemaje?Mbona hawaja exceed kifo
Kwa akili yako ndogo utachanganyikiwa na kuwaza upuuzi! Akili yako inapoishia kuwaza ya Mungu inanzia hapo!Hapo mkorogo unazidi kuwa mkali
Hilo naĺo tuweke pendinghilo tuliweke pending, na hilo waliloexceed unasemaje?
www.1000mistakes.com Mkuu. Kwa kuwa hawaijui Biblia huona ina Makosa. Na wanasahau Tafsiri ya Kiebrania kuja lugha nyingine ni rahisi. Jionee makosa zaidi ya elfu moja ya kinachesemekana kitabu kilichoshushushwa.Mkuuu leta na link za uongo wa Quran, ili tupime nani kamzidi mwenzie kwa Uongo
teh teh.. hatari sana mkuu.. its hard to believe the truth because its heartbreaking.. its like finding out your girlfriend cheated on you and you have no options, so you decide to stick around.Hilo naĺo tuweke pending
You get it rightteh teh.. hatari sana mkuu.. its hard to believe the truth because its heartbreaking.. its like finding out your girlfriend cheated on you and you have no options, so you decide to stick around.
Mnara kufika mbinguni ilikuwa ni maakào makuu ya ibada chini ya Nimrod. Kusudi ilikuwa kumwondoa Mungu katika nafasi yake.teh teh.. hatari sana mkuu.. its hard to believe the truth because its heartbreaking.. its like finding out your girlfriend cheated on you and you have no options, so you decide to stick around.
ngoja homosexuality itakaporuhusiwa makanisani uone watu watakavyochanganyikiwa na kukosa msimamo juu ya imani zao.. na wewe sijui utaamini nini tena!! sababu huyo huyo aliekuletea habari za yesu ndo huyo huyo anakuletea ushoga.You get it right
give me a break bro! you've got a brain, THINK.Mnara kufika mbinguni ilikuwa ni maakào makuu ya ibada chini ya Nimrod. Kusudi ilikuwa kumwondoa Mungu katika nafasi yake.
Imani ya kikristo sio kumlazimisha mtu aamini kitu fulàni. Ni kuamini kwa iari. Wakiruhusu nabaki na kile ninachoamini sasa.na kwamba nakiona ni logical and doctrinally sound.ngoja homesexuality itakaporuhusiwa makanisani uone watu watakavyochanganyikiwa na kukosa msimamo juu ya imani zao.. na wewe sijui utaamini nini tena!! sababu huyo huyo aliekuletea habari za yesu ndo huyo huyo anakuletea ushoga.
Thanks God bless you, I love you in godly lovegive me a break bro! you've got a brain, THINK.
utakubali kusalishwa na shoga?Imani ya kikristo sio kumlazimisha mtu aamini kitu fulàni. Ni kuamini kwa iari. Wakiruhusu nabaki na kile ninachoamini sasa.na kwamba nakiona ni logical and doctrinally sound.
Sitakubali kama vile sitakubali wewe unipelekesheutakubali kusalishwa na shoga?
na wale waumini wenzako watakaohudhuria ibada zinazoendeshwa na shoga utawaonaje?Sitakubali kama vile sitakubali wewe unipelekeshe