hahhahah! ndio maana ya mimi kukupa andiko ili uthibitishe na wewe maana mimi tayari nimeshathibitisha kwa kosoma na mengine kwa kuona kwa macho na kupitia kwangu wengine.Thibitisha Mungu ndiye aliyefanya uumbaji.
Hujanithibitishia mimi.hahhahah! ndio maana ya mimi kukupa andiko ili uthibitishe na wewe maana mimi tayari nimeshathibitisha kwa kosoma na mengine kwa kuona kwa macho na kupitia kwangu wengine.
HOW CAN YOU GET THE TRUTH FROM THE LIE?Hujanithibitishia mimi.
Kwa nini niamini maandiko ya kitabu chenye contradictions lukuki?
Unafahamu kwamba hicho kitabu kina contradictions lukuki?
You cannot get the truth from the lie.HOW CAN YOU GET THE TRUTH FROM THE LIE?
thats why i said How can you get the truth from the lie.. bible is full of lies.. sasa anavyokwambia amekupa mistari ya bible uisome ujipruvie uwepo wa mungu angali wewe umeshakijua ni kitabu kidanganyifu..You cannot get the truth from the lie.
But this is how you get the truth and separate it from the lie.
First thing first, remove anything with contradictions as being part of the truth.
This omnipotent, omniscient, Omni benevolent godhead who ended up creating this universe which allows evil is self contradictory.
Therefore he cannot exist.
Therefore his holy books are not what they are claimed to be.
This easily explains the contradictions in these books.
These books have contradictions because they are not Gods books. There is no God. These books were written by humans, that is why they have contradictions.
Hawa watu washajitoa akili, unawaambia ukweli, wanauona, pengine wanaujua, lkini ndiyo washajitoa akili.thats why i said How can you get the truth from the lie.. bible is full of lies.. sasa anavyokwambia amekupa mistari ya bible uisome ujipruvie uwepo wa mungu angali wewe umeshakijua ni kitabu kidanganyifu..
ni sawa na mtu uliemwambia hilo pera lako limeoza halafu yeye anakwambia hili pera zima we lionje... unataka unlishe sumu au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]thats why i said How can you get the truth from the lie.. bible is full of lies.. sasa anavyokwambia amekupa mistari ya bible uisome ujipruvie uwepo wa mungu angali wewe umeshakijua ni kitabu kidanganyifu..
ni sawa na mtu uliemwambia hilo pera lako limeoza halafu yeye anakwambia hili pera zima we lionje... unataka unlishe sumu au?
tunaishi kwa imani, zaidi ya yote biblia imeandikwa na watu waliovuviwa nguvu za Roho Mtakatifu wa Mungu, Mungu alikuwepo wakati biblia ilipoandikwa.Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Unauthibitisho juu ya hilo nje ya bibiliatunaishi kwa imani, zaidi ya yote biblia imeandikwa na watu waliovuviwa nguvu za Roho Mtakatifu wa Mungu, Mungu alikuwepo wakati biblia ilipoandikwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ukitaka uthibitisho nje ya Biblia, unataka niupate wapi sasa? kwa babu yako?Unauthibitisho juu ya hilo nje ya bibilia
Ok fine nipe wa ndani ya hiyo bibliaukitaka uthibitisho nje ya Biblia, unataka niupate wapi sasa? kwa babu yako?
Maana its all lieukitaka uthibitisho nje ya Biblia, unataka niupate wapi sasa? kwa babu yako?
wewe ni shetani, umetumwa na shetani baba yako?Maana its all lie
kuna huyu mama wa kurendeemer kasema atazijibu hizo contradictions hebu tumsubiri.Hawa watu washajitoa akili, unawaambia ukweli, wanauona, pengine wanaujua, lkini ndiyo washajitoa akili.
Kwenye saikolojia hicho kitu kinaitwa "cognitive dissonance".
Mtu kashakaa na dini yake maisha yake yote, maisha yake yote yanazunguka uongo kwamba Mungu yupo.
Siku ukimdhihirishia wazi kwamba Mungu hayupo atatafuta kila sababu kuamini kwamba Mungu yupo.
Wewe Biblia imesema Yesu aliwaambia watu atarudi kabla hao watu hawajafa.
Alisema hayo miaka 2,000 iliyopita.
Kawacha solemba mpaka leo hajarudi.
Bado watu wanaamini Yesu atarudi tu. Wanaamini Biblia kitabu cha Mungu.
Nimeweka mi contradictions kibao hapo kuonesha Biblia si kitabu cha Mungu. Kingekuwa cha Mungu angalau kisingekuwa na uongo wa kitoto.
Bado mtu anakwambia Biblia ni kitabu cha Mungu!
Umedanganywa kumbe ata hujuiwewe ni shetani, umetumwa na shetani baba yako?
Kaka yesu hakuwahi kuwepo watoe uthibitisho wa ukoo wa kina yesu kwanza tusichoshanekuna huyu mama wa kurendeemer kasema atazijibu hizo contradictions hebu tumsubiri.
kuna documentary flani niliitazama kuna rais mmoja alisema kuna mda utafika ambao binadamu hata umwambie ukweli na umuoneshe ushahidi machoni pake, bado atakuita muongo.
ila sababu yao kubwa ya kumng'ang'ania huyo myahudi ni life difficulties, and there's too much brokenness in people's souls, and Jesus offers HOPE.
people dont even go to church to be annointed, they just go to hear yhe speech that will make them feel better about their sorrow and emptiness.
even a psychologist can preach the gospel these days and make money.. cause there's too much brokenness inside and people want to hear something refreshing..
kuna huyu mama wa kurendeemer kasema atazijibu hizo contradictions hebu tumsubiri.
kuna documentary flani niliitazama kuna rais mmoja alisema kuna mda utafika ambao binadamu hata umwambie ukweli na umuoneshe ushahidi machoni pake, bado atakuita muongo.
ila sababu yao kubwa ya kumng'ang'ania huyo myahudi ni life difficulties, and there's too much brokenness in people's souls, and Jesus offers HOPE.
people dont even go to church to be annointed, they just go to hear the speech that will make them feel better about their sorrow and emptiness.
even a psychologist can preach the gospel these days and make money.. cause there's too much brokenness inside and people want to hear something refreshing..