Hawa watu washajitoa akili, unawaambia ukweli, wanauona, pengine wanaujua, lkini ndiyo washajitoa akili.
Kwenye saikolojia hicho kitu kinaitwa "cognitive dissonance".
Mtu kashakaa na dini yake maisha yake yote, maisha yake yote yanazunguka uongo kwamba Mungu yupo.
Siku ukimdhihirishia wazi kwamba Mungu hayupo atatafuta kila sababu kuamini kwamba Mungu yupo.
Wewe Biblia imesema Yesu aliwaambia watu atarudi kabla hao watu hawajafa.
Alisema hayo miaka 2,000 iliyopita.
Kawacha solemba mpaka leo hajarudi.
Bado watu wanaamini Yesu atarudi tu. Wanaamini Biblia kitabu cha Mungu.
Nimeweka mi contradictions kibao hapo kuonesha Biblia si kitabu cha Mungu. Kingekuwa cha Mungu angalau kisingekuwa na uongo wa kitoto.
Bado mtu anakwambia Biblia ni kitabu cha Mungu!