Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?


Asante sana kwa hekima. I love your words [emoji1417]
 
Kalenda ina historia ndefu, kipindi cha nyuma mwaka ulikwa ukihesabiwa kwa matukio makuu mfano mavuno ya mahindi hadi mavuno mengine mwaka, wengine walitumia kupukutishwa majani ndio mwaka nk. Baadae ikaja kalenda yenye mieze kumi ilanzia February hadi Disemba, january na novemba hazikuwepo. Baadae kama sijakose mwaka 710BC Numa aliongeza majina ya miezi ya January ( two faces god of Roma) na novemba. Majina ya miezi yalizingatia miungu ya kirumi, mavuno na nwatawala maarufu wa Roma kama Julias Caesar, Septimus R nk. Kwa hiyo mawili inawezakana hiyo miaka ilikuwa si mirefu kama ya sasa, pili teknolojia yetu iko limited kwa mambo ya miaka ya zamani sana, na pia hata kwa ufupi wake pia inaonyesha waliishi miaka mingi kuliko sisi, kwa hiyo tuyaamini maneno ya mungu kama yalivyo. Kama kuna maelezo hayako sahihi anaweza rekebesha yeyote mwenye utaalam wa kalenda, nimeeleza kwa ufupi kalenda historia yake ni ndefu sana.
 
Wewe mwenye akili kubwa hata hujafuta ungumbaru wa kujua kwamba hutakiwi kuandika kwa herufi kubwa maneno yote.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo asingekuwa mkatili hivi kumuumba mtu na kumnyima hata elimu ya msingi ya kujua kuandika tu.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Unaweza kuthibitisha Mungu ndiye anasababisha kifo?

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao kifo kinawezekana kwa viumbe wake anaowapenda wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao ubaya wowote pamoja na kifo haviwezekani?

Kwa nini vitabu vya huyo Mungu vimejaa mambo yanayopingana?

Unaweza kunijibu maswali haya?
 
Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.

Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Mkuu wewe hauwezi kuwa na kumbukumbu au taarifa za umri wa wazazi au babu zako? Je utakuwa umetumia kipimo gani kupata taarifa hizo wakati wewe haukuwepo wakati wanazaliwa au mtoto aliezaliwa wakati baba yake ashakufa hawezi kujua umri wa babake au babu yake? Maswali mengine ni aibu kuulizwa na mtu mwenye umri unao zidi miaka 12. Jibu MAPOKEO, SIMULIZI, MAANDIKO ya VITABU vya kumbukumbu binafsi, n.k.
 
Nani kalazimisha watu chochote?

Kati ya mimi ninayeletewa threads usoni kwangu na hao wanaoleta threads, nani anamlazimisha mwenzake kuongelea mambo ya Mungu?

Ushawahi kuona mimi nimeanzisha thread kuhusu uwepo wa Mungu hapa?

Hao wanaoleta threads ndio wanaanzisha mjadala. Na mimi kama mwanachama mzuri wa JF, nikona mjadala wa jambo ninalolijali nachangia. Jambo hili nalijali, kwa nini nisichangie ninavyojua mimi?
 
Kwasababu yeye sio binadam, yaani wewe pamoja na familia yako ni mali yake, hahitaji kuomba ruhusa kwa yeyote kufanya chochote kwa kitu au binadam yeyote. Hata hivyo unavyowaza kuandika makorokocho ya kumkashfu sio kwamba haoni au anakuogopa amekuacha tuu huenda sikumoja ukaweza kuitumia akili yako sawasawa.
 
siwezi kuwa mali ya mungu ambae mkatili. hivi unaamini kabisa dunia nzima kulikua hakuna mtu safi zaidi ya nuhu na familia yake? so wale wote waliozolewa na gharika walistahili?

wakati bado namwabudu huyo myahudi nilikua najiuliza hivi siku ya mwisho huyu muislam safi kabisa ninaemfahamu ataachwa kisa hamwamini myahudi?

sababu kuna waislam wanaotenda mema kuliko hao wakristo wanaomwamini myahudi ila dini ya kikristo inasema hao waislam hawawezi kuuona ufalme wa mungu kisa hawamwamini myahudi..

nikasema kuna mtu hapa anajitaftia ulaji..

I AM MATURE ENOUGH TO REALIZE THAT HUMANITY MATTERS MORE THAN RELIGION, AND IF SOMETHING SO CALLED GOD EXISTS THEN IT WILL APPRECIATE GOOD ACTS AND NOT RELIGIOUS BELIEFS.
 
How did Jesus find people called John, Matthew and Luke in the Middle East?"
 
adam aliishi 1000 yrs walipewa oportunity ya kuishi miaka mingi ili waweze kureproduce kwa wingi
 
Ukristo umeenezwa ulimwenguni na wayahudi na wayahudi ndio wakwanza kuisikia Injili wao ndio waliyoandika Bible Kristo ndio anatoka huko sasa unautemgaje ukristo na uyahudi?

Unajua kanisa la kwanza duniani la Antiokia lilikua wapi?
Kama mungu yupo ilikuwaje Hitler aliwaua wayahudi zaidi ya milion 6 na mungu alikaa kimya bila kutoa msaada wowote?
 
Kama mungu yupo ilikuwaje Hitler aliwaua wayahudi zaidi ya milion 6 na mungu alikaa kimya bila kutoa msaada wowote?
Nilitoa uzi wa maswali 20 kwa Mungu...nilijumuhisha hili ulilouliza....Kimsingi Mungu anahusishwa pale uelewa wa Mwanadamu unapofikia kikomo juu ya jambo flani....Nothing more!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…