Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,240
Kiranga;
Ukishakubaliana na dhana kwamba Mungu yupo wakati haonekani, then it is not necessary that all the TBS (standards) we use in our daily life will make sense to our senses. Of course, some may and some may not! Kwa sababu katika hali ya kawaida kwetu sisi, viumbe ambavyo vipo huwa tunaviona na tunav-judge kwa kutumia standards zetu sisi wanadamu. Ukishamkubali Mungu kwmba yupo, usilazimishe standards zako za kibinadamu zi-apply na kwake pia. Otherwise, inabdi pia ulazimishe kwamba awe physically accessible, kama tulivyo sisi.
Kiranga nakupongeza una busara, just keep it up ila usilazimishe wale ambao wanaamini uwepo wa Mungu, Mungu wao a-obey rules and standards za kibinadamu. Kwa wewe unayeamini kuwa hayupo, uko sahihi asilimia 100%, ila siku ikitokea ukaamini kwamba yupo, then you'll need to change your stand. Kwa sababu ili uweze kuendana nazo, ukifanya hivyo then you'll need Him to be physically accessible.
Cha muhimu haa ni kwamba huwezi ku-set standards zako wewe mwanadamu halafu ukalazimisha na Mungu atumie hizo hizo, huyo hatakuwa Mungu tena ila utakuwa mu-ungu (mu-ungu=umoja wa neno miungu)
Regards,
Makanyaga
cc E=mcsquared
Asante sana kwa hekima. I love your words [emoji1417]