Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ila kisayansi umri wa kuishi unazidi kupungua kadiri dunia inavyosonga mbele.Nakubaliana na dhana kuwa kizaz cha adam na hawa kiliishi miaka mingi zaidi yetu ila kama ilifika mia tisa ni ngumu kuamini maana ata Yesu aliishia miaka 30 tu.

Katika bibilia vizazi kumi baada ya adam na eva viliishi mpaka kufikia umri wa miaka 900.Noah wa mwisho katika kizazi hiki akiishi miaka 900.Baada ya gharika kuu umri wa kuishi ukaanza kupungua.Abrahamu aliishi miaka 175.Musa aliishi miaka 120.Yesu ndio hiyo miaka 33 tu.

Ni mawili.Inawezekana ni kweli kizazi cha mwanza kiliishi miaka mingi na baada ya gharika kuu hali ya nchi ikabadilika na kupelekea miaka kupungua.Au inawezekana apo awali walikuwa na namna tofauti ya kuhesabu miaka.

Ni fumbo.
 
sisi tukijibu hivyo tutaonekana tunakimbia hoja zenu.. usiwaze lakini nimekusoma.

this is the major problem.. everyone wants to belong to a certain kind of group.. how about you abandon all the groups, become a human being again and let nature take care of everything.

So you are in a group?

Just kidding my friend!!!
 
yesu alikufa akiwa na miaka 33.. endelea kutupa neno muinjilisti, naanza kupata upako.
 
this is the major problem.. everyone wants to belong to a certain kind of group.. how about you abandon all the groups, become a human being again and let nature take care of everything.

So you are in a group?

Just kidding my friend!!!
if you think I am, then name it.
 
Ukweli mtupu unaowaumiza wengi.
 
jichange pesa uende Misri kufanya utalii kwenye jumba la makumbusho utaukuta mwili wake upo hadi leo. sio unapinga kitu bila ya kuuliza au kuchunguza. utachekwa aisee
wewe ulienda lini, na misri sehemu gani acheni stori zenu za kitoto za madrasa
 
wewe ulienda lini, na misri sehemu gani acheni stori zenu za kitoto za madrasa
Ndugu sio kama nataka kubishana na imani yako lakini kitu unachopinga kina ushahidi wa kutosha kabisha ambao hauhitaji kuumiza sana kichwa kuupata.

No kweli Pharaoh walikuwepo na historian yao IPO na hata mabaki yao yapo unajua football team ya Egypt wanajiita the Pharaohs sasa hawajiiti vile kwa story za kutunga (mfano Wa level ya chini kabisa).

Mwili Wa Pharaoh Queen.

Soma history ya pharaoh kwenye Wikipedia (ukiona kitu kimeandikwa kwenye Wikipedia ondoa shaka nacho).

Pharaoh - Wikipedia, the free encyclopedia

Asante.
 
Majengo makubwa yenye structure za kuvutia yalijengwa na pharaohs inasemeka ndio kulikua na level ya juu ya civilizations hii history nimeisoma form three.



Hii in identifications of Pharaoh during the times of Moses haya majengo mpaka Leo yapo Egypt na no moja ya vyanzo vikubwa vya mapato yatokanayo na maelfu ya watalii kila mwaka kutoka kila pembe ya dunia.


Namna pharaoh walivyokua wakivaa.



Na mabaki yao ambayo yapo katika makumbusho nchini Egypt yanathihirisha kweli hii jamii ilikua yenye nguvu na inasemekana lilikua in dola kubwa lililoenea kuanzia MTO Euphrates mpaka kaskazini mashariki mwa bars la Africa pembezoni mwa MTO Nile ambapo maji take yanatoka Tanzania ziwa Victoria.



Pyramids no utambulisho mkubwa sana Wa pharaoh kingdoms pyramid ya pharaoh yalikua na uwezo Wa kuhifadhi matani kwa matani ya nafaka yatakayolitosheleza taifa kwa hats miaka Kitano pia huko ndani kulijengwa kwa utaalam Wa hali ya juu na maarifa yaliyopindukia kiasi cha kupotea humo ndani kama huna ramani na pia mauzauza mengi kama umeingia kuiba dhahabu.




Mpaka American akaweka nembo ya pyramid ya Egypt kwenye dolla bill take kitu ambacho hakina kabisa historian na taiga la marekani.



Hapa ndio panaibuka mambo ya illuminati na NWO na conspiracies nyingine ambazo ukizifuatilia kwa ukaribu kuna kitu utagain dunia ilipotoka na inapoelekea.

Ila wanahistoria na wachunguzi wa mambo wanasema pharaohs walikua ni waafrika kabisa na pia biblia imeandika sana kuhusu pharaohs na mambo mengi yanaowahusu ambayo wataalam wameyafuatilia na kugundua walikua ni waafrika kabisa wenye ngozi nyeusi.

Mkuu REDEEMER. Mchango wako unahitajika hapa nafikiri utakua na kitu kikubwa cha kuongezea hapa.

Asante.
 
100% True.
 
Ukisema wayahudi hawaamini ukristo unakua unajiaibisha hivi unaweza kusema waarabu hawaamini ukristo kisa majority ni Muslim?

Yesu mwenyewe alikua myahudi Bible imeandikwa na wayahudi.
Wayahudi sio Wakristo, hata kama wanaamini kuwa kuna ukristo ila wao SIO wafuasi wa Kristo. ELEWA HILO.
 
kama kweli adam na eva walifikisha futi 90 sipati picha papuchi ya eva ilikua na ukubwa gani.
Hahahahahahahahaha.....!!!!

Nimecheka mpaka nikaanguka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…