Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?


Nice words na uchambuzi mzuri.

Pia pyramids hazikutumika kuhifadhi nafaka. Pia sio kila Pharaoh na dynasty ya Misri inawahusu waisrael. Ni Pharaohs wachache sana kati ya mafarao wa Misri walihusika na historia na Waisraeli.

Pia hakuna ushahidi kuwa waisraeli waliteswa kama wao walivyosema. Wamisri walikuwa wanaandika historia yao na events kuu kwa kila tomb ya farao. Faraoh aliyekwepo kipindi cha waisraeli hakufa kwa vita katika Red Sea kama biblia inavyosema alifunikwa na maji na jeshi lake.

Mapigo kumi haikuwa tukio la laana. Nzige ilitokana na mabadiliko ya hewa, mto kuwa na damu ilitokana algae wekundu kutawala na kusababisha vyura kuhamia kwenye makazi ya watu. Na baada ya kuua vyura nzi wakajaa kufuata mabaki ya mizoga. Lakini baada ya matatizo yake misri iliendelea kuwa power kubwa.

Waisraeli sio waliojenga misri. Kabla ya waisraeli na baada ya waisraeli kufika na kuondoka Misri ilikwepo.

Kila worker alikuwa analipwa, na walikuwa na makazi ya kuishi.

Hakuna farao aliyelaaniwa akawa haozi. Hawakuoza kwa sababu ya taratibu zilikuwa zinafanyika na wamisri kutunza miili ya Farao kwa hatua maalum za kuwakausha.

Pia wamisria ni wana asili ya Nubia na pre-Egyptian civilization ilianza Sudan kabla ya kuhamia Nile. Ushahidi upo.

Hizi elimu za kidini na conspiracy zinavyoielezea Misri sio kweli na wazungu wanavyosema wamisri ni wazungu au waarabu ndio uongo mkubwa.
 

Did you know that the word Egypt is a Greek word and it means BLACK. Did you know that the original name of the country was Kemet and the word means 'The Black Land.' Now come lets not go here. Did you know Greek visitors described the Egyptians as looking just like and identical to Subsaharan AFRICANS?

For those who do not believe the Ancient Egyptians were Black then you should google" Pyramids in Sudan" - Yes Sudan has 128 of the total 157 Egyptian Pyramids in Africa - Now ask yourself why don't National Geographic and the so called Egyptian scholars point this out and make it public? Becuz BLACK Sudan was a part of the BLACK Egyptian Kingdom called nubia - Lets take the word HUMAN - made up of two words - HUE meaning Color and Man meaning adult male - since whites have NO COLOR they are the real SUB-HUMANS

 
Sawasawa kiasi kikubwa umeandika points lakini hats Biblia inaelezea namna Jacob baba Wa Joseph alipofia Egypt alifanyiwa dawa iliyomfanya asioze ikumbukwe Jacob Alicia Egypt lakini hakuzikwa Egypt Bali Israel ni hizo preservers walizotumia Pharaoh ndio walimpaka Jacob sababu mwane alikua in waziri Mkuu Wa Egypt.

Genesis 50:3: they spent forty days in doing this, for that is the time required for embalming. And the Egyptians wept for him seventy days
 
Mkuu nilikuita maksudi sababu najua utaleta kitu asante sana em zidi kuingia deep zaidi tupate madini African scholars have to do something hii Eurocentric history IPO corrupted sana linapokuja swala la African history.
 

True [emoji1417]
 
Mkuu nafurahi unajionea mwenyewe aina ya watu wanao lumbana kama kweli mtu na akili zake timamu anapinga uwepo wa pharaohs tu kwasababu wameandikwa kwenye bible na yeye haamini bible unategemea nini?

Ni kujiaibisha tu endapo utakua unalumbana na mtu wa aina hiyo.
 
sidhani kama inauwiano ukipiga na hesabu zetu za kidunia.
 
hahahahhahahhaahhaah alafu etii uko siriazi kabisaaaaaaa khaaaaaaaaa.
 
Wayahudi sio Wakristo, hata kama wanaamini kuwa kuna ukristo ila wao SIO wafuasi wa Kristo. ELEWA HILO.
Nadhani una fallacy ya kujumlisha wayahudi wote.

Ni sawa na kusema waafrika si wakristo hata kama wanaamini kuwa kuna ukristo ila wao si wakristo.

2011 nilikuwa Israel niliona makanisa na wayahudi wanaompenda Yesu tofauti na masinagogi. Kuna wengine pia ni atheists.
 
Karne nyingi Biblia imepingwa sana na hata kusakwa na kuchomwa moto kila ilipopatikana kuliko kitabu chochote duniani. Maadui wa Biblia walipita Biblia ikabaki.

Nini kinafanya Biblia ibaki?
Kwa nini watu wanaishambulia Biblia ivo?

Vitabu vya historia vimejaa makosa lakini hakuna anayetumia muda kuvishambulia. Historia ya Zanzibar haimtaji John Okelo, hutaona wa kuishambulia.
 
Nini kinafanya Biblia ibaki?
Kwa nini watu wanaishambulia Biblia ivo?

Vitabu vya historia vimejaa makosa lakini hakuna anayetumia muda kuvishambulia. Historia ya Zanzibar haimtaji John Okelo, hutaona wa kuishambulia.

hii thread ingekua na mafunzo kama maswali yangepatiwa majibu, na alietoa kasoro za uongo anaambiwa kakosea wapi.

tatizo mnataka kuimaliza hii topic kwa staili ya "kubali yaishe"

hii comment yako nilitaka niitolee ufafanuzi ila nimegundua itakua sawa na kukamua maziwa kwenye pembe ya ng'ombe.

watu wametoa 101 contradictions mmezikimbia, watu wameuliza wakati yesu ana miaka 29 kurudi chini alikua anafanya nini mkakimbia.

ni sawa na mtu anaekuja nyumbani kwako halafu anakwambia "YOUR HOUSE IS FULL OF HOLES AND DUST", we unamjibu "YOU'RE JUST JEALOUS COZ YOU DONT HAVE A HOUSE" badala ya kuuliza "WHERE ARE THE HOLES?"

nimegundua mmeshajua Your holy house is full of holes, ila mnasema "THESE ARE HOLY HOLES"

there's no such thing as a holy mistake, a mistake is a mistake.
 
Una hakika vitabu vya historia havishambuliwi?

Kitabu gani cha historia umesoma mara ya mwisho na ilikuwa lini?

Kuna mtu alisema John Okello kaumba ulimwengu?

Unataka focus ya habari za John Okello iwe sawa na focus ya kwa Mungu mnayesema kaumba ulimwengu?
 
Umewahi kusikia vitabu vya historia vimechomwa moto? Na nani? Na wapi? Na lini?

Okelo nimemtaja km mfano ktk context ya Tz
 
Nimekuuliza unataka kumfananisha John Okello na Mungu wako?

Hujaninibu.

Biblia inashambuliwa sana kwa sababu ina uongo mkubwa sana.

Hutakiwi kusema watu waandame vitabu vya John Okello vyenye uongo kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar kama wanavyoandama Biblia yenye uongo kwamba kuna Mungu kaumba ulimwengu.

Utakuwa hujajua hesabu za cross multiplication.

Unalinganisha moja na infinity.
 
Inaonyesha hauko makini kuangalia majibu shasema Okelo katajwa kama mfano ktk context ya Tz tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…