Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Yaani umetaja karibu miungu 70 hivi...hapo hapo mnadai mungu ni mmoja....mnafaa muwe wachawi tu...Hamna tofauti na uchawi

Mungu wa kila kabila la kanchi kanaitwa Israel yupo hapo umewataja,Mungu wa wachaga sijamuona hapo.Wabaguzi wakubwa

Hii ni stupidity gymnastics tu.

Huwezi kutumia biblia kama reference ya mjadala wa kibinadamu hapa duniani,labda ni applicable kwa waisrael,ndio walioiandika na wamejiandikia wao kwa ajili yao,wengine haituhusu kimantiki

Kitabu hakina authors,hakina citations tujue basis ya story zao...ni compilation ya bunch of fictional stories ambazo hata sio factual 100%
Toa hoja mbadala si matusi. Usioneshe chuki bali busara na fikra njema. Dini zote zina sura ya utamaduni wa mahali fulani kabla ya kusaambaa na kukubalika ama kupokelewa na tamaduni zingine. Mungu alipowachagua Israel alikuwa akiwafikilia mataifa yote ya wakati huo na ya siku nyingi za usoni (Rumi 8). Yesu aliwatuma wanafunzi wake waende kwa mataifa yote wakawafanye wanafunzi kwa hata makabila uliyotataja hapo juu. Mungu alikusudia habari njema za Ufalme wa Mungu ziwafikie wengi tu. Hata dini ya kiislamu ilianzia kwa utamaduni na kabila hususuan moja kabla ya kusambaa ulimwenguni na kupatikana katika makabila mengi. Tunachojua ni kuwa ni dini ya KiHindu ambayo ni miongoni mwa dini zisizo za kimishenari (yaani za kumhubiri mwingine awe Mhindu). WaBuddha nao wameanza kuusambaza Ubuddha miaka ya hivi karibuni kupitia kitengo chao cha Thervada Buddhism. kwa hiyo ni vigumu leo kumbinafsisha Mungu wako. Huwezi kuwazuia wengine kumwabudu ikiwa wanamkubali. Ndiyo maana wako Wayahudi wanaoukumbatia Ukristo na wengine wa mashariki (nisiwataje) ambao pia wameupenda Ukristo. Mungu ninyemwabudu mimi ni Mmoja na amejulikana katika nafsi tatu - Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Na hao watatu ni wamoja (Athanasius Creed, Conference of Nicea, AD 325). Biblia ni rejea tosha kabisa kwa sababu nacho ni kitabu kinachokubalika na wasomi wa fani zote ulimwenguni wakiwemo wansayansi. Kinaenda sambamba na historia ya ulimwengu. Baadhi ya matukio yalioandikwa humo yamethibistishwa na tafiti za kihistoria. Sisi hatutaacha kukitumia katika masuala yanayokihusu yaliotolewa maelezo katika Biblia, au kwa Kiyunani: "Ta Biblia" kwa maana ya "Maktaba ya Vitabu."
 
mkuu katika bible history ya yesu imeelezwa kwa ufupi sana,ukiaccount story iliyoelezwa ni ya miezi 6 tu,ile miaka 30 na ushee ya history yake ni gap,haionekani ndani ya bible,
sasa unaweza kisia mambo mengi kiasi gani yameachwa kuhusu maisha ya ujanani ya huyo yesu
Vipo vitabu vinavyoelezea maisha yake kutoka miezi sita hadi miaka 33, lakini vitabu hivyo vilifichwa na kanisa (Katoliki) ili kufanya awe mungu.
 
Toa hoja mbadala si matusi. Usioneshe chuki bali busara na fikra njema. Dini zote zina sura ya utamaduni wa mahali fulani kabla ya kusaambaa na kukubalika ama kupokelewa na tamaduni zingine. Mungu alipowachagua Israel alikuwa akiwafikilia mataifa yote ya wakati huo na ya siku nyingi za usoni (Rumi 8). Yesu aliwatuma wanafunzi wake waende kwa mataifa yote wakawafanye wanafunzi kwa hata makabila uliyotataja hapo juu. Mungu alikusudia habari njema za Ufalme wa Mungu ziwafikie wengi tu. Hata dini ya kiislamu ilianzia kwa utamaduni na kabila hususuan moja kabla ya kusambaa ulimwenguni na kupatikana katika makabila mengi. Tunachojua ni kuwa ni dini ya KiHindu ambayo ni miongoni mwa dini zisizo za kimishenari (yaani za kumhubiri mwingine awe Mhindu). WaBuddha nao wameanza kuusambaza Ubuddha miaka ya hivi karibuni kupitia kitengo chao cha Thervada Buddhism. kwa hiyo ni vigumu leo kumbinafsisha Mungu wako. Huwezi kuwazuia wengine kumwabudu ikiwa wanamkubali. Ndiyo maana wako Wayahudi wanaoukumbatia Ukristo na wengine wa mashariki (nisiwataje) ambao pia wameupenda Ukristo. Mungu ninyemwabudu mimi ni Mmoja na amejulikana katika nafsi tatu - Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Na hao watatu ni wamoja (Athanasius Creed, Conference of Nicea, AD 325). Biblia ni rejea tosha kabisa kwa sababu nacho ni kitabu kinachokubalika na wasomi wa fani zote ulimwenguni wakiwemo wansayansi. Kinaenda sambamba na historia ya ulimwengu. Baadhi ya matukio yalioandikwa humo yamethibistishwa na tafiti za kihistoria. Sisi hatutaacha kukitumia katika masuala yanayokihusu yaliotolewa maelezo katika Biblia, au kwa Kiyunani: "Ta Biblia" kwa maana ya "Maktaba ya Vitabu."
Je wAjua agenda kuu ya mkutano wa nikea ilikuwa nini?
 
Mungu "aliwachagua" Waisraeli?Hahahaaaa

Biblia wameandika wao kwa ajili yao,na wewe wamekuletea umemeza utamaduni wao verbatim...

Ni proven,biblia sio historically 100% factual...

Scientifically ndio biblia inatia aibu kabisa...scientifically babel tower haiwezi jengeka hata leo hii,noah arc haiwezi jengeka hata leo hii,na upuuzi mwingine mwiingi...Walioandika wange do us a favor,stop talking about science at all,ni vizuri wange stick kwenye dogma tu wangejitunzia heshima.

Pia naomba tusitumie biblia kama reference au kitabu kingine chochote cha dini,tusio viamini mnatukwaza...tuongee kama wanadamu tulio na globalist view kua tupo magrupu hapa duniani na dini yako ni yako na kitabu unachoamini wewe ni wewe...hadi lugha za kiyunani unanisukumia as if ndio zitanipeleka mbinguni kuliko kiswahili chetu hapa ni maajabu...

Wale miungu wooote uliowataja mwanzo umewatupa wapi ukabakiwa na mungu mmoja ambae unadai ana nafsi 3?

Ghafla wale miungu 70 umewatupa sasa hivi unae mmoja tu mwenye nafsi 3 ambazo more likely zinaweza pingana at some point...

Wewe beba dogma yako,ishike ikukae if that makes u feel good inside but does not mean it is all 100% factual...People believe in anything they want,the funny thing is,it can be on true or false godhead,nothing in between...Audacity ya kusema ni 100% true godhead hamna evidence,mnaishia kutoa spooky stories ambazo ni pile of false stories,contradictions,etc
 
Je wAjua agenda kuu ya mkutano wa nikea ilikuwa nini?

Agenda kuu zilikuwa:

  1. Uhusiano baina ya Mungu Baba na Mungu Mwana sio tu kma Yesu aliyekuja katika mwili bali hata asili yake kabla. Walijiuliza Je Baba na Mwana ni wamoja kwa dhamira ya kimungu tu ama wao ni wamoja katika asili yao pia? Hili lilikuwa suala lililoibuliwa na Wakristo wa madhehebu ya ARIAN waliohoji juu uungu wa Yesu baina ya mambo mengine yaliyohusika.
  2. Mambo ya utaratibu wa kinidhamu wa kanisa kama vile uendeshaji wa ibada ya kanisa, jinsi ya kuwapokea tena wakristo waliorudi nyuma,
  3. Utaratibu wa usimikwaji wa watumishi wa kanisa ngazi zote, sifa zao na;
  4. Namna ya kushughulika kuwarejesha kanisani waliojitenga na wenzao ama wale waliokuwa wakengeufu wa imani
Mkutano wa Nikea wa kwanza, ulitoa fasili ya kile kanisa linachokiamini juu ya Uungu wake Mungu. Kikao kiliweka mkazo kwa Wakristo kuamini katika Utatu Mytakatifu. Ulithbitisha kuwa Mungu Baba, Yesu Kristo na Roho Mtakatifu ni sehemu ya kitu kimoja. Japo wapo pekee wao watatu ni wamoja. Nimehitimisha.
 
"]Mungu "aliwachagua" Waisraeli?Hahahaaaa:
Mungu alimwita Ibrahimu ambaye kwa asili hakuwa Mwisraeli. Yeye alitokea Uru ya Walkadayo - Iraq ya sasa. Israeli walipatikana vizazi vingi baada yake.

Biblia wameandika wao kwa ajili yao,na wewe wamekuletea umemeza utamaduni wao verbatim...
Biblia imeandikwa na karibu waandishi 40 katika umbali wa kihistoria wa miaka 1500. Wameandika wavuvi, Petro, watoza Ushuru – Mathayo, Madaktari Tiba – Luka, Wanatheolojia - Paulo, Wanamuziki – Wana Asafu na Wana wa Kora, wanyweshaji wa Mfalme – Nehemia, Maliwali – Danieli, Wafalme – Daudi,.

Biblia ndicho kitabu cha kwanza kuchapwa na mashine ya kuchapa ya kwanza kabisa mjini Mainz Ujerumani ni Biblia ya Kilatini. Na biblia ndicho kitabu kilichotafsiriwa kwa wingi duniani katika lugha zaidi ya 3000.

Ni proven,biblia sio historically 100% factual...
Mbona wenzako wataalamu kama akina Shliermarcher, Leonard Cotrell wanakubaliana nayo. (Leonard Cotrell: The Land of Shinar). Erich von Daniken: Chariots of the Gods na Chariots of Fire anaandika mengi? Raymond Drake: Gods and Spacemen from the Ancient East anaandika mengi? Soma kitabu cha Josephus: The Antiquities of the Jews! Mbona amemtaja Yesu?

Scientifically ndio biblia inatia aibu kabisa...scientifically babel tower haiwezi jengeka hata leo hii,noah arc haiwezi jengeka hata leo hii,na upuuzi mwingine mwiingi...Walioandika wange do us a favor,stop talking about science at all,ni vizuri wange stick kwenye dogma tu wangejitunzia heshima.

Mbona Sadamu Hussein aianza kujenga Ziggurats kule Niniveh na akauita mji ule New Babylon? Juzi tu Wamarekani wamejenga jengo mithili ya Safina ya Nuhu? Ulisoma hizo habari? Kwanza katika Biblia Mwafrika ametoa mchango mkubwa sana. Roho Mtakatifu amemweka mtu mweusi vizuri tu katika maandiko ni wewe hofu zako labda. Ebdmeleki Mkushi ndiye aliyemwokoa Yeremia kutoka shimoni;

Towashi wa Malkia Kandake wa Ethiopia ndiye aliyeleta Ukristo kwa mara ya kwanza Afrika, Musa alimwoa mwanamke Mkushi, Simoni wa Kirene (Libya ya Afrika) ndiye aliyemsaidia Yesu kuubeba msalaba wake alipokuwa amechoka. Afrika ilimpokea Ibrahamu na Yesu pia. Katika Kanisa la Antiokia ambapo Paulo alianza huduma alikuwepo Lukio Mkirene (Mlibya) mmoja wa watumishi na anatajwa rasmi.

Pia naomba tusitumie biblia kama reference au kitabu kingine chochote cha dini,tusio viamini mnatukwaza...tuongee kama wanadamu tulio na globalist view kua tupo magrupu hapa duniani na dini yako ni yako na kitabu unachoamini wewe ni wewe...hadi lugha za kiyunani unanisukumia as if ndio zitanipeleka mbinguni kuliko kiswahili chetu hapa ni maajabu...

Ukianza kuongea juu ya imani kila mmoja ana haki ya kutoa hoja kutokana na reference point ya imani yake pasipo kuitukana imani ya mwenzie. Kwa hiyo tupo sawa kutumia Biblia.

Wale miungu wooote uliowataja mwanzo umewatupa wapi ukabakiwa na mungu mmoja ambae unadai ana nafsi 3? Ghafla wale miungu 70 umewatupa sasa hivi unae mmoja tu mwenye nafsi 3 ambazo more likely zinaweza pingana at some point...

Hawakuwa miungu wale ila majina tofauti ya Mungu kwa jinsi wanadamu walivyomtambua. Kwa mfano Yehova Shalom – Bwana amani yetu (Amu 6:24) , Yehova shammah – Bwana Aliyepo Eze 48:35(nk.}

Wewe beba dogma yako,ishike ikukae if that makes u feel good inside but does not mean it is all 100% factual...People believe in anything they want,the funny thing is,it can be on true or false godhead,nothing in between...Audacity ya kusema ni 100% true godhead hamna evidence,mnaishia kutoa spooky stories ambazo ni pile of false stories,contradictions,etc

Wala sio Dogma. Dogma ni kitu ambacho kimetungwa katika vikao na kufanyika fundisho la kiimani. Sivyo kwa Biblia. Waandishi wa Biblia waliandika kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu wa Mungu na si kwa utunzi wao. Wapo Wakomunisti ambao awali hawakuiamini Biblia lakini walikutana na matukio halisi wakaamini. Mfano ni Sergei Kourdakov mmoja wa viongozi wakuu wa Chama cha Vijana wa Kikomunisti (Komsomol) enzi za Dola ya Kisovieti. Soma kitabu chake “Forgive Me Natasha” kuna ushuhuda wake.

Alifariki 1975 Canada uhamishoni. Msome Eldridge Cleaver, Waziri wa Ulinzi wa Black Panther Party US miaka ya 60-70; jinsi alivyokanusha uharamia baada ya kuktana na Yesu Paris, Ufaransa mwaka 1977. Mimi binafsi nilikuwa mfuasi wa Marx na Lenin huku akina Che Guevara na Castro wakiwa mashujaa wangu mpaka nilipokutana na Yesu 1982. Hakuna contradictions – kaburi la Yesu li wazi hadi leo. Nyumba ya orofani ipo bali sasa ipo bondeni imezama juu wamejenga kanisa na unashuka kufika kama vile orofa ya chini. Barabara ya Appio bado ipo.
 
"]Mungu "aliwachagua" Waisraeli?Hahahaaaa:

Mungu alimwita Ibrahimu ambaye kwa asili hakuwa Mwisraeli. Yeye alitokea Uru ya Walkadayo - Iraq ya sasa. Israeli walipatikana vizazi vingi baada yake.

Biblia wameandika wao kwa ajili yao,na wewe wamekuletea umemeza utamaduni wao verbatim...

Biblia imeandikwa na karibu waandishi 40 katika umbali wa kihistoria wa miaka 1500. Wameandika wavuvi, Petro, watoza Ushuru – Mathayo, Madaktari Tiba – Luka, Wanatheolojia - Paulo, Wanamuziki – Wana Asafu na Wana wa Kora, wanyweshaji wa Mfalme – Nehemia, Maliwali – Danieli, Wafalme – Daudi,.

Biblia ndicho kitabu cha kwanza kuchapwa na mashine ya kuchapa ya kwanza kabisa mjini Mainz Ujerumani ni Biblia ya Kilatin. Na biblia ndicho kitabu kilichotafsiriwa kwa wingi duniani katila lugha zaidi ya 3000.

Ni proven,biblia sio historically 100% factual...

Mbona wenzako wataalamu kama akina Shliermarcher, Leonard Cotrell wanakubaliana nayo. (Leonard Cotrell: The Land of Shinar). Erich von Daniken: Chariots of the Gods na Chariots of Fire anaandika mengi? Raymond Drake: Gods and Spacemen from the Ancient East anaandika mengi? Soma kitabu cha Josephus: The Antiquities of the Jews! Mbona amemtaja Yesu?

Scientifically ndio biblia inatia aibu kabisa...scientifically babel tower haiwezi jengeka hata leo hii,noah arc haiwezi jengeka hata leo hii,na upuuzi mwingine mwiingi...Walioandika wange do us a favor,stop talking about science at all,ni vizuri wange stick kwenye dogma tu wangejitunzia heshima.

Mbona Sadamu Hussein aianza kujenga Ziggurats kule Niniveh na akauita mji ule New Babylon? Jusi tu wamerakani wamejenga Jengo mithili ya Safia ya Nuhu? Ulisoma hizo habari? Kwanza katika Biblia Mwafrika ametoa mchango mkubwa sana. Roho Mtakatifu amemweka Mtu mweusi vizuri tu katika maandiko n wewe hofu zako labda. Ebdmeleki Mkushi ndiye aliyemwokoa Yeremia kutoka shimoni, Towashi wa Malkia Kandake wa Ethiopia ndiye aliyeleta Ukristo kwa mara ya kwanza Afrika, Musa alimwoa mwanamke Mkushi, Simoni wa Kirene (Libya ya Afrika) ndiye aliyemsaidia Yesu kuubeba msalaba wake alipokuwa amechoka. Afrika ilimpokea Ibrahamu na Yesu pia. Katika Kanisa la antiokia ambapo Paulo alianza huduma alikuwepo Lukio Mkirene mmoja wa watumishi na anatajwa rasmi.

Pia naomba tusitumie biblia kama reference au kitabu kingine chochote cha dini,tusio viamini mnatukwaza...tuongee kama wanadamu tulio na globalist view kua tupo magrupu hapa duniani na dini yako ni yako na kitabu unachoamini wewe ni wewe...hadi lugha za kiyunani unanisukumia as if ndio zitanipeleka mbinguni kuliko kiswahili chetu hapa ni maajabu...

Ukianza kuongea juu ya imani kila mmoja ana haki ya kutoa hoja kutokana na reference point ya imani yake pasipo kuitukana imani ya mwenzie. Kwa hiyo tupo sawa kutumia Biblia.

Wale miungu wooote uliowataja mwanzo umewatupa wapi ukabakiwa na mungu mmoja ambae unadai ana nafsi 3? Ghafla wale miungu 70 umewatupa sasa hivi unae mmoja tu mwenye nafsi 3 ambazo more likely zinaweza pingana at some point...

Hawakuwa miungu wale ila majina tofauti ya Mungu kwa jinsi wanadamu walivyomtambua. Kwa mfano Yehova Shalom – Bwana amani yetu (Amu 6:24) , Yehova shammah – Bwana Aliyepo Eze 48:35(nk.}

Wewe beba dogma yako,ishike ikukae if that makes u feel good inside but does not mean it is all 100% factual...People believe in anything they want,the funny thing is,it can be on true or false godhead,nothing in between...Audacity ya kusema ni 100% true godhead hamna evidence,mnaishia kutoa spooky stories ambazo ni pile of false stories,contradictions,etc

Wala sio Dogma. Dogma ni kitu ambacho kimetungwa katika vikao na kufanyika fundisho la kiimani. Sivyo kwa Biblia. Waandishi wa Biblia waliandika kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu wa Mungu na si kwa utunzi wao. Wapo Wakomunisti ambao awali hawakuiamini Biblia lakini walikutana na matukio halisi wakaamini. Mfano ni Sergei Kourdakov mmoja wa viongozi wakuu wa Chama cha Vijana wa Kikomunisti (Komsomol) enzi za Dola ya Kisovieti. Soma kitabu chake “Forgive Me Natasha” kuna ushuhuda wake. Alifariki 1975 Canada uhamishoni. Msome Eldridge Cleaver, Waziri wa Ulinzi wa Black Panther Party US miaka ya 60-70; jinsi alivyokanusha uharamia baada ya kuktana na Yesu Paris, Ufaransa mwaka 1977. Mimi binafsi nilikuwa mfuasi wa Marx na Lenin huku akina Che Guevara na Castro wakiwa mashujaa wangu mpaka nilipokutana na Yesu 1982. Hakuna contradictions – kaburi la Yesu li wazi hadi leo. Nyumba ya orofani ipo bali sasa ipo bondeni imezama juu wamejenga kanisa na unashuka kufika kama vile orofa ya chini. Barabara ya Appio bado ipo.
Wa kuelewa ameelewa. Wabishi wataendelea kubishi. Mbona hata ile nguzo ya chumvi bado ipo ya mke wa Lutu?
 
Kiumbe chenye umbo la kibinadamu hawezi paa kamwe...wala kutembea juu ya maji...scientifically haiwezekani...

Stori zote za biblia mostly ni fabrications,sio zote ni factual...thats the truth,hutaki andamana..

Yesu ni huwenda akawa mythical figure tu,huwenda alikuwepo au hakuwepo vilevile...ila stori za kumuelezea sio consinstent kabisa,na kitu kikishakua ambiguous,basi ni cha uongo,thats it...

Huwenda alikuwepo kweli ila stori za kumuhadithia hazi-make sense au wamepindisha makusudi...walioandika biblia ndio wanatupoteza,sio wakweli...
Jaribu kumcheki Chris angel kwenye YouTube,
Huyu jamaa ni mwanamazingaombwe anafanya miujiza yote unayoipinga hapo......kutembea juu ya maji, Kupaa, kuelea angani, kuumba vitu n.k......,ila kwa nguvu za giza

Inashangaza unavyobisha kwa nguvu zote
 
Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.

Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Naona unasoma Biblia ili upate kukosoa .Dini ni kitu cha hiari kama unaona Biblia inakupotosha achana na Biblia baki na mila za kwenu.
 
Back
Top Bottom