hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Kama dhambi walizianzisha adam na hawa kwanini wenyewe waliishi miaka 900 harafu ww uje uishi miaka 45 au 55 huo wastani wa tanzania.Acha umbulula tafuta siri yakifo ndio uandike umbulula wako. Nia ya Mungu ilikuwa tuishi milele ila dhambi ikaleta mauti. Maisha ya binadam yamekuwa yakipungua kadri dhambi inaongezeka. Sasa hiv mwaka mmoja ni miaka mingi kuishi....
Inamaa ww ulimkosea nini mungu hadi uishi miaka michache hivyo kutoka miaka 900 hadi miaka 55.