Gilbert Clavery
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 438
- 361
Sawa mm mfia dini unataka nifie baa au wapi wewe tulia matokeo utayaonaMfia dini mwingine wewe.
Tatizo biblia zenu mwazifungia makabatini hata baaada ya ibada ya Jumapili.
Someni, muyachunguze maandiko.