kajani1990
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 225
- 101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe una akili hivyo? Bravo mkuu kwa kujua ukweli....hawa watu hutumia dini ili kupata pesa tu...nothing more.Dini zote ni uongo
Hahahaa....alafu Mzee mkapa anafanya jubilee ya miaka 50 wakati angeishi kwenye hiyo life span ya 900yrs....umri wake usingemruhusu kuwa na demu maana hata umri wa chekechea hajaufikisha....shkamoo walioishi miaka 900.100.
200
300
400
500
600
700
800
899
900 ? Du
Mkuu unaamini katika dini? una amini katika Mungu yupi? we jibu tu, maana hili swali lina msingi.Hahhaaaa....Mungu wa Biblia sio?Kwahiyo Mungu wa Quran ni mavi?
Yaani nyie watu wa dini ni mabinafsi sana...unajiamini wewe mungu wako ndio wa ukweli wa wengine wote ni hewa,hiyo authority umepata wapi?
Yaani Mungu wako aache kushugulikia jitu uaji kama Bush alieua watu wasio na hatia huko Iraq au Obama alieua watoto wasio na hatia huko Syria au Waisrael wanaoua Wanawake wa Kipalestina wasio na hatia ajee amshugulikie mpuuzi mmoja aliemsema kwa sentensi moja humu JF?
Katisheni mbuzi zizini sio watu wenye kuelewa
Mkuu unaamini katika dini? una amini katika Mungu yupi? we jibu tu, maana hili swali lina msingi.
Umeeleweka poa sana Mkuu!Siamini katika dini kabisa...naamini mungu anaweza kuwepo au asiwepo...nipo open,atakaenipa proof kua yupo nitaamini ila kama proof hakuna basi siwezi amini...im agnostic i would say!
Usituandike mambo ya kipuuz bwanaNafunga Roho ya atheism ktk jina la Yesu.
Unajua uongo nao unakuwa na kipimo chake yani mtu unapo amua kuongea uongo inabidi uongo uwe 50% na ukweli 50%Hahahaa....alafu Mzee mkapa anafanya jubilee ya miaka 50 wakati angeishi kwenye hiyo life span ya 900yrs....umri wake usingemruhusu kuwa na demu maana hata umri wa chekechea hajaufikisha....shkamoo walioishi miaka 900.
Athali za viroba.... Umetoka kwenye matap tap yako huko umekosa kazi ya kufanya unajifanya editor wa biblia...Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Ila matap tap ambayo yapo kwenye biblia. na kila siku mnazinywesha akili zenu ni mabaya zaidi kuliko yale ya kuchota.Athali za viroba.... Umetoka kwenye matap tap yako huko umekosa kazi ya kufanya unajifanya editor wa biblia...
Wewe unatafuta kiboko toka kwa Mungu aliye haiIla matap tap ambayo yapo kwenye biblia. na kila siku mnazinywesha akili zenu ni mabaya zaidi kuliko yale ya kuchota.
Kama mungu angekuwepo hai ningepigwa kiboko hata kabla sijaandika chochote.Wewe unatafuta kiboko toka kwa Mungu aliye hai
Siku moja kwa Mungu ni sawa na miaka elfu moja na miaka elfu moja kwa Mungu ni sawa siku moja tafakari sana andiko hilo utajua kwa nn Mungu ame Ku spare mpaka sasaKama mungu angekuwepo hai ningepigwa kiboko hata kabla sijaandika chochote.
Hadi nimefika hapa inamaana imedhirihisha kwamba mungu hayupo.
unaamini mungu kwa kizungu anaitwa god?Ushauri wa bure,
We amini tu kwamba Mungu yupo ili ukienda ukamkuta inakuwa heri, usipomkuta huna cha kupoteza
dull mind ni akili nyepesi, akili isiyo na uwezo wa kupambanua..Dull mind
Mkuu hivi vitabu vinavyofunga akili za watu ni noma sana...kile kilichoshushwa kinasema nabii Adam alikuwa na urefu wa futi 90...niliishiwa nguvu kabisa, yaani 90ft alafu miaka 6000 baadae wanawe hawafikishi hata 2ft?....waandishi hawakuutendea haki uelewa wa watu kabisa.Unajua uongo nao unakuwa na kipimo chake yani mtu unapo amua kuongea uongo inabidi uongo uwe 50% na ukweli 50%
Lakini biblia inaonge uongo 800% na kwa saizi huu tunaweza kuita uongo wa mwendo kasi.