Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

100.
200
300
400
500
600
700
800
899
900 ? Du
Hahahaa....alafu Mzee mkapa anafanya jubilee ya miaka 50 wakati angeishi kwenye hiyo life span ya 900yrs....umri wake usingemruhusu kuwa na demu maana hata umri wa chekechea hajaufikisha....shkamoo walioishi miaka 900.
 
Hahhaaaa....Mungu wa Biblia sio?Kwahiyo Mungu wa Quran ni mavi?

Yaani nyie watu wa dini ni mabinafsi sana...unajiamini wewe mungu wako ndio wa ukweli wa wengine wote ni hewa,hiyo authority umepata wapi?

Yaani Mungu wako aache kushugulikia jitu uaji kama Bush alieua watu wasio na hatia huko Iraq au Obama alieua watoto wasio na hatia huko Syria au Waisrael wanaoua Wanawake wa Kipalestina wasio na hatia ajee amshugulikie mpuuzi mmoja aliemsema kwa sentensi moja humu JF?

Katisheni mbuzi zizini sio watu wenye kuelewa
Mkuu unaamini katika dini? una amini katika Mungu yupi? we jibu tu, maana hili swali lina msingi.
 
Mkuu unaamini katika dini? una amini katika Mungu yupi? we jibu tu, maana hili swali lina msingi.

Siamini katika dini kabisa...naamini mungu anaweza kuwepo au asiwepo...nipo open,atakaenipa proof kua yupo nitaamini ila kama proof hakuna basi siwezi amini...im agnostic i would say!
 
Siamini katika dini kabisa...naamini mungu anaweza kuwepo au asiwepo...nipo open,atakaenipa proof kua yupo nitaamini ila kama proof hakuna basi siwezi amini...im agnostic i would say!
Umeeleweka poa sana Mkuu!
 
Hahahaa....alafu Mzee mkapa anafanya jubilee ya miaka 50 wakati angeishi kwenye hiyo life span ya 900yrs....umri wake usingemruhusu kuwa na demu maana hata umri wa chekechea hajaufikisha....shkamoo walioishi miaka 900.
Unajua uongo nao unakuwa na kipimo chake yani mtu unapo amua kuongea uongo inabidi uongo uwe 50% na ukweli 50%

Lakini biblia inaonge uongo 800% na kwa saizi huu tunaweza kuita uongo wa mwendo kasi.
 
Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.

Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Athali za viroba.... Umetoka kwenye matap tap yako huko umekosa kazi ya kufanya unajifanya editor wa biblia...
 
Athali za viroba.... Umetoka kwenye matap tap yako huko umekosa kazi ya kufanya unajifanya editor wa biblia...
Ila matap tap ambayo yapo kwenye biblia. na kila siku mnazinywesha akili zenu ni mabaya zaidi kuliko yale ya kuchota.
 
Wewe unatafuta kiboko toka kwa Mungu aliye hai
Kama mungu angekuwepo hai ningepigwa kiboko hata kabla sijaandika chochote.
Hadi nimefika hapa inamaana imedhirihisha kwamba mungu hayupo.
 
The issue is mnatumia ubinadam wenu dhaifu kupambanua vitu vilivyopita ufahamu wenu, we kama huamini chochote usiwapoteze wanaoamini kwasababu kwa kufanya ivo hakuna faida hata moja unayoipata
 
Kama mungu angekuwepo hai ningepigwa kiboko hata kabla sijaandika chochote.
Hadi nimefika hapa inamaana imedhirihisha kwamba mungu hayupo.
Siku moja kwa Mungu ni sawa na miaka elfu moja na miaka elfu moja kwa Mungu ni sawa siku moja tafakari sana andiko hilo utajua kwa nn Mungu ame Ku spare mpaka sasa
 
Ushauri wa bure,
We amini tu kwamba Mungu yupo ili ukienda ukamkuta inakuwa heri, usipomkuta huna cha kupoteza
 
Unajua uongo nao unakuwa na kipimo chake yani mtu unapo amua kuongea uongo inabidi uongo uwe 50% na ukweli 50%

Lakini biblia inaonge uongo 800% na kwa saizi huu tunaweza kuita uongo wa mwendo kasi.
Mkuu hivi vitabu vinavyofunga akili za watu ni noma sana...kile kilichoshushwa kinasema nabii Adam alikuwa na urefu wa futi 90...niliishiwa nguvu kabisa, yaani 90ft alafu miaka 6000 baadae wanawe hawafikishi hata 2ft?....waandishi hawakuutendea haki uelewa wa watu kabisa.
 
Back
Top Bottom