brillnoel
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 667
- 652
hawawezi kuleta watatolea wapi uthibitisho wakati huyo myahudi mwenyewe ni kama wale wafanyakazi hewa.Kaka yesu hakuwahi kuwepo watoe uthibitisho wa ukoo wa kina yesu kwanza tusichoshane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawawezi kuleta watatolea wapi uthibitisho wakati huyo myahudi mwenyewe ni kama wale wafanyakazi hewa.Kaka yesu hakuwahi kuwepo watoe uthibitisho wa ukoo wa kina yesu kwanza tusichoshane
Kwahiyo watu walianza kuishi huo ukristo baada ya kuja wazunguKaka huelewi tuu u kristo ni Muunganiko na Mungu mwenyewe, kupitia Yesu kristo, ambapo Christianity is derived from common term christ which means anointed one, huo uwezo ndio tunaona watu wanafunguliwa kutoka kwenye ushetan wa kila aina, yeyote aminiye kuna miungu ni ajabu asijue kuna Mungu, yamkini ana appreciate kwa moyoni ila anashindwa kuprov kwa akili, maana anapomalikia akili yake ya Mungu inaanzia hapo
Consciousness is not for everyone mkuu. hawa wakina Chris Brown humu tunawaimbia get up stand up ya Bob wao wanaimba Dont wake me up..Mimi nilishawahi kusema kwamba Church/ religion ni tradition based psychotherapy tu, especially for broke/ afflicted people.
Bible ni halisi hata matabibu wanaweza kujua jambo hili, kuna uhusiano Kati ya treatment and faith healing, Mtu anaweza akatibiwa kidaktar asipone lakini akaoombewa akapona hebu niambie mkuu, ni neno la imani limemponya au madawa na ukifanya conceptual research you will prove God's word is the one which brings forth life and healing at largeConsciousness is not for everyone mkuu. hawa wakina Chris Brown humu tunawaimbia get up stand up ya Bob wao wanaimba Dont wake me up..
Tatizo ni life style is in ya kimungu ndiyo ambayo unaweza sababisha br,Ukitaka kujua subiri mwanao afikishe miaka sabini.
dini ya kiyahudi hainaga wamishionary,wao wana amini uyahudi ni kwa ajili yao wayahudi ndo maana hawatangazi dini yao.Kwani wazungu walitawaliwa na waisrael kwa kupitia dini!?
Bible ni halisi hata matabibu wanaweza kujua jambo hili, kuna uhusiano Kati ya treatment and faith healing, Mtu anaweza akatibiwa kidaktar asipone lakini akaoombewa akapona hebu niambie mkuu, ni neno la imani limemponya au madawa na ukifanya conceptual research you will prove God's word is the one which brings forth life and healing at large
SafiConsciousness is not for everyone mkuu. hawa wakina Chris Brown humu tunawaimbia get up stand up ya Bob wao wanaimba Dont wake me up..
Sasa kumbe unajua kuwa lifestyle inabadilika. Magonjwa pia yanaongezekaTatizo ni life style is in ya kimungu ndiyo ambayo unaweza sababisha br,
Siongelei yohana naongelea maisha ya watu weusi kabla ya kuja wazungu na kukaririshwa huo upuuzi wako acheni kujitoa ufahamuUkristo haujaanza kipindi cha ujio wa wakoloni, ulianza kipindi kirefu mno mfano yohana mbatizaji alikuwa akifanya kazi ya Mungu yangu 500BC ambaye ndiye alikuwa mtanguliz wa Yesu, na ujio wa wa missionary walikuwa approximately 18 century ni vigumu mno kuchanganya Ukristo au Bible na ukolini
We unaongea niniBible ni halisi hata matabibu wanaweza kujua jambo hili, kuna uhusiano Kati ya treatment and faith healing, Mtu anaweza akatibiwa kidaktar asipone lakini akaoombewa akapona hebu niambie mkuu, ni neno la imani limemponya au madawa na ukifanya conceptual research you will prove God's word is the one which brings forth life and healing at large
Fact tupu [emoji3] [emoji3]We unaongea nini
Fact maana yake ni ukweli usio hitaji ukweli mwingine kujitetea, hiyo ndio maana ya fact sasa wewe mbna unatulazimisha tuamini wakati tumeshakwambia bibilia ni uongoFact tupu [emoji3] [emoji3]
Kama unataka kufanya hypothesis, jaribu kufa siku ndipo utaona kuwa Bible ni katiba ya Mungu sio ya mkoloni [emoji4] [emoji4]Siongelei yohana naongelea maisha ya watu weusi kabla ya kuja wazungu na kukaririshwa huo upuuzi wako acheni kujitoa ufahamu
Ukristo umeenezwa ulimwenguni na wayahudi na wayahudi ndio wakwanza kuisikia Injili wao ndio waliyoandika Bible Kristo ndio anatoka huko sasa unautemgaje ukristo na uyahudi?dini ya kiyahudi hainaga wamishionary,wao wana amini uyahudi ni kwa ajili yao wayahudi ndo maana hawatangazi dini yao.
Kwahiyo waisrael hawajawatawala wazungu kwa ajili ya imani yao
Tatizo ni kwamba, watu wanaweza kutumia udhaifu wa mwingine kupitia dini, lakini hapo hapo inabidi ujue tofaut ya dini na wokovu, dini inatengenezwa na watu na anaetengeneza wokovu ni Mungu hivyo mtu anaweza kutumia udin for self interestsdini ya kiyahudi hainaga wamishionary,wao wana amini uyahudi ni kwa ajili yao wayahudi ndo maana hawatangazi dini yao.
Kwahiyo waisrael hawajawatawala wazungu kwa ajili ya imani yao