Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

mkuumbona unaongea kinyume.
uislamu karne ya 4/5 unahusiano na mambo ya Yesu aliyekuwepo kabla ya hii kitu.
Ni sawa na kusema MKWAWA alikuwa CCM kwa sababu Ideology walizojiwekea na definition zake ni kwa sehemu flani zilifanana na za MKWAWA.
Kama unapenda kusoma huwezi kujikuta kwenye mlengo uliouchagua.

yesu alikuta nini.alafu alikuwa wapi na nini kilicho muhua kwa watu gani leo ndio tuna muita mtakatifu papa.hakuna sehemu waka sema ni ukristo bali ni jina la kiroma kristo ni na bii yesu
 
The following are characteristics of my living God :he works for his people in providing good, he is above all names, principalities, gods and kings, he reigns in praise and worship, he has released lonely begotten son for gentiles to attain redemption, he is the word and bread of life, those are few mentioned characteristics
Thats not god pole
 
Sio kila anayesema anamfuata Yesu ni kweli katumwa na yesu. Mbinu za shetani ni kutumia kilichochema na kukifarakanisha kwa kujiingiza ili watafiti wengi kama wewe ushinde kupambanua kipi ni kipi.
Yesu alikufa katika utawala wa kirumi chini ya KAISALI. Hakukuwa na Dini ya Kirumi hadi miaka ya 100. Ambapo katika mji wa costantinople/Istabul walipoanzisha kitu kinachojiita ukristo wakiwapiga vita wakristo halisi na wafuasi halisi wa Yesu kwa kubadili siku ya Ibada, na kuingiza sanamu kwenye ukristo ili wavutwe wengi. Pamoja na yote UKWELI HUDUMU. haya yalitabiliwa. Shika ukweli, Bibilia ndio kitabu pekee kinachoweza kukujibu maswali yako
 
The following are characteristics of my living God :he works for his people in providing good, he is above all names, principalities, gods and kings, he reigns in praise and worship, he has released lonely begotten son for gentiles to attain redemption, he is the word and bread of life, those are few mentioned characteristics
umesahau na hii..

ZABURI 136:18
"Akawaua wafalme mashuhuri; Kwa maana fadhili zake ni za milele."

fadhili manake ni wema.. hivi kuua wafalme mashuhuri ni wema? ni kitu cha kujisifia?
huyu mungu wenu is really proud of killing his own creations!!!
 
Halafu we chiz hiyo avatar hujaitendea haki kabisa, maana ulicho post hakiendani kabisa na mwenye picha yake. Yaani Tanzania nzima hakuna anaeweza kupata kusoma ulichokisoma? Uko serious kweli au unatania?
 
Nifuatilie humu JF naelewa mambo mengi sana sio mambo ya dini tu nina exposure in many angles na nimetembelea nchi nyingi duniani.

Nimeexperience atheism and Christianity and even Islam am open minded.

Acha kujishaua...bado siku hizi unatishia watu na "nimetembea nchi nyingi"?

Hebu acha utoto,unaweza tembea from north to south na bado usijue kua hujui...mikwara ya kibwege namna hiyo kawapige watoto..

Tukianza kutaja kila nchi kila mmoja humu aliyotembelea JF itatosha kweli?

Fanya mjadala at hand sio unaanza na mikwara ya "unajua mi ni open minded sana",so what?

Hoja ni kwamba biblia in full of inconsistencies and contradictions,bisha hili kwa hoja sio upuuzi wa kutembelea nchi,tuache basi hoja hii tuanze tuscan passports tuanze kihesabu mihuri tujue nani kasafiri zaidi ya mwingine
 
Halafu we chiz hiyo avatar hujaitendea haki kabisa, maana ulicho post hakiendani kabisa na mwenye picha yake. Yaani Tanzania nzima hakuna anaeweza kupata kusoma ulichokisoma? Uko serious kweli au unatania?

wengi sana tupo hata mimi kudadisi kwetu ni uvivu.mpoki alisema ukitaka kumficha muafrika we andika ukweli maneno katikati ya kitabu .[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa swala sio uislamu dini au ukristo swala ni maisha kabla ya kuja kwao hao matapeli
Sio matapeli banaa
Wamekuja kukustaarabisha.
Hapo saiv ungekuwa umefunika ikulu pekee huku ukikimbizana na ngedere porin lakin baada ya kukustaarabisha unajiona mjaanja.
 
Acha kujishaua...bado siku hizi unatishia watu na "nimetembea nchi nyingi"?

Hebu acha utoto,unaweza tembea from north to south na bado usijue kua hujui...mikwara ya kibwege namna hiyo kawapige watoto..

Tukianza kutaja kila nchi kila mmoja humu aliyotembelea JF itatosha kweli?

Fanya mjadala at hand sio unaanza na mikwara ya "unajua mi ni open minded sana",so what?

Hoja ni kwamba biblia in full of inconsistencies and contradictions,bisha hili kwa hoja sio upuuzi wa kutembelea nchi,tuache basi hoja hii tuanze tuscan passports tuanze kihesabu mihuri tujue nani kasafiri zaidi ya mwingine
tangu huyu mwanamwali amekuja thread imekua ikipoteza dira.
 
Acha kujishaua...bado siku hizi unatishia watu na "nimetembea nchi nyingi"?

Hebu acha utoto,unaweza tembea from north to south na bado usijue kua hujui...mikwara ya kibwege namna hiyo kawapige watoto..

Tukianza kutaja kila nchi kila mmoja humu aliyotembelea JF itatosha kweli?

Fanya mjadala at hand sio unaanza na mikwara ya "unajua mi ni open minded sana",so what?

Hoja ni kwamba biblia in full of inconsistencies and contradictions,bisha hili kwa hoja sio upuuzi wa kutembelea nchi,tuache basi hoja hii tuanze tuscan passports tuanze kihesabu mihuri tujue nani kasafiri zaidi ya mwingine
Naona imekuuma.
Pasuka.
main-qimg-26ea2cf3ab68175d3bd02b44b85efe19-c
 
Ukristo haujaanza kipindi cha ujio wa wakoloni, ulianza kipindi kirefu mno mfano yohana mbatizaji alikuwa akifanya kazi ya Mungu yangu 500BC ambaye ndiye alikuwa mtanguliz wa Yesu, na ujio wa wa missionary walikuwa approximately 18 century ni vigumu mno kuchanganya Ukristo au Bible na ukolini
Kuna maeneo nimeona kama Yohana mbatizaji alimbatiza Yesu. Hiyo tofauti ya miaka mia tano ni sahihi?
 
Mkuu futi 90 n kuunganisha zile kontena kubwa nne na nusu....ila baada ya miaka 6000 watu hawafikishi hata futi 6? kweli unahitaji ujinga ili kuamini katika dini.
kama kweli adam na eva walifikisha futi 90 sipati picha papuchi ya eva ilikua na ukubwa gani.
 
Naweza kubeti kwamba vibamia vya wakati huo vilikuwa na futi sita..urefu wa mtu mzima sasa sijui kina mandingo walikuwaje.
 
Kwenye Biblia kuna vitu ni kweli na kuna vitu sio kweli. Tatizo kuna watu wanaamini biblia ndio jibu la kila kitu na kusahau kuwa ndani mwao ndipo kuna neno la uzima sio nje yao wala kwenye maandishi ya vitabu.
 
Back
Top Bottom