Kwa uzoefu wangu kwa awamu nilizoshuhudia matukio ya utekaji na matukio mengine karibu awamu zote huwepo tofauti kubwa huwa namna yanavyotekelezwa na kuripotiwa.
Nimekuwa napitia comments nyingi sana humu JF ni kana kwamba mambo yamebadilika sana. Je, ni kweli?
Awamu iliyopita inatupiwa lawama nyingi sana na hakuna ushahidi wowote wa nani muhusika wa matukio ya awamu hiyo haswa.
Je, ni kweli awamu hii hakuna hayo matukio au tumefumba macho au sababu hayawagusi CHADEMA kama awamu iliyopita wanavyodai, ingawa baadhi ya watu wanaamini CHADEMA wenyewe walikuwa na mkono kwenye hayo matukio?