Ni kweli awamu hii hakuna utekaji, unyang'anyi na mauaji?

Ni kweli awamu hii hakuna utekaji, unyang'anyi na mauaji?

Hakuna utawala unaokosa utekaji na mambo mengine,duniani

Ova
 
Waliomteka na kumtesa DR. ULIMBOKA walikuwa masalia ya nani?

Waliomteka na kumuua mfanyabiashara wa Mahenge mwaka 2006 yalikuwa masalia ya nani?

Waliomuua mwandishi MWANGOSI yalikuwa masalia ya nani?

Waliomwagia TINDIKALI Saidi KUBENEA mwaka 2008 yalikuwa masakia ya nani?

Waliomuwekea Sumu MWAKYEMBE mwaka 2012 yalikuwa masalia ya nani?
Sikuwaji kuwaza haya
 
Waliojaliwa mdomo kwa Sasa wamepofushwa macho hawaoni ila wanasikia hakuna gazeti,redio wala tv itakayo weza ijapokuwa wanatuaminisha et Kuna uhuru wa vyombo vya habari ila kwa Sasa hakuna mwanahabari alieye huru

Kwa Sasa walio huru ni

Wamiliki na wahariri maana wamo kwenye pyroll ya Ndg Nepi
Hakika
 
Kwa uzoefu wangu kwa awamu nilizoshuhudia matukio ya utekaji na matukio mengine karibu awamu zote huwepo tofauti kubwa huwa namna yanavyotekelezwa na kuripotiwa.

Nimekuwa napitia comments nyingi sana humu JF ni kana kwamba mambo yamebadilika sana. Je, ni kweli?

Awamu iliyopita inatupiwa lawama nyingi sana na hakuna ushahidi wowote wa nani muhusika wa matukio ya awamu hiyo haswa.

Je, ni kweli awamu hii hakuna hayo matukio au tumefumba macho au sababu hayawagusi CHADEMA kama awamu iliyopita wanavyodai, ingawa baadhi ya watu wanaamini CHADEMA wenyewe walikuwa na mkono kwenye hayo matukio?
Kama yapo yaleteni tupige spana!!
 
Back
Top Bottom