Ni kweli awamu hii hakuna utekaji, unyang'anyi na mauaji?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Kwa uzoefu wangu kwa awamu nilizoshuhudia matukio ya utekaji na matukio mengine karibu awamu zote huwepo tofauti kubwa huwa namna yanavyotekelezwa na kuripotiwa.

Nimekuwa napitia comments nyingi sana humu JF ni kana kwamba mambo yamebadilika sana. Je, ni kweli?

Awamu iliyopita inatupiwa lawama nyingi sana na hakuna ushahidi wowote wa nani muhusika wa matukio ya awamu hiyo haswa.

Je, ni kweli awamu hii hakuna hayo matukio au tumefumba macho au sababu hayawagusi CHADEMA kama awamu iliyopita wanavyodai, ingawa baadhi ya watu wanaamini CHADEMA wenyewe walikuwa na mkono kwenye hayo matukio?
 
Ni kweli
Awamu iliyopita inatupiwa lawama nyingi sana na hakuna ushahidi wowote wa nani muhusika wa matukio ya awamu hiyo haswa.
Ni kweli hakuna ushahidi nasi tuliwahi kuwashauri watuhumiwa na taasisi tuhumiwa wajitokeze kukanusha TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! hawakujitokeza!.
Unapotokea kutuhumiwa hadi Bungeni na wewe ukanyamaza ni kuna mawili
1. Silence ya ignoring
2. Silence ya guilt as charged
Je, ni kweli awamu hii hakuna hayo matukio au tumefumba macho au sababu hayawagusi CHADEMA kama awamu iliyopita wanavyodai, ingawa baadhi ya watu wanaamini CHADEMA wenyewe walikuwa na mkono kwenye hayo matukio?
Ni kweli hakuna matukio ya state controlled, yale ya wale wasiojulikana wengine, yanaendelea. Yale ya Chadema wenyewe pia yamestop, nadhani hata ile torture chamber ya pale Ufipa walipomshughulikia Kagenzi, itakuwa imefungwa, labda saa hizi ni store!.

P
 
Watu wamepigwa na pepo

Huwezi mwondoa CHADEMA. Ndio maana wanaomba Tume ya Haki na Kusamehana in that sense.
 
Ni kweli kabisa, ila awamu huu kuna wezi wa kutosha wa pesa za walipakodi wanaoishia kuitwa stupid na kiongozi mwenye mamlaka ya kuwawajibisha!.
 
Hujamsikia mwenyekiti wa ccm huko Simiyu anakuambia hali tete huko wakati miaka miwili iliyopita kulikuwa salama?
 
Uko sahihi mkuu
 
Kama vyombo vya habari vipo huru na Max Melo haitwi tena mahakamani, magazeti hayafungiwi, UNATAKA BADO MAGUFULI ATENGWE NA UOVU? Yule ni motoni.
 
Watu kama nyie ndiyo watekaji wenyewe.
 
Eti Kwa uzoefu wangu ,pumbaaaaaavu.
 
uko deep sana
 
Kama yapo basi ni masalia ya jiwe.
Waliomteka na kumtesa DR. ULIMBOKA walikuwa masalia ya nani?

Waliomteka na kumuua mfanyabiashara wa Mahenge mwaka 2006 yalikuwa masalia ya nani?

Waliomuua mwandishi MWANGOSI yalikuwa masalia ya nani?

Waliomwagia TINDIKALI Saidi KUBENEA mwaka 2008 yalikuwa masakia ya nani?

Waliomuwekea Sumu MWAKYEMBE mwaka 2012 yalikuwa masalia ya nani?
 
Wakikujibu ni tagi mangi
 
Wa kisiasa au usio wa kisiasa??
 
Waliojaliwa mdomo kwa Sasa wamepofushwa macho hawaoni ila wanasikia hakuna gazeti,redio wala tv itakayo weza ijapokuwa wanatuaminisha et Kuna uhuru wa vyombo vya habari ila kwa Sasa hakuna mwanahabari alieye huru

Kwa Sasa walio huru ni

Wamiliki na wahariri maana wamo kwenye pyroll ya Ndg Nepi
 
Reactions: RNA
Kama vyombo vya habari vipo huru na Max Melo haitwi tena mahakamani, magazeti hayafungiwi, UNATAKA BADO MAGUFULI ATENGWE NA UOVU? Yule ni motoni.
Kuna chombo kinaripot ufisadi wa serikali kama awamu ya nne kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…