GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefungua hiyo link hapo chini, inaonekana kama ni mtu bianfsi kachapisha huo waraka, a lady from Sweeden, ukisoma pale chini wachangiaji wa uzi huo wamegawanyika kama sisi humu; nasita kuukubali ukweli huo but again pia nasita kubishia kuhusu hilo pia; kwenye hi dunia lolote linawezekana. Mambo ya pale mashariki ya kati huaga yanatataishaga sana; nikukumbushe kidogo kilicho tokea vita vua ghuba mwaka 1990. Miaka 2 nyuma ya hapo, Iraq na Iran walipigana kwq zaidi ya miaka 8, walikua maadui wakubwa sana hawq watu, wakapatanishwa, vita vikasitishwa, Iraq ya Saddam ikaivamia Kuwaiti, USA waliitaka Iraq itoke Kuwait ASAP, not sure Iran alikua upande gani kwa mfogoro ule, vita ikaanza, USA with his allies wakiwa over 29 countries including Egypt, Saudia as well. Saddam alivo Ona USA anapiga store ya silaha zake, akaona kama ataishiwa silaha hata baada ya vita, aliamua kuanza kutosha silaha zake kali including ndege zake za kivita to Iran, Iran nae alizipokea vizuri tu na kumuhifadhia; unaona sasa mambo yalivo? Well, wakati Iran na Iraq wanapigana, Iran aliwahi kusaidiwa sana silaha na Israel, leo Israel na Iran ni maadui. Interesting.WALOKOLE NI MATAHIRA
Kwani Asad amesha ngoka?Magaidi wa JF walikuwa wakitamba kwamba Assad hawezi kung'olewa kwa sababu analindwa na Russia lkn nashangaa hivi Russia imefutika kwenye ramani ya dunia au vipi mbona sasa hawamlindi huyo kibaraka wao Assad..!!??
Kwani Asad amesha ngoka?
Alafu sio vizuri kuwaita wenzako majina mabaya kisa wametofautiana na ww kimtazamo.
Yeye mwenyewe netanyahu maji ya shingo, amechanganyikiwa huko israel , anamuona kila mtu msaliti , tuhuma za rushwa na matumizi mabaya ya madaraka zimemkalia vibaya jela ipo nje nje, kwisha habari yake ,hakika mungu ana njia zakeHabari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi, kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na waasi wanaoonesha ku advance kwa kasi kwenye miji muhimu licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na ndege za Urusi zikishirikiana na jeshi la anga la Syria.
Inasemekana ameahidi kuwafurusha IRGC ndani ya Syria in return endapo Israel watakubali kuwasaidia kupambana na waasi.
Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ... Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ...
Nilitamani Asad aendelee kutawala,coz Syria ikiwa chini ya Islamic Caliphate itakuwa shida sana kwa nchi majiraniDamascus imeanguka
Shida kubwa ni mrusi hatakiwi pale middle east kwa namna yoyteNilitamani Asad aendelee kutawala,coz Syria ikiwa chini ya Islamic Caliphate itakuwa shida sana kwa nchi majirani
Kutoka kwa wanafunzi auNi wakati walikizo hivi sasa tegemea yote
Mama mitano Tena, CCM hoyeeeeeee!!!.
wameshamng'oa!!Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi, kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na waasi wanaoonesha ku advance kwa kasi kwenye miji muhimu licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na ndege za Urusi zikishirikiana na jeshi la anga la Syria.
Inasemekana ameahidi kuwafurusha IRGC ndani ya Syria in return endapo Israel watakubali kuwasaidia kupambana na waasi.
Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ... Bashar al-Assad has reportedly reached out to Israel asking for help to remove the jihadi threat in Syria. In return, he has offered to ...