Ni kweli Bigbang imezungumziwa kwenye Quran?

Ni kweli Bigbang imezungumziwa kwenye Quran?

Status
Not open for further replies.

seanherms

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
547
Reaction score
428
Ni kweli kua imeelezewa katika Quran zaidi ya miaka 1400 iliyopita.Tujadili kidogo kisha ntaleta na topics kama ecology na embryology kutoka katika Quran.

Big Bang? When describing the creation of the "heavens and the earth," the Quran does not discount the theory of a "Big Bang" explosion at the start of it all. In fact, the Quran says that "the heavens and the earth were joined together as one unit, before We clove them asunder" (21:30).

Following this big explosion, Allah "turned to the sky, and it had been (as) smoke. He said to it and to the earth: 'Come together, willingly or unwillingly.' They said: 'We come (together) in willing obedience'" (41:11). Thus the elements and what was to become the planets and stars began to cool, come together, and form into shape, following the natural laws that Allah established in the universe.

The Quran further states that Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbits. "It is He Who created the night and the day, and the sun and the moon; all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course" (21:33). Expansion of Universe The Quran also does not rule out the idea that the universe is continuing to expand. "The heavens, We have built them with power. And verily, We are expanding it" (51:47).

There has been some historical debate among Muslim scholars about the precise meaning of this verse, since knowledge of the universe's expansion was only recently discovered. Six Days? The Quran states that "Allah created the heavens and the earth, and all that is between them, in six days" (7:54). While on the surface this might seem similar to the account related in the Bible, there are some important distinctions. The verses that mention "six days" use the Arabic word "youm" (day). This word appears several other times in the Quran, each denoting a different measurement of time.

In one case, the measure of a day is equated with 50,000 years (70:4), whereas another verse states that "a day in the sight of your Lord is like 1,000 years of your reckoning" (22:47). The word "youm" is thus understood, within the Qur'an, to be a long period of time -- an era or eon. Therefore, Muslims interpret the description of a "six day" creation as six distinct periods or eons.

The length of these periods is not precisely defined, nor are the specific developments that took place during each period. After completing the Creation, the Quran describes that Allah "settled Himself upon the Throne" (57:4) to oversee His work. A distinct point is made to counter the Biblical idea of a day of rest: "We created the heavens and the earth adn all that is between them in six days, nor did any sense of weariness touch Us" (50:38).

Allah is never "done" with His work, because the process of creation is ongoing. Each new child who is born, every seed that sprouts into a sapling, every new species that appears on earth, is part of the ongoing process of Allah's creation. "He it is Who created the heavens and the earth in six days, then established Himself on the Throne. He knows what enters within the heart of the earth, and what comes forth out of it, what comes down from heaven, and what mounts up to it. And He is with you wherever you may be. And Allah sees well all that you do" (57:4).
 
Don't you know that Allah is a non theist? Here is the proof.

LA ILAHA ILA ALLAH

ALLAH anasema kuwa: HAKUNA MUNGU ISIPOKUWA ALLAH

Na non theists wanasema kuwa: HAKUNA MUNGU.

Wote non theists and Muslims hates Christianity

Daaaaaaah we jamaa ni shida sana,
Allah ni nani? Na mungu ni nani?.
why muslim and non theist hates christianity?

.made in mby city.
 
Mkuu inaelekea Christianity kwako ni bonge la ishu.

Hv wewe ni dhehebu gani tena?
 
Daaaaaaah we jamaa ni shida sana,
Allah ni nani? Na mungu ni nani?.
why muslim and non theist hates christianity?

.made in mby city.
Allah ni Allah.

Mungu kwa Kiarabu ni Ilaha
 
Mleta mada ktk quran kuna mengi sana yaliyothibitishwa na science kipindi hiki!

Na usifananishe kabisa kitabu kilichoandikwa na msururu wa watu huku kikitolewa part 2, na kile kitabu cha Mungu kisicho na part 2 wala msururu wa watunzi.
 
Numerical contradictions

There are many numerical contradictions in the Quran. Can God make so much error in doing simple calculations?
How many days did it take to create Heavens and Earth ?
Quran 7: 54 Your gurdian-Lord is Allah who created the heavens and earth in Six Days
Quran 10: 3 Verily your Lord is Allah, who created the heavens and earth in Six Days
Quran 11:7 He it is Who created the heavens and earth in Six Days
Quran-25:29: He Who created the heavens and earth and all that is between, in Six Days

The above verses clearly state that God created the heaven and Allah created the heaven and the Earth in 6 days. But the verses below stated-
Quran 41: 9 Is it that ye deny Him who created the earth in Two Days ?
Quran 41: 10 He set on the (earth) Mountains standing firm high above it, and bestowed blessing on the earth, and measured therein all things to give them nourishment in due proportion, in FOUR DAYS…
Quran 41: 12 So He completed them (heavens) as seven firmaments in Two days and …

Now do the math: 2(for earth) + 4(for nourishment) + 2 (for heavens) = 8 days; and not 6 days
Similar mistakes you can see in the verse: Quran 4: 11 - 12, and Quran 4: 176 in inheritance law. In these verses one can see the total property after adding all distributed parties adds up more than the available property, i.e., totals become more than 1 which are: 1.125 and 1.25. How come ? A gross mathematical errors, is not it ?

Allah's Days Equal to 1000 Years or 50,000 Years?
Quran 22: 47 A day in the sight of the Lord is like a thousand years of your reckoning. Quran-32:5: To Him, on a Day, the space whereof will be a thousands years of your rekoning
Quran 70: 4 The angels and the spirit ascend unto him in a day the measure whereof is Fifty thousands years.

So, which one is it? Is the day of Allah equal to 1,000 earth years or 50,000 earth years?
 
Ishmael ivi una maundugu na pumba?
Embu google na contradiction za upande wa pili ili tulinganishe.

Na kama utashindwa hapo embu niambie kiti moto wala weye?
 
Ishmael ivi una maundugu na pumba?
Embu google na contradiction za upande wa pili ili tulinganishe.

Na kama utashindwa hapo embu niambie kiti moto wala weye?

UTATA KATIKA KUUMBA DUNIA
Je, Allah aliumba Dunia kwa siku 6 au 8?

Katika somo letu la leo, tutajifunza kuhusu uumbaji wa Dunia. Allah wa Uislam, anasema kuwa yeye ni Mungu na aliumba Dunia na vitu vyote vilivyo ndani yake. Hebu tuanze somo letu kwa kusoma aya za Quran.

Allah anasema katika Sura 7:54, 10:3, 11:7, na 25:59 kuwa, aliumba dunia kwa siku 6. Soma aya hizi hapa chini kwa ushaidi zaidi.
Quran 7:54. Hakika Mola Mlezi wenu ni Mwenyezi Mungu aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. Kisha akatawala juu ya Kiti cha Enzi. Huufunika usiku kwa mchana, ufuatao upesi upesi. Na jua, na mwezi, na nyota zinazo tumika kwa amri yake. Fahamuni! Kuumba na amri ni zake. Ametukuka kabisa Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.

Surah 10: 3. Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenyezi Mungu, ambaye ameziumba mbingu na ardhi kwa siku sita, na ametawala kwenye ufalme wake, anaendesha mambo yote. Hapana mwombezi ila baada ya idhini yake. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola wenu Mlezi. Basi muabuduni Yeye. Je! Hamkumbuki?

Lakini Ndugu zanguni, nilipo endelea kuchunguza Quran nikagundua kuwa, kumbe Allah alidanganya pale alipo sema kuwa aliumba Dunia kwa siku sita. Sasa ungana nami katika uchunguzi wa uumbaji wa dunia kama ulivyo wekwa kiuwazi zaidi kupitia Quran iliyo shushwa na Jibril.

Sasa tutasoma Surah ya 41: 9-12. Katika hizi aya tutakazo zisoma, utangudua kuwa Allah hakuumba Dunia kwa Siku 6 kama alivyo dai hapo mwanzoni.

HII AYA INASEMA ALLAH KAUMBA KWA SIKU MBILI (2)
Quran 41:9. Sema: Hivyo nyinyi mnamkataa aliye umba ardhi katika siku mbili, na mnamfanyia washirika? Huyu ndiye Mola Mlezi wa walimwengu wote.
+
HAPA ALLAH ANAUNGANISHA MAWINGU NA ARDHI KWA SIKU NNE(4)
Quran 41:10. Na akaweka humo milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake katika siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa wanao uliza 11. Kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu.
+
HAPA ALLAH ANAZITENGENEZA MBINGU KWA SIKU MBILI (2)
Quran 41:12. Basi akazifanya mbingu saba kwa siku mbili, na akazipangia kila mbingu mambo yake. Na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na kwa ulinzi. Hichi ndicho kipimo cha Mwenyezi Mungu Mwenye Kujua.

HIZI ZOTE KWA PAMOJA NI SIKU NANE (8)
Siku mbili kwa ajili ya viumbe wa dunia, basi siku nne kujaza ardhi na milima baraka, na chakula kwa ajili ya wakazi wake wote, na mwisho kwa siku mbili zaidi ili kujenga mbingu saba na kujenga nyota yao. Hii inaongeza hadi 2 + 4 + 2 = siku 8 kinyume na siku 6 zilizotajwa katika aya nyingine.

NGOJA NIWEKE KWA UFUPI
Muundo ni wazi sana: Haya ni Matabaka Matatu ambayo ni umbaji chini hadi juu:

Quran 41:9*** Mbingu [angani, "dari" juu ya dunia] katika siku 2
----------
Quran 41:10*** BARAKA [kujaza dunia na kila kitu zinahitajika kwa ajili ya maisha] katika siku 4
---------
Quran 41:12***EARTH [msingi] kukamilika katika siku 2
Ndugu zanguni, hivi Allah alishindwa mahesabu au ndio kutuhakikishia kuwa yeye hakuwa Muumbaji? Kwanini Allah afanye makosa makumbwa namna hii? Leo Allah kwa mara nyingine tena ametuhakikishia kuwa yeye si Muumbaji. Uchaguzi ni wako, kufuata Allah asiye fahamu aliumba Dunia kwa Siku Ngapi au Jehova ambaye alisema aliumba Dunia kwa siku 6.
 
Ni bora ukae kimya kuliko kudhihirisha upumbavu wako
Wewe ndio mpumavu kuliko yeye.Hujapoteza muda kuangalia kwa makini alichokisema na kukifikiri.Wanafanya mazingaombwe nao huona vitu wegine wanachukulia for granted.Tafrisi ya karibu zaidi ya hiyo kalama ni kuwa hakuna "Mungu ila Allah" kiingereza nako kuna wengine wametafsiri .....kwa kuweka "Others than" .Hapo ni km vitu viwili tofauti kimoja ni kundi la Mungu na kingine ni Allah.NA allaha na claim mwingine hayupo.Kwako ni km mazingaombwe ila ndio ukweli.
 
Mkuu inaelekea Christianity kwako ni bonge la ishu. Hv wewe ni dhehebu gani tena?
Jesus "The Christ" hata kwangu ni zaidi ya issue.Kuna jamaa aliniambia kuna kuna dini na mathehemu yamejengwa ktk misingi ya wivu na destructions.Wanatafuta hata visingizo vidogo ili waharibu vya wengine.Ulichoandika kina reflect wivu na kujilazimisha kuto appreciate wengine hadharani.Bahati mbaya vitu vingine ni km dawa ukienda against unajinyima.
 
Don't you know that Allah is a non theist? Here is the proof. LA ILAHA ILA ALLAH ALLAH anasema kuwa: HAKUNA MUNGU ISIPOKUWA ALLAH Na non theists wanasema kuwa: HAKUNA MUNGU. Wote non theists and Muslims hates Christianity
si rahisi hawa jamaa kutambua ulichoandika kwao wamekariri na kushika km fact bila kungalia usahihi wa lugha na tafsiri halisi.SI ndio hawa hadi leo hawajui kwanini Wayahudi walisema hawajamuua Yesu na bado wapo sahihi na Wakristu wanasema Yesu alikupa na bado wakawa sahihi.NI kwa vile warumi wamapotea kiaina kwa vile lawama na mikwaruzo haikuwahusisha.Na hivyo wakaonekana km vile wao ni sehemu ya wayahudi.
 
Ni kweli kua imeelezewa katika Quran zaidi ya miaka 1400 iliyopita.Tujadili kidogo kisha ntaleta na topics kama ecology na embryology kutoka katika Quran.
Big Bang ni wazo la Evolutionists kujaribu toa maelezo ya asili ya ulimwengu.So njia hatari waliyochagua hao waandishi na wasomi wa kiislam wanaokimbizana kutaka iweka Quran ktk kila tukio la ulimwengu.Perfection ya Position ya dunia na sayari nyingi zinazofanana na dunia.Kunafanya astronomers kuwa watuw aongo kuliko wengine ktk taaluma.Kitu wasichoweza kielezea hutoa matamshi tuu,na kwa vile wanajificha ktk reputation zao basi dunia inaburuzwa.
 
Numerical contradictions

There are many numerical contradictions in the Quran. Can God make so much error in doing simple calculations?
How many days did it take to create Heavens and Earth ?
Quran 7: 54 Your gurdian-Lord is Allah who created the heavens and earth in Six Days
Quran 10: 3 Verily your Lord is Allah, who created the heavens and earth in Six Days
Quran 11:7 He it is Who created the heavens and earth in Six Days
Quran-25:29: He Who created the heavens and earth and all that is between, in Six Days

The above verses clearly state that God created the heaven and Allah created the heaven and the Earth in 6 days. But the verses below stated-
Quran 41: 9 Is it that ye deny Him who created the earth in Two Days ?
Quran 41: 10 He set on the (earth) Mountains standing firm high above it, and bestowed blessing on the earth, and measured therein all things to give them nourishment in due proportion, in FOUR DAYS…
Quran 41: 12 So He completed them (heavens) as seven firmaments in Two days and …

Now do the math: 2(for earth) + 4(for nourishment) + 2 (for heavens) = 8 days; and not 6 days
Similar mistakes you can see in the verse: Quran 4: 11 - 12, and Quran 4: 176 in inheritance law. In these verses one can see the total property after adding all distributed parties adds up more than the available property, i.e., totals become more than 1 which are: 1.125 and 1.25. How come ? A gross mathematical errors, is not it ?

Allah’s Days Equal to 1000 Years or 50,000 Years?
Quran 22: 47 A day in the sight of the Lord is like a thousand years of your reckoning. Quran-32:5: To Him, on a Day, the space whereof will be a thousands years of your rekoning
Quran 70: 4 The angels and the spirit ascend unto him in a day the measure whereof is Fifty thousands years.

So, which one is it? Is the day of Allah equal to 1,000 earth years or 50,000 earth years?

Duh! sijaona mtu anaedanganya kirahisi duniani kama wewe. Sam Shamoun na Ali Sina ndivyo walivykudanyana na wewe ikaingia kichwa kichwa bila ya kujuwa hata ulicho kikopi kupesti ni nini.

Hujui ulisemalo.
 
Ni kweli kua imeelezewa katika Quran zaidi ya miaka 1400 iliyopita.Tujadili kidogo kisha ntaleta na topics kama ecology na embryology kutoka katika Quran.

Naam, hiyo ndiyo Qur'an tazama wasoma biblia watakavyokuja bila kujibu hilo na wataanza na mengine kabisa kwa kuwa hilo la kisayansi ya jana kwenye biblia hakuna kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom