Ni kweli Bigbang imezungumziwa kwenye Quran?

Ni kweli Bigbang imezungumziwa kwenye Quran?

Status
Not open for further replies.
Maswali ya kitoto ni hayo yenu, nimeona upuuzi kujibu upuuzi, swali linajibiwa miaka nenda miaka rudi, hivi mnasoma majibu? Ili kukuonesha kuwa wewe ni punguani kama huyo mwenzako nakuwekea kipande kidogo tu hapa, kuhusu swali hilo lilivyojibiwa huko alikolitoa na link ntakupa ukajisomee. Mna macho lakini hayaoni, mna masikio lakini hayasikii. Jisomee mada halafu useme hilo swali la kijinga ambalo wewe kwa ujinga wako umeliona la maana lina uhusiano upi na mada? Detailed rebuttals to the so called "Errors" in the Noble Quran: The following Anti-Islamic claims are from http://www.answering-islam.org/Quran/Contra/index.html. 95% of those Anti-Islamic claims are very silly. In my opinion, they are not even worth responding to. But unfortunately, they have to be responded to because the Muslims and the non-Muslims need to learn about what both sides have to say.Kajisomee: Detailed rebuttals to the so called "Errors" in the Noble Quran.Maana nyinyi mkiona mmeshindwa hoja mnaanza kubwabwaja na kuhororoja na kuleta mambo ya kijinga yaliyoulizwa na wajinga wenzenu si kwa kutaka kuelewa bali kwa kutaka ushidani usiokuwepo na yameshajibiwa kama uonavyo hapo juu. Sisi tutaendelea kuwapa darsa, halafu mkikaa mjifikirie, maana ukweli unauma na tunajuwa ukweli unawauma sana lakini ndio hivyo tena mioyo yenu imejaa maradhi na hamna zaidi ila ni kuzidishiwa tu hayo maradhi.Anti-Islamic claim: Six or eight days of creation? Islamic Responses: Response by Dr. Zakir Naik. My response Response by Karim (pdf file) Response by MENJ Six or Eight Days of Creation? The Length of God's Days A Numerical Discrepancy? Response by Misha'al ibn Abdullah
kwanza nashukuru kwa kunipa hizo links ili nijisomee nadhani ulifikiri mimi ni mvivu wa kusoma kama watu wengine la hasha, ninapotafuta uhakika huwa nakomaa hasa kama nilivokamaa usiku mzima na sasa alfajir hii nakupa majibu yako, kwanza hizo links ulizonipa zimejaa maelezo ya wanazuoni ambao nao wanajicontradict wenyewe, hawajiamini katika maelezo yao, hata wanachokieleza wanakihofia na ndo maana hata wewe uliyetoa hiyo link kama ulisoma au la hayo maelezo ya wanazuoni wako wachovu na wababaishaji umeshindwa kuja na ufafanuzi japo mfupi tu kuhusu suala hilo, umejitia kumention suala la light year ili kujenga hoja yako jambo ambalo hao wanazuoni wako hata hawajaligusia, ,maelezo yamejaa kigugumizi na dhana za kufikirika na hao matutusa wenzako wanaokupa like na kukuuunga mkono ni mashabiki mandazi tu ambao hawajatumia muda wao kusoma na kufanya utafiti na laiti wangefanya hivyo wangegundua kwamba hizo contradictions hazifutiki kwa maelezo yoyote yenye kuleta mantiki! Lady you are still beating around the bush while your wanazuonis are beating the bush around thinking you are doing different thing!!?? BADO KYUPI KIMEKUBANA...LOO!
 
Karudi nilipoandika Light Year ujisomee tena au u quote sentence nzima nilichokiandika, uliona hapo nimeweka reference kuwa hiyo ni hoja ya fulani au?

Hujasoma, nnakuhakikishia, hujasoma. Ungesoma usingekuja kubwabwaja. Na pia hujasikiliza maana kuna link hapo inakujibu kwa video, nayo naona hujaiona.

Ukisoma huwezi hata kusikia husikii? au huelewi unachokisoma na kukisikiliza?

Si kweli unachosema.Allah maana yake ni mungu usikariri kwa kua na chuki moyoni,ni vizuri ukapenda kuweka hoja ili mfikie maelewano kuliko kuja kwa chuki ili kupotosha mkuu.

Allah maana yake ni mungu????????

Aiseee ........

Tangu lini?

Ni sawa na mtu aseme Juma maana yake ni binadamu .......
Inachekesha eee ....!!??
 
Karudi nilipoandika Light Year ujisomee tena au u quote sentence nzima nilichokiandika, uliona hapo nimeweka reference kuwa hiyo ni hoja ya fulani au?

Hujasoma, nnakuhakikishia, hujasoma. Ungesoma usingekuja kubwabwaja. Na pia hujasikiliza maana kuna link hapo inakujibu kwa video, nayo naona hujaiona.

Ukisoma huwezi hata kusikia husikii? au huelewi unachokisoma na kukisikiliza?

Hivi kwanini usiseme ulichokielewa huko ili kama kuuliza maswali tukuulize?

Maana unaponipeleka kwenye link halafu nikasoma nikapata maswali nitamuuliza Zakir Naik ambae yuko India huko?

Pia kabla ya kusoma nishawishi kwa kuniambia kilichomo humo kwa namna ulivyoelewa ili nijue sipotezi muda kufungua link ambazo hazina hata majibu au mambo ya maana!
 
Ni bora ungeweka hoja kuliko kuongea tu.Kama unataka nikuelekeze kwa nini Quran ina mambo ya sayansi sema si kuongea na kuhitimisha bila hoja mkuu.Upo tyari nikuelekeze?
Wala usihangaike mkuu kwa sababu siamini. Kusema kuna usiku na mchana na kuna jua na mwezi ndio sayansi? Kwanza kabisa qouran inadai aya zake zimeshuka duniani kutoka mbinguni kitu ambacho sio sayansi. Kisayansi qourani itakua imeandikwa na binadamu.
 
Sijui na nyinyi hiyo biblia yenu ilitoka wapi na ilifika vipi kwa mtume wenu jesus?na kwanza nyie mnazo bibles ngapi?tunajua kuna iliyoandikwa na King James na imejaa maslahi yake ndani yake,naona hapa ni afadhali tuwaleteeni al ustadh Mazinge ili aje atoe somo la Bible hapa,maana matusi yanazidi kuwa mengi toka kwa wenzetu wakristo,ilhali hata Qoraan yenyewe hawaijui kazi kwenda kwenye site za wayahudi zinazotoa kashfa na matusi dhidi ya waislam.Kuweni makini M/Mpamba. WACHENI KUTULETEA THEORY ZENU NDANI YA DEEN YETU TUKUFU.
 
Hivi kwanini usiseme ulichokielewa huko ili kama kuuliza maswali tukuulize?

Maana unaponipeleka kwenye link halafu nikasoma nikapata maswali nitamuuliza Zakir Naik ambae yuko India huko?

Pia kabla ya kusoma nishawishi kwa kuniambia kilichomo humo kwa namna ulivyoelewa ili nijue sipotezi muda kufungua link ambazo hazina hata majibu au mambo ya maana!

Kwani aliyeleta maswali ya mwanzo ni yake? au na yeye aliyakopi huko na kuyabandika hapa na tukamwekea mpaka source za alikoyatoa?

Umedandia daladala kwa mbele.
 
Kwani aliyeleta maswali ya mwanzo ni yake? au na yeye aliyakopi huko na kuyabandika hapa na tukamwekea mpaka source za alikoyatoa?

Umedandia daladala kwa mbele.

Kwahiyo mtu akijisaidia nje na wewe utajisaidia nje?

Unaweza kuthibitisha kuwa sio yake?

Lakini,hata hivyo yeye ameweka maandishi na sio link na pia maswali yake ameweka kwa lugha mbili tofauti na hiyo inaonekana ameelewa kile alicho kopi [kama amefanya hivyo kweli] wewe um efanya hivyo?
 
Hata hukupaswa kumjibu huyo jamaa nimegundua ni IQ ndogo ndo tatizo.....

Duuu daaa! Yaani leo hii mnazira kujibu! ni kwa sababu gani? Mmechoka? Mambo magumu? Hakuna majibu? Hamuelewi hoja? Hivi kweli ni nyie wale wale ambao wakati mwingine mnang'ang'aniana mkisema "niachie mimi niwajibu, nawamudu hawa wagalatia"! Maajabu!
 
Kwahiyo mtu akijisaidia nje na wewe utajisaidia nje?

Unaweza kuthibitisha kuwa sio yake?

Lakini,hata hivyo yeye ameweka maandishi na sio link na pia maswali yake ameweka kwa lugha mbili tofauti na hiyo inaonekana ameelewa kile alicho kopi [kama amefanya hivyo kweli] wewe um efanya hivyo?
ndugu yangu, wameshikwa pabaya hawa, hawana pa kutokea, wataleta hadi majibu ya kichina, kwisha habari yao!
 
Don't you know that Allah is a non theist? Here is the proof.

LA ILAHA ILA ALLAH

ALLAH anasema kuwa: HAKUNA MUNGU ISIPOKUWA ALLAH

Na non theists wanasema kuwa: HAKUNA MUNGU.

Wote non theists and Muslims hates Christianity

Simple meaning Mungu ni Allah wengine siyo waungu sasa hapo huelewi nini wewe punguani?
 
Simple meaning Mungu ni Allah wengine siyo waungu sasa hapo huelewi nini wewe punguani?

Haya yanaweza kuwa ni maneno yako tu ...

Kwa ushahidi tu wa kawaida na kimazingira inaonesha kuna miungu zaidi ya huyo wako

Kwa kukusaidia ni kuwa Mungu ni sifa ambayo anaweza kupewa yoyote yule,unaweza kupewa hata wewe kama utaabudiwa,kwa kulijua hilo ndipo Mungu wa kwenye Biblia amesema "Mimi ndimi BWANA MUNGU WAKO USIABUDU MIUNGU MINGINE" huyu Mungu ni mkweli kwa kuwa anajua kuna miungu mingi sana lakini anawaonya wanadamu wasiiabudu

Sasa basi unapokana kuwa wengine sio miungu inaonekana umeingizwa chaka kwa kudanganywa na mungu wako pale alipokuambia "hakuna Mungu ila Allah" huo ni uongo kwani kuna miungu mingi tu

Kwasababu hiyo wewe na mungu wako mmeingia kwenye utata,thibitisha kuwa hakuna miungu mingine isipokuwa huyo unaemjua wewe

Kama sio maneno yako leta ushahidi kuwa Allah ni mungu tena wa pekee ...!!
 
Karudi nilipoandika Light Year ujisomee tena au u quote sentence nzima nilichokiandika, uliona hapo nimeweka reference kuwa hiyo ni hoja ya fulani au?

Hujasoma, nnakuhakikishia, hujasoma. Ungesoma usingekuja kubwabwaja. Na pia hujasikiliza maana kuna link hapo inakujibu kwa video, nayo naona hujaiona.

Ukisoma huwezi hata kusikia husikii? au huelewi unachokisoma na kukisikiliza?

sasa ulipoleta hoja ya light year ulikuwa unataka iwe nini? au ulikuwa unatishia nyau ukidhani watu wataona ni bonge la terminology kumbe ulikuwa unauliza jambo la kijuha, it was very irrelevant to the matter being discussed! Umekuja kwa mbembwe, mikogo, madoido na majigambo lakini majibu unayotoa na links ulizoweka ni utumbo mtupu, nakuhakikishia nimesoma, nimeona na kusikiliza hizo links zako ni uharo mtupu! Hakuna majibu yenye mantiki it's just beating the bush around! Wewe unayejitia umeelewa mbona unashindwa kutuelezea sisi maamuma! Au na wewe umetoka kapa kama mimi!? Mbona hoja nyingine huwa unajibu moja kwa moja,lakini kuhusu hoja hii...mmmhhh...kunani? Kwisha habari yako, jibu hoja acha kubandika bandika malink uchwara ili kutupotezea muda, jibu hoja wewe! BADO KYUPI KIMEKUBANA! huchomoki labda utelekeze mjadala, usepe zako!
 
Wenzako tunaendelea kuwabatizeni tu. Jifunze kupitia wenzako hawa hapa

10639547_622499874536239_7575720085671722474_n.jpg

10458808_622505121202381_4182203320410727862_n.jpg

Sasa hizo picha si hata mimi naweza vaa salaba kubwa shingo nikashika msaafu, au ile picha ya juzi ya mzee wa upako aliovaa kanzu nikasema kasilimu
We ni jinga la mwisho hao ni nani hasa ktk uislamu??
Ila angalia hawa wachungaji wa TANZANIA waliosilimu
1:mchungaji mwaipopo
2;mchungaji john
3:mchungaji manoni
4;mchungaji kesi
Ina maana wale wehu kwenye nyimbo ya jiwe jeusi wliovaa kanzu walisilimu?
 
10603421_621740657945494_5915347606400122911_n.jpg
 
Sijui nianzie wapi maana hawa wakristo ni wazito sana kuelewa. Kwa kawaida huwa sipendi kubishana au kuchambua dini ya mtu kwa sababu hiyo ni jinsi mtu anavyoamini na jinsi alivyoelewa. Pia dini hizi zinatumia vitabu tofauti kabisa ambavyo mtu wa imani nyingine kukielewa kitabu cha imani nyingine ambayo iko tofauti na imani yake itakuwa ngumu au kuchukua muda mrefu mtu kuelewa.

BACK TO TOPIC.
Wanaopata utata kuhusu kuumbwa kwa dunia naomba waelewe kuwa MUNGU aliumba dunia na vyote vilivyopo kwa siku 6. Hizo aya nyingine MUNGU alikuwa akichambua kimoja kimoja na muda aliotumia kukiumba. Ngoja nitoe mfano rahisi, BMK litatumia muda wa siku 90 kutengeneza katiba. Ndani ya siku hizo siku 30 zitakuwa ni vikao vya kamati kupitia vifungu vya katiba siku 45 ni mijadala ya pamoja ndani ya kamati na siku 75 itakuwa ni mjadala wa jumla ndani ya bunge. Swali je, kwa ratiba hiyo bunge litakuwa limezidisha hizo siku 90? Tatizo hapo ni kuelewa hivi ukiambiwa kwa siku 2, MUNGU lazima ndani ya siku hizo afanye jambo moja tu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom