Ni kweli Bigbang imezungumziwa kwenye Quran?

Ni kweli Bigbang imezungumziwa kwenye Quran?

Status
Not open for further replies.
Ismael jiengeze bhana!

Aya unayoitaka wewe haipo.
Kama wewe ni muelewa nijibu ule mfano utajua Allah ni nani. Au umeusahau?

Wacha nikukumbushe.

Hakuna Mungu ila Allah.
Hakuna mjinga ila Ishmael. Jee Ismael ni nani hapo?

Ukishindwa tena, kujibu swali hilo wakati ni wewe ndie niliekuuliza mwanzo, nikutakie tu jioni njema na tukutane ktk mjadala mwengine.
Lete aya bana.

TULETEE AYA ZIFUATAZO:
(1) Wapi kwenye Quran Allah kasema "MIMI ALLAH NI MUNGU"
(2) Wapi kwenye Quran Muhammad kasema "MIMI MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU"

Hivi kwanini unaogopa kutuletea hizo aya?
 
Hujaziona hizo aya alizo quote kutoka kwenye quran au mwenzetu umekuwa kipofu ghafla! Je hizo aya zipo au hazipo kwenye quran? Unazipenda au huzipendi? Je waweza kufafanua ututhibitishie leo kuwa 6=8!!? au 1,000=50,000!!? Kyupi kitakubana leo!

Huelewi ulichokisoma, labda nikuulize swali moja duchu sana, Unajuwa maana ya light year kisayansi? Sasa kama unajuwa jiulize, kulikoni?

Jee, calendar aina ngapi uzijuzo hapa duniani?
 
mkiambiwa imani ya dini ni mambo ya kiroho sio ya kushindana kwa hoja hamkubali.... haya sasa faiza mjibu ishmael kuhusu huo mkoroganyo wa hesabu kwenye quoran tukufu.

Naona uliyechangyikiwa ni wewe na huyo mwenzako, hajui aulizalo ni nini na shida yake ni nini? mbona hayo ni mambo madogo sana na majibu yake yako wazi kabisa, kwanza bwabwajeni mkichoka muulize, ni nini msichokielewa ili tuwafahamishe.
 
Teh teh mbuzi wa Bwana Kheri...shamba la Bwana Kheri.
 
Naona uliyechangyikiwa ni wewe na huyo mwenzako, hajui aulizalo ni nini na shida yake ni nini? mbona hayo ni mambo madogo sana na majibu yake yako wazi kabisa, kwanza bwabwajeni mkichoka muulize, ni nini msichokielewa ili tuwafahamishe.

Wenzako tunaendelea kuwabatizeni tu. Jifunze kupitia wenzako hawa hapa

10639547_622499874536239_7575720085671722474_n.jpg

10458808_622505121202381_4182203320410727862_n.jpg
 
Dunian kuna miungu mingi ivyo katika kujipwekesha ndio maana akaitwa Allah.imagine ingeandikwa hapana mungu ila mungu ingeleta maana gan?Hivyo bas jua Allah ni jina la kujipwekesha ukisema mungu hata wahind wana mungu.kuna swali?
 
Dini haichanganya na sayansi tunafojifoji tu.

Ndio maana Quran inasema kunamtu alifika machweo ya jua eti kuna kijito chenye tope jeusi.
 
tatizo kutokubali ukweli soma qur an ujionee sayansi ilovyo zungumziwa
 
Naona uliyechangyikiwa ni wewe na huyo mwenzako, hajui aulizalo ni nini na shida yake ni nini? mbona hayo ni mambo madogo sana na majibu yake yako wazi kabisa, kwanza bwabwajeni mkichoka muulize, ni nini msichokielewa ili tuwafahamishe.
Haya sasa tufahamishe kwanini kuna tofauti kwenye hiyo hesabu kwa siku za uumbaji wa dunia! naam...,usiteleze au kuepa kama kawaida tueleze!
 
Huelewi ulichokisoma, labda nikuulize swali moja duchu sana, Unajuwa maana ya light year kisayansi? Sasa kama unajuwa jiulize, kulikoni?Jee, calendar aina ngapi uzijuzo hapa duniani?
too much beating around the bush! Umeshindwa kujibu hoja umebaki kuuliza maswali ya kitoto ambayo hata mwanafunzi wa grade one primary school akifungua dictionary au aki google anakupa jibu! Ningekuona wa maana kama ungeondoa hizo contradictions za quran kwa kuhusianisha na light year tuone kama inaleta mantiki au la! Mmeshikwa pabaya na sidhani leo kama wanazuoni wenu watapata usingizi kwa jinsi mnavowasumbua mpate cha kujibu! Bado kyupi kimekubana, jibu hoja acha maswali.
 
Maswali ya kitoto ni hayo yenu, nimeona upuuzi kujibu upuuzi, swali linajibiwa miaka nenda miaka rudi, hivi mnasoma majibu?

Ili kukuonesha kuwa wewe ni punguani kama huyo mwenzako nakuwekea kipande kidogo tu hapa, kuhusu swali hilo lilivyojibiwa huko alikolitoa na link ntakupa ukajisomee. Mna macho lakini hayaoni, mna masikio lakini hayasikii.

Jisomee mada halafu useme hilo swali la kijinga ambalo wewe kwa ujinga wako umeliona la maana lina uhusiano upi na mada?

Detailed rebuttals to the so called "Errors" in the Noble Quran:
The following Anti-Islamic claims are from http://www.answering-islam.org/Quran/Contra/index.html. 95% of those Anti-Islamic claims are very silly. In my opinion, they are not even worth responding to. But unfortunately, they have to be responded to because the Muslims and the non-Muslims need to learn about what both sides have to say.

Kajisomee: Detailed rebuttals to the so called "Errors" in the Noble Quran.

Maana nyinyi mkiona mmeshindwa hoja mnaanza kubwabwaja na kuhororoja na kuleta mambo ya kijinga yaliyoulizwa na wajinga wenzenu si kwa kutaka kuelewa bali kwa kutaka ushidani usiokuwepo na yameshajibiwa kama uonavyo hapo juu.

Sisi tutaendelea kuwapa darsa, halafu mkikaa mjifikirie, maana ukweli unauma na tunajuwa ukweli unawauma sana lakini ndio hivyo tena mioyo yenu imejaa maradhi na hamna zaidi ila ni kuzidishiwa tu hayo maradhi.

Anti-Islamic claim: Six or eight days of creation?
Islamic Responses: Response by Dr. Zakir Naik.

My response

Response by Karim (pdf file)

Response by MENJ
Six or Eight Days of Creation?
The Length of God's Days A Numerical Discrepancy?
Response by Misha'al ibn Abdullah
 
Maswali ya kitoto ni hayo yenu, nimeona upuuzi kujibu upuuzi, swali linajibiwa miaka nenda miaka rudi, hivi mnasoma majibu?

Ili kukuonesha kuwa wewe ni puguani kama huyo mwenzako nakuwekea kipande kidogo tu hapa, kuhusu swali hilo lilivyojibiwa huko alikolitoa na link ntakupa ukajisomee. Mna macho lakini hayaoni, mna masikio lakini hayasikii.

Jisomee mada halafu useme hilo swali la kijinga ambalo wewe kwa ujinga wako umeliona la maana lina uhusiano upi na mada?

Detailed rebuttals to the so called "Errors" in the Noble Quran:
The following Anti-Islamic claims are from http://www.answering-islam.org/Quran/Contra/index.html. 95% of those Anti-Islamic claims are very silly. In my opinion, they are not even worth responding to. But unfortunately, they have to be responded to because the Muslims and the non-Muslims need to learn about what both sides have to say.

Kajisomee: Detailed rebuttals to the so called "Errors" in the Noble Quran.

Maana nyinyi mkiona mmeshindwa hoja mnaanza kubwabwaja na kuhororoja na kuleta mambo ya kijinga yaliyoulizwa na wajinga wenzenu si kwa kutaka kuelewa bali kwa kutaka ushidani usiokuwepo na yameshajibiwa kama uonavyo hapo juu.

Sisi tutaendelea kuwapa darsa, halafu mkikaa mjifikirie, maana ukweli unauma na tunajuwa ukweli unawauma sana lakini ndio hivyo tena mioyo yenu imejaa maradhi na hamna zaidi ila ni kuzidishiwa tu hayo maradhi.

Hata hukupaswa kumjibu huyo jamaa nimegundua ni IQ ndogo ndo tatizo.....
 
Allah anao mfano.

ALLAH ALIUGUA MACHO:

"Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwa ajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu. (Al Milal Wannihal J. 1 uk. 141)

Allah has hands; He created Adam with His own hands…(38:75, 48:10).
038.075

YUSUFALI: (Allah) said: "O Iblis! What prevents thee from prostrating thyself to one whom I have created with my hands? Art thou haughty? Or art thou one of the high (and mighty) ones?"
048.010

YUSUFALI: Verily those who plight their fealty to thee do no less than plight their fealty to Allah: the Hand of Allah is over their hands: then anyone who violates his oath, does so to the harm of his own soul, and any one who fulfils what he has covenanted with Allah,- Allah will soon grant him a great Reward.
Adam is the image of Allah… (Sahih Muslim, 32.6325)
Book 032, Number 6325:

This hadith has been transmitted on the authority of Abu Huraira and in the hadith transmitted on the authority of Ibn Hatim Allah's Apostle (may peace be upon him) is reported to have said: When any one of you fights with his brother, he should avoid his face for Allah created Adam in His own image.

Kumbe Allah anafanana na binadamu.

Shukrani sana mkuu, kumbe Allah anafanan na bin-adam. Si ajabu anatabia zote za mwanadamu maana akitokwa machozi macho yanakuwa mekundu! Lol
 
Hata hukupaswa kumjibu huyo jamaa nimegundua ni IQ ndogo ndo tatizo.....

Nilifata ushauri huu:

The following Anti-Islamic claims are from http://www.answering-islam.org/Quran/Contra/index.html. 95% of those Anti-Islamic claims are very silly. In my opinion, they are not even worth responding to. But unfortunately, they have to be responded to because the Muslims and the non-Muslims need to learn about what both sides have to say.

Kama wanaelewa maana yake wataelewa kwanini nimewajibu.

Wanakopi na kuja pesti lakini hawaji na majibu ambayo yako hukohuko wanako kopi, eti mtu anakuja anaona watu waliopo JF watadhani kaja na kitu kipya, "mkali", kumbe hajui tunatembea kwenye mtandao kuliko yeye.
 
Allah ni Allah.

Mungu kwa Kiarabu ni Ilaha

Si kweli unachosema.Allah maana yake ni mungu usikariri kwa kua na chuki moyoni,ni vizuri ukapenda kuweka hoja ili mfikie maelewano kuliko kuja kwa chuki ili kupotosha mkuu.
 
Big Bang ni wazo la Evolutionists kujaribu toa maelezo ya asili ya ulimwengu.So njia hatari waliyochagua hao waandishi na wasomi wa kiislam wanaokimbizana kutaka iweka Quran ktk kila tukio la ulimwengu.Perfection ya Position ya dunia na sayari nyingi zinazofanana na dunia.Kunafanya astronomers kuwa watuw aongo kuliko wengine ktk taaluma.Kitu wasichoweza kielezea hutoa matamshi tuu,na kwa vile wanajificha ktk reputation zao basi dunia inaburuzwa.

Ni vizuri kama ungetoa na ushahidi ili nipitie viruzi.Kujihusisha na kila tukio la dunia kivipi?Qur an ni ile ile ya miaka zaidi ya 1400 iliyopita mkuu.Kua mkweli na penda kujifunza.
 
wachana na hii mambo, dini na sayansi wapi na wapi. wasomi wa dini ya kislaam kwa kuona nguvu ya sayansi hujaribu kuhalalisha quoran kwa hoja za kisayansi kitu ambacho hakiwezekani.

Ni bora ungeweka hoja kuliko kuongea tu.Kama unataka nikuelekeze kwa nini Quran ina mambo ya sayansi sema si kuongea na kuhitimisha bila hoja mkuu.Upo tyari nikuelekeze?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom