Ni kweli Bigbang imezungumziwa kwenye Quran?

Status
Not open for further replies.
Jesus "The Christ" hata kwangu ni zaidi ya issue.Kuna jamaa aliniambia kuna kuna dini na mathehemu yamejengwa ktk misingi ya wivu na destructions.Wanatafuta hata visingizo vidogo ili waharibu vya wengine.Ulichoandika kina reflect wivu na kujilazimisha kuto appreciate wengine hadharani.Bahati mbaya vitu vingine ni km dawa ukienda against unajinyima.

the problem is you are living inside the box, sio lazima mtu awe mkristo. nimeuliza nyie ni dhebu gani mbona hamjibu?
 
Duh! sijaona mtu anaedanganya kirahisi duniani kama wewe. Sam Shamoun na Ali Sina ndivyo walivykudanyana na wewe ikaingia kichwa kichwa bila ya kujuwa hata ulicho kikopi kupesti ni nini.

Hujui ulisemalo.

kinachotakiwa ni kupangua hoja kwa hoja, jamaa kathibitisha kwa evidence na wewe kanusha kwa misingi hiyo hiyo.
 
Duh! sijaona mtu anaedanganya kirahisi duniani kama wewe. Sam Shamoun na Ali Sina ndivyo walivykudanyana na wewe ikaingia kichwa kichwa bila ya kujuwa hata ulicho kikopi kupesti ni nini.

Hujui ulisemalo.
Sasa unaita Allah muongo? Aisee lini utaacha hiyo kufruh? Anyways, ndio maana Allah alisema kuwa, nyie sio watu wa Kitaab, Tuhesabu twa Chekechea tunakutoa jasho mwe
 
Wewe ndio mpumavu kuliko yeye.Hujapoteza muda kuangalia kwa makini alichokisema na kukifikiri.Wanafanya mazingaombwe nao huona vitu wegine wanachukulia for granted.Tafrisi ya karibu zaidi ya hiyo kalama ni kuwa hakuna "Mungu ila Allah" kiingereza nako kuna wengine wametafsiri .....kwa kuweka "Others than" .Hapo ni km vitu viwili tofauti kimoja ni kundi la Mungu na kingine ni Allah.NA allaha na claim mwingine hayupo.Kwako ni km mazingaombwe ila ndio ukweli.

Na jee umeangalia na aya zingine ili kujiridhisha huyo Allah ni nani?

Ngoja nikupe mfano:

'Hakuna mpuuzi ila Nicholas'

Jee utaniambia Nicholas ni nani hapo?
 
Don't you know that Allah is a non theist? Here is the proof.

LA ILAHA ILA ALLAH

ALLAH anasema kuwa: HAKUNA MUNGU ISIPOKUWA ALLAH

Na non theists wanasema kuwa: HAKUNA MUNGU.

Wote non theists and Muslims hates Christianity

Mimi nakupendea hapa tu wallah! Kwani mda mwingi unaongea pumba wee but sometimes unaongea ukweli. Mfano wa ukweli wako ni hapo underline.

Wanaokupinga hilo wakuonea bure wallah!

Licha upuuzi wako, bado hujachelewa, itakupasa tu uangalia na aya
zingine ili kujiridhisha huyo
Allah ni nani.

Tuachane na hiyo kazi ya kutafuta Allah ni nani na turudi ktk hoja yako kama ulivyoendelea baada ya underline ktk maelezo yako.

Embu hapa twende kwa mfano:

'Hakuna Mungu ila Allah'

'Hakuna mpuuzi ila
Ishmael'

Jee utaniambia Ishmael ni
nani hapo?
 
Numerical contradictions

There are many numerical contradictions in the Quran. Can God make so much error in doing simple calculations?
How many days did it take to create Heavens and Earth ?
Quran 7: 54 Your gurdian-Lord is Allah who created the heavens and earth in Six Days
Quran 10: 3 Verily your Lord is Allah, who created the heavens and earth in Six Days
Quran 11:7 He it is Who created the heavens and earth in Six Days
Quran-25:29: He Who created the heavens and earth and all that is between, in Six Days

The above verses clearly state that God created the heaven and Allah created the heaven and the Earth in 6 days. But the verses below stated-
Quran 41: 9 Is it that ye deny Him who created the earth in Two Days ?
Quran 41: 10 He set on the (earth) Mountains standing firm high above it, and bestowed blessing on the earth, and measured therein all things to give them nourishment in due proportion, in FOUR DAYS…
Quran 41: 12 So He completed them (heavens) as seven firmaments in Two days and …

Now do the math: 2(for earth) + 4(for nourishment) + 2 (for heavens) = 8 days; and not 6 days
Similar mistakes you can see in the verse: Quran 4: 11 - 12, and Quran 4: 176 in inheritance law. In these verses one can see the total property after adding all distributed parties adds up more than the available property, i.e., totals become more than 1 which are: 1.125 and 1.25. How come ? A gross mathematical errors, is not it ?

Allah’s Days Equal to 1000 Years or 50,000 Years?
Quran 22: 47 A day in the sight of the Lord is like a thousand years of your reckoning. Quran-32:5: To Him, on a Day, the space whereof will be a thousands years of your rekoning
Quran 70: 4 The angels and the spirit ascend unto him in a day the measure whereof is Fifty thousands years.

So, which one is it? Is the day of Allah equal to 1,000 earth years or 50,000 earth years?
wachana na hii mambo, dini na sayansi wapi na wapi. wasomi wa dini ya kislaam kwa kuona nguvu ya sayansi hujaribu kuhalalisha quoran kwa hoja za kisayansi kitu ambacho hakiwezekani.
 
1. Hakuna chakula ila sumu.
2.Hakuna gari ila pikipiki.
3.Hakuna mtu ila paka.
4.Hakuna nicolas ila mashaxizo.
5.Hakuna mvua ila upepo.
6. Hakuna rais ila mimi.
7.Hakuna Mungu ila mfalme.
Haya na wewe tafakari hizo sentensi!
 
1. Hakuna chakula ila sumu.
2.Hakuna gari ila pikipiki.
3.Hakuna mtu ila paka.
4.Hakuna nicolas ila mashaxizo.
5.Hakuna mvua ila upepo.
6. Hakuna rais ila mimi.
7.Hakuna Mungu ila mfalme.
Haya na wewe tafakari hizo sentensi!

Mkuu umemaliza,
Ukeli mchungu huu.
Wanachungulia tu na kuondoka huku wakitegemea maulamaa watafunika kombe mwanaharamu apite.
 
Naam, hiyo ndiyo Qur'an tazama wasoma biblia watakavyokuja bila kujibu hilo na wataanza na mengine kabisa kwa kuwa hilo la kisayansi ya jana kwenye biblia hakuna kabisa.
mkiambiwa imani ya dini ni mambo ya kiroho sio ya kushindana kwa hoja hamkubali.... haya sasa faiza mjibu ishmael kuhusu huo mkoroganyo wa hesabu kwenye quoran tukufu.
 
Numerical contradictions

There are many numerical contradictions in the Quran. Can God make so much error in doing simple calculations?
How many days did it take to create Heavens and Earth ?
Quran 7: 54 Your gurdian-Lord is Allah who created the heavens and earth in Six Days
Quran 10: 3 Verily your Lord is Allah, who created the heavens and earth in Six Days
Quran 11:7 He it is Who created the heavens and earth in Six Days
Quran-25:29: He Who created the heavens and earth and all that is between, in Six Days

The above verses clearly state that God created the heaven and Allah created the heaven and the Earth in 6 days. But the verses below stated-
Quran 41: 9 Is it that ye deny Him who created the earth in Two Days ?
Quran 41: 10 He set on the (earth) Mountains standing firm high above it, and bestowed blessing on the earth, and measured therein all things to give them nourishment in due proportion, in FOUR DAYS…
Quran 41: 12 So He completed them (heavens) as seven firmaments in Two days and …

Now do the math: 2(for earth) + 4(for nourishment) + 2 (for heavens) = 8 days; and not 6 days
Similar mistakes you can see in the verse: Quran 4: 11 - 12, and Quran 4: 176 in inheritance law. In these verses one can see the total property after adding all distributed parties adds up more than the available property, i.e., totals become more than 1 which are: 1.125 and 1.25. How come ? A gross mathematical errors, is not it ?

Allah's Days Equal to 1000 Years or 50,000 Years?
Quran 22: 47 A day in the sight of the Lord is like a thousand years of your reckoning. Quran-32:5: To Him, on a Day, the space whereof will be a thousands years of your rekoning
Quran 70: 4 The angels and the spirit ascend unto him in a day the measure whereof is Fifty thousands years.

So, which one is it? Is the day of Allah equal to 1,000 earth years or 50,000 earth years?

Mkuu kuna Mwislam safi mmoja ananiambia Allah hafananishwi na chochote kiwe cha kiume au cha kike. Sasa hapo inaonekana kama Quran imemu-address Allah kwa pronoun "He" je huyu Allah ni mwanaume? Maana nasikia hata kuitwa Baba hataki. Ni hayo tu
 
1. Hakuna chakula ila sumu.
2.Hakuna gari ila pikipiki.
3.Hakuna mtu ila paka.
4.Hakuna nicolas ila mashaxizo.
5.Hakuna mvua ila upepo.
6. Hakuna rais ila mimi.
7.Hakuna Mungu ila mfalme.
Haya na wewe tafakari hizo sentensi!

Umesoma shule gani?
 
Mkuu umemaliza,
Ukeli mchungu huu.
Wanachungulia tu na kuondoka huku wakitegemea maulamaa watafunika kombe mwanaharamu apite.

Sijaona hoja yako we kilaza unaefata mkumbo! Ila basi coz Mungu wenu ameshafariki.
 
Mkuu kuna Mwislam safi mmoja ananiambia Allah hafananishwi na chochote kiwe cha kiume au cha kike. Sasa hapo inaonekana kama Quran imemu-address Allah kwa pronoun "He" je huyu Allah ni mwanaume? Maana nasikia hata kuitwa Baba hataki. Ni hayo tu
Allah anao mfano.

ALLAH ALIUGUA MACHO:

"Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwa ajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu. (Al Milal Wannihal J. 1 uk. 141)

Allah has hands; He created Adam with His own hands…(38:75, 48:10).
038.075

YUSUFALI: (Allah) said: "O Iblis! What prevents thee from prostrating thyself to one whom I have created with my hands? Art thou haughty? Or art thou one of the high (and mighty) ones?"
048.010

YUSUFALI: Verily those who plight their fealty to thee do no less than plight their fealty to Allah: the Hand of Allah is over their hands: then anyone who violates his oath, does so to the harm of his own soul, and any one who fulfils what he has covenanted with Allah,- Allah will soon grant him a great Reward.
Adam is the image of Allah… (Sahih Muslim, 32.6325)
Book 032, Number 6325:

This hadith has been transmitted on the authority of Abu Huraira and in the hadith transmitted on the authority of Ibn Hatim Allah's Apostle (may peace be upon him) is reported to have said: When any one of you fights with his brother, he should avoid his face for Allah created Adam in His own image.

Kumbe Allah anafanana na binadamu.
 
wachana na hii mambo, dini na sayansi wapi na wapi. wasomi wa dini ya kislaam kwa kuona nguvu ya sayansi hujaribu kuhalalisha quoran kwa hoja za kisayansi kitu ambacho hakiwezekani.
I don't even think if there are educated jibrians
 
Mimi nakupendea hapa tu wallah! Kwani mda mwingi unaongea pumba wee but sometimes unaongea ukweli. Mfano wa ukweli wako ni hapo underline.

Wanaokupinga hilo wakuonea bure wallah!

Licha upuuzi wako, bado hujachelewa, itakupasa tu uangalia na aya
zingine ili kujiridhisha huyo
Allah ni nani.

Tuachane na hiyo kazi ya kutafuta Allah ni nani na turudi ktk hoja yako kama ulivyoendelea baada ya underline ktk maelezo yako.

Embu hapa twende kwa mfano:

'Hakuna Mungu ila Allah'

'Hakuna mpuuzi ila
Ishmael'

Jee utaniambia Ishmael ni
nani hapo?
Bado unaendelea kuonyesha paranoia katika majibu yako yaliyo jaa lugha za kejeli na matusi kupita elimu ambayo wengi walitegema ungeweka hapa.

Sasa lete ushahidi. WAPI ALLAH WAKO KASEMA YEYE NI MUNGU KATIKA QURAN? Nipe aya ambayo Allah anasema "MIMI ALLAH NI MUNGU" utakapo shindwa, niletee aya ambayo Muhammad wenu anasema "MIMI MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU"

Huu bado ni msiba kwako.
 
Mpaka unatamka maneno haya na kushindwa kunijibu swali dogo la mfano niliokuekea ni wazi umeshaanza kupata mwanga ktk nafsi.

Tatizo ni kwamba unapenda kunirudisha nyuma wallah!

Nemo 'mimi Allah ni Mungu' hauwezi kuliona kama utakavyo wewe, but ukiondoa ubishani tu! Ule mfano niliokuuliza ni jibu tosha kwa content unayoikusudia wewe.

Na inshaallah ntakuombea kwa Allah aondoe ususuwangu katika bongo yako ili nawe uwe miongoni mwa watu waliokatika njia sahihi instead of kusubiria part 3 ya kile kitabu chenye msururu wa watunzi.

Inshaallah tuombe kheir. (itikia aaamin.)
 
Lete aya bana.

TULETEE AYA ZIFUATAZO:
(1) Wapi kwenye Quran Allah kasema "MIMI ALLAH NI MUNGU"
(2) Wapi kwenye Quran Muhammad kasema "MIMI MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU"

Hivi kwanini unaogopa kutuletea hizo aya?
 
Ismael jiengeze bhana!

Aya unayoitaka wewe haipo.
Kama wewe ni muelewa nijibu ule mfano utajua Allah ni nani. Au umeusahau?

Wacha nikukumbushe.

Hakuna Mungu ila Allah.
Hakuna mjinga ila Ishmael. Jee Ismael ni nani hapo?

Ukishindwa tena, kujibu swali hilo wakati ni wewe ndie niliekuuliza mwanzo, nikutakie tu jioni njema na tukutane ktk mjadala mwengine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom