Ni kweli Bigbang imezungumziwa kwenye Quran?

Status
Not open for further replies.
Lete aya bana.

TULETEE AYA ZIFUATAZO:
(1) Wapi kwenye Quran Allah kasema "MIMI ALLAH NI MUNGU"
(2) Wapi kwenye Quran Muhammad kasema "MIMI MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU"

Hivi kwanini unaogopa kutuletea hizo aya?
 
Hujaziona hizo aya alizo quote kutoka kwenye quran au mwenzetu umekuwa kipofu ghafla! Je hizo aya zipo au hazipo kwenye quran? Unazipenda au huzipendi? Je waweza kufafanua ututhibitishie leo kuwa 6=8!!? au 1,000=50,000!!? Kyupi kitakubana leo!

Huelewi ulichokisoma, labda nikuulize swali moja duchu sana, Unajuwa maana ya light year kisayansi? Sasa kama unajuwa jiulize, kulikoni?

Jee, calendar aina ngapi uzijuzo hapa duniani?
 
mkiambiwa imani ya dini ni mambo ya kiroho sio ya kushindana kwa hoja hamkubali.... haya sasa faiza mjibu ishmael kuhusu huo mkoroganyo wa hesabu kwenye quoran tukufu.

Naona uliyechangyikiwa ni wewe na huyo mwenzako, hajui aulizalo ni nini na shida yake ni nini? mbona hayo ni mambo madogo sana na majibu yake yako wazi kabisa, kwanza bwabwajeni mkichoka muulize, ni nini msichokielewa ili tuwafahamishe.
 
Teh teh mbuzi wa Bwana Kheri...shamba la Bwana Kheri.
 
Naona uliyechangyikiwa ni wewe na huyo mwenzako, hajui aulizalo ni nini na shida yake ni nini? mbona hayo ni mambo madogo sana na majibu yake yako wazi kabisa, kwanza bwabwajeni mkichoka muulize, ni nini msichokielewa ili tuwafahamishe.

Wenzako tunaendelea kuwabatizeni tu. Jifunze kupitia wenzako hawa hapa



 
Dunian kuna miungu mingi ivyo katika kujipwekesha ndio maana akaitwa Allah.imagine ingeandikwa hapana mungu ila mungu ingeleta maana gan?Hivyo bas jua Allah ni jina la kujipwekesha ukisema mungu hata wahind wana mungu.kuna swali?
 
Dini haichanganya na sayansi tunafojifoji tu.

Ndio maana Quran inasema kunamtu alifika machweo ya jua eti kuna kijito chenye tope jeusi.
 
tatizo kutokubali ukweli soma qur an ujionee sayansi ilovyo zungumziwa
 
Naona uliyechangyikiwa ni wewe na huyo mwenzako, hajui aulizalo ni nini na shida yake ni nini? mbona hayo ni mambo madogo sana na majibu yake yako wazi kabisa, kwanza bwabwajeni mkichoka muulize, ni nini msichokielewa ili tuwafahamishe.
Haya sasa tufahamishe kwanini kuna tofauti kwenye hiyo hesabu kwa siku za uumbaji wa dunia! naam...,usiteleze au kuepa kama kawaida tueleze!
 
Huelewi ulichokisoma, labda nikuulize swali moja duchu sana, Unajuwa maana ya light year kisayansi? Sasa kama unajuwa jiulize, kulikoni?Jee, calendar aina ngapi uzijuzo hapa duniani?
too much beating around the bush! Umeshindwa kujibu hoja umebaki kuuliza maswali ya kitoto ambayo hata mwanafunzi wa grade one primary school akifungua dictionary au aki google anakupa jibu! Ningekuona wa maana kama ungeondoa hizo contradictions za quran kwa kuhusianisha na light year tuone kama inaleta mantiki au la! Mmeshikwa pabaya na sidhani leo kama wanazuoni wenu watapata usingizi kwa jinsi mnavowasumbua mpate cha kujibu! Bado kyupi kimekubana, jibu hoja acha maswali.
 

Maswali ya kitoto ni hayo yenu, nimeona upuuzi kujibu upuuzi, swali linajibiwa miaka nenda miaka rudi, hivi mnasoma majibu?

Ili kukuonesha kuwa wewe ni punguani kama huyo mwenzako nakuwekea kipande kidogo tu hapa, kuhusu swali hilo lilivyojibiwa huko alikolitoa na link ntakupa ukajisomee. Mna macho lakini hayaoni, mna masikio lakini hayasikii.

Jisomee mada halafu useme hilo swali la kijinga ambalo wewe kwa ujinga wako umeliona la maana lina uhusiano upi na mada?

Detailed rebuttals to the so called "Errors" in the Noble Quran:
The following Anti-Islamic claims are from http://www.answering-islam.org/Quran/Contra/index.html. 95% of those Anti-Islamic claims are very silly. In my opinion, they are not even worth responding to. But unfortunately, they have to be responded to because the Muslims and the non-Muslims need to learn about what both sides have to say.

Kajisomee: Detailed rebuttals to the so called "Errors" in the Noble Quran.

Maana nyinyi mkiona mmeshindwa hoja mnaanza kubwabwaja na kuhororoja na kuleta mambo ya kijinga yaliyoulizwa na wajinga wenzenu si kwa kutaka kuelewa bali kwa kutaka ushidani usiokuwepo na yameshajibiwa kama uonavyo hapo juu.

Sisi tutaendelea kuwapa darsa, halafu mkikaa mjifikirie, maana ukweli unauma na tunajuwa ukweli unawauma sana lakini ndio hivyo tena mioyo yenu imejaa maradhi na hamna zaidi ila ni kuzidishiwa tu hayo maradhi.

Anti-Islamic claim: Six or eight days of creation?
Islamic Responses: Response by Dr. Zakir Naik.

My response

Response by Karim (pdf file)

Response by MENJ
Six or Eight Days of Creation?
The Length of God's Days A Numerical Discrepancy?
Response by Misha'al ibn Abdullah
 

Hata hukupaswa kumjibu huyo jamaa nimegundua ni IQ ndogo ndo tatizo.....
 

Shukrani sana mkuu, kumbe Allah anafanan na bin-adam. Si ajabu anatabia zote za mwanadamu maana akitokwa machozi macho yanakuwa mekundu! Lol
 
Hata hukupaswa kumjibu huyo jamaa nimegundua ni IQ ndogo ndo tatizo.....

Nilifata ushauri huu:

The following Anti-Islamic claims are from http://www.answering-islam.org/Quran/Contra/index.html. 95% of those Anti-Islamic claims are very silly. In my opinion, they are not even worth responding to. But unfortunately, they have to be responded to because the Muslims and the non-Muslims need to learn about what both sides have to say.

Kama wanaelewa maana yake wataelewa kwanini nimewajibu.

Wanakopi na kuja pesti lakini hawaji na majibu ambayo yako hukohuko wanako kopi, eti mtu anakuja anaona watu waliopo JF watadhani kaja na kitu kipya, "mkali", kumbe hajui tunatembea kwenye mtandao kuliko yeye.
 
Allah ni Allah.

Mungu kwa Kiarabu ni Ilaha

Si kweli unachosema.Allah maana yake ni mungu usikariri kwa kua na chuki moyoni,ni vizuri ukapenda kuweka hoja ili mfikie maelewano kuliko kuja kwa chuki ili kupotosha mkuu.
 

Ni vizuri kama ungetoa na ushahidi ili nipitie viruzi.Kujihusisha na kila tukio la dunia kivipi?Qur an ni ile ile ya miaka zaidi ya 1400 iliyopita mkuu.Kua mkweli na penda kujifunza.
 
wachana na hii mambo, dini na sayansi wapi na wapi. wasomi wa dini ya kislaam kwa kuona nguvu ya sayansi hujaribu kuhalalisha quoran kwa hoja za kisayansi kitu ambacho hakiwezekani.

Ni bora ungeweka hoja kuliko kuongea tu.Kama unataka nikuelekeze kwa nini Quran ina mambo ya sayansi sema si kuongea na kuhitimisha bila hoja mkuu.Upo tyari nikuelekeze?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…