chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji.
Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea.
Nashauri CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba yao ili kudhibiti hali hiyo, kwa kweli taarifa hazifurahishi.