Ni kweli CHADEMA hulipana posho za mamilioni kila wanapohudhuria kesi ya Mbowe?

Kwenye uongozi wa chama chetu cha ccm, hatuwazungumzii na wala kuingilia mambo ya CDM. Kwanza wakizitumia pesa zao vibaya ndiyo vizuri kwetu, watajiounguzia mtaji wa kuendesha siasa na ujenzi wa chama, sasa kwanini tufuatilie hilo.

Linafuatiliwa na kuwekwa mitandaoni na genge la upinzani ndani ya Chadema na Mashabiki wa CDM wasiojua siasa na wenzao wa CCM. Lakini CCM yenyewe iko tuli na inapiga mwendo
 
CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji.

Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea.

Nashauri CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba yao ili kudhibiti hali hiyo, kwa kweli taarifa hazifurahishi.
Hayo mabilioni kwa hali ya sasa ya Chama yanatoka wapi? Sources za income ya Chama ni ruzuku, Ada za za wanachama, na sources nyinginezo kama misaada mbali mbali kwa chama
 
CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji.

Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea.

Nashauri CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba yao ili kudhibiti hali hiyo, kwa kweli taarifa hazifurahishi.
Kwani ni kosa kisheria kulipana? watawala wa CCM wanalipana kila siku mbona hulalamiki?
 
CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji.

Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea.

Nashauri CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba yao ili kudhibiti hali hiyo, kwa kweli taarifa hazifurahishi.
Ndugu yangu chinembe mambo ya chadema kidogo ungeachana nayo jikite zaidi kufikilia kwa nini watoto wa vigogo wa ccm wanapata teuzi kupitia migongo ya wazee wao,wakati nyie wapambe mnapewa kofia na kanga za mama zenu, wenzenu wanatengezewa maisha bora na wajukuu zao.
 
Back
Top Bottom