Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivo basi hata pilau linauwa nguvu za kiume maana linapikwa na mafuta mengi pia!Ni kweli kinaua nguvu za kiume kabisa, 💯 . Accumulation ya mafuta kwenye mishipa inasababisha msukumo wa damu kuwa kidogo, hivyo nguvu za kusimamisha zinakuwa ndogo sana. Wengi unenepeana kwa Sababu ya mafuta , pressure, kisukari etc. Angalia yale matoto ya kule masaki, upanga, mikocheni mingi ni mine mine sababu wazazi wao uwalisha kiepe kwa wingi, wengi utakuta Wana pressure na kisukari, tipwatipwa halinq nguvu.
Hata kama hukusoma!Habari wanajamii na kheri ya Eid El fitr! Naona kumekuwa na propaganda ati kwamba kwa wanaume kula kiepe kunaua nguvu za kiume ila wataalamu yaani madaktari wanakataa! Vp wadau wa kiepe mumewahi experience erectile dysfunction kwa kula zege!View attachment 2210118View attachment 2210121
View attachment 2210119
View attachment 2210120
Siamini
Point yako hasa ni nini?Hata kama hukusoma!
Unatakiwa ujiulize mara mbili mbili kabla ya ku create swali kwa hadhira.
Jiulize yafuatayo: "mayai na viazi ulaya ni vyakula vigeni vilivyotambulishwa hivi karibuni katika jamii yetu",.. "je mtindo huu wa mapishi ya kukaanga unapunguza ama kuondosha 'food value' ya vyakula hivyo" na kuleta ama kusababisha madhara katika afya ya uzazi kwa kina baba?
" je, ni utafiti gani uliofanya kisayansi na kitaalamu kuthibitisha hayo?"
"Je nikiuliza swali kama 'kihiyo' lenye majibu yanayoeleweka katika jamii, siwezi kuwa chanzo cha mihemuko ya watu 'vibendera fuata upepo' na kupelekea kuvuruga biashara za watu nk nk?"
Ujue kuna maswali hujengwa kwa ajili ya kuvuruga muskabali wa jambo fulani lililokusudiwa kwa muulizaji kujifanya haelewi kitu chochote, kumbe kuna hila ambayo anakuwa kaificha katika swali hilo.
Uongo tu, wameona hicho tu ndo kinaua.Wanatutisha c hata energy drink wanasema zinaua pia!
Hivyo hivyo, wewe chunguza Wala pilau, wa pwani wengi hanith, majike dume.Kama ni hivo basi hata pilau linauwa nguvu za kiume maana linapikwa na mafuta mengi pia!
Tatizo chips inapokaangwa mara mbili shida ndo inaanzia hapoHapo logic ni nn?
Mafuta yanayoingia mwilini
Viazi ndo changamoto?
Au mayai ndo hayafai?
Mbona tukila separate hawasemi?