Ni kweli chipsi mayai inaua nguvu za kiume?

Ni kweli chipsi mayai inaua nguvu za kiume?

Ili mwanaume afanye tendo la ndoa ipasavyo, biology ya mwili wa mwanaume unahitaji vitu vifuatavyo;
1. Virutubisho vya protini na mazingira anuai kwa ajili ya kutengengeneza mbegu, bila uwepo wa mbegu tendo halifanyiki asilani.
2. Energy (joules/calories) kwa ajili ya kuipa nguvu misuli ya mwili na mchakato wa utengenezaji wa mbegu

Je viazi mviringo viwili au vitatu vinatosha kuupa mwili nishati ya kutosha kuliwezesha tendo?
 
Mi nataka ushahidi wa mtu aliekula na maishine ikawa haifanyi tena!
Shida ipo kwenye mayai na mafuta yanayotumika mara mbili yaani yamekaanga chips alafu chips hizo hizo zilizokaangwa zinakaangwa tena na mayai ndo maana wanaoelewa uwa wanaomba mayai yakaangwe pembeni.

Haiui nguvu za kiume isipokuwa inapunguza ufanisi wa nguvu za kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom