Ni kweli chipsi mayai inaua nguvu za kiume?

Hakiui nguvu za kiume ila kuwamaliza nguvu za kawaida ukimaliza kimoja huna nguvu za kuendelea ila kama unapenda kiepe penda kula matikiti maji kwa wingi
 
Kama ni hivo basi hata pilau linauwa nguvu za kiume maana linapikwa na mafuta mengi pia!
 
Siku hizi nasikia tena wanapikia mafuta ya 🐽

 
Hata kama hukusoma!

Unatakiwa ujiulize mara mbili mbili kabla ya ku create swali kwa hadhira.

Jiulize yafuatayo: "mayai na viazi ulaya ni vyakula vigeni vilivyotambulishwa hivi karibuni katika jamii yetu",.. "je mtindo huu wa mapishi ya kukaanga unapunguza ama kuondosha 'food value' ya vyakula hivyo" na kuleta ama kusababisha madhara katika afya ya uzazi kwa kina baba?
" je, ni utafiti gani uliofanya kisayansi na kitaalamu kuthibitisha hayo?"

"Je nikiuliza swali kama 'kihiyo' lenye majibu yanayoeleweka katika jamii, siwezi kuwa chanzo cha mihemuko ya watu 'vibendera fuata upepo' na kupelekea kuvuruga biashara za watu nk nk?"

Ujue kuna maswali hujengwa kwa ajili ya kuvuruga muskabali wa jambo fulani lililokusudiwa kwa muulizaji kujifanya haelewi kitu chochote, kumbe kuna hila ambayo anakuwa kaificha katika swali hilo.
 
Hamna ukweli hapo ndgu.
Ila ulaji mbaya ndo hisababisha hicho kitu, unaweza kua huli chipsi mayai ila ulaji wako mbovu ukakuharibia.

Hizo propaganda zililetwa na wauza dawa za kuongeza nguvu za kiume, ilibidi watengeneze tatizo ili wafanye biashara vizur.
 
Kama huna nguvu hauna nguvu,hauna tuuu! Hizo sababu nyingine ni kwa Ajili ya kujifariji tu.
 
Hmn kitu kula ugali na nyama na supu Safi ya nyama

Ila viepe ziliwe tu hakuna namna ila performance nni zeroooo in magu voice
 
Point yako hasa ni nini?
 
Hmn kitu kula ugali na nyama na supu Safi ya nyama

Ila viepe ziliwe tu hakuna namna ila performance nni zeroooo in magu voice
We naww unaamini kiepe kinasababisha ED!
 
Kama ni hivo basi hata pilau linauwa nguvu za kiume maana linapikwa na mafuta mengi pia!
Hivyo hivyo, wewe chunguza Wala pilau, wa pwani wengi hanith, majike dume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…