Ili mwanaume afanye tendo la ndoa ipasavyo, biology ya mwili wa mwanaume unahitaji vitu vifuatavyo;
1. Virutubisho vya protini na mazingira anuai kwa ajili ya kutengengeneza mbegu, bila uwepo wa mbegu tendo halifanyiki asilani.
2. Energy (joules/calories) kwa ajili ya kuipa nguvu misuli ya mwili na mchakato wa utengenezaji wa mbegu
Je viazi mviringo viwili au vitatu vinatosha kuupa mwili nishati ya kutosha kuliwezesha tendo?